artificial intelligence

  1. YphNet

    Mchezo wa Bao kupitia AI (Artificial Intelligence)

    Wapendwa, najua mchezo huu vijana wengi sasa hawaufahamu, hivyo katika private project yangu ya AI (Artificial Intelligence) nimeamua kuchagua mchezo wa bao kutengeneza simple game ambalo mchezaji atacheza vs AI. Kwa sasa linapatikana kwenye Android pekee. Nimechagua mchezo huu ili kuufanya uwe...
  2. Nafaka

    Artificial Intelligence rapper-FN Meka dunia hii

    Hii ngoma hapa mmiliki wake ni artificial robot aliyekuwa signed na record label kubwa. It is all AI naona ufake umeingilia mziki. Soon tutaona artificial movies
  3. Dumas the terrible

    ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

    Habari Wana JF na jukwaa la Intelligence natumaini mpo salama na tunasurvive chini ya jua kibishi, Nimeona nilete hii mada ngumu kidogo kuhusu Accient civilization ya kale katika Dunia yetu,pamoja na nadharia mbali mbali za kuanguka na kupotea kwake, Natumaini wale magreat thinkers watashashare...
  4. MK254

    Kenya namba tatu Afrika kwenye utayari wa Artificial Intelligence, wabongo hawapo kwenye kumi bora, wenzetu jameni

    Haya madude ya kutumia ubongo huwa tunatusua balaa, tupo nyuma ya Afrika kusini na Mauritius pekee, wengine wote saizi yetu tumepitia juu kwa juu.... Hata Nigeria na Ghana tumetupa kuleeee. Watani ambao hukesha huku wakilia lia kuhusu Kenya naona hata kwenye kumi bora hawapo, wameshindwa hata na...
  5. M

    Ni suala la muda tu

    Unahisi kuna lugha ngapi duniani? 6,500-7,117. Tena hizi ni zile zinazojulikana na zikiwa kwenye hatari ya kupungua. Vipi kuhusu zile ambazo hazijulikani? Wewe je unajua na kuzungumza lugha ngapi mbali na Kiswahili, Kiingereza na lugha ya kabila yako (Kilugha)? (Washiriki wa mafunzo ya...
  6. B

    SoC01 Artificial Intelligence, Machine Learning and the Future of Automation

    When speaking of the modern-day technology world we cannot carve out Artificial Intelligence and Machine Learning. Some of you might have heard about this interesting and fascinating technology aspects but maybe we don’t really understand what capabilities come along with them. I want to talk...
  7. Swahili AI

    Fahamu artificial intelligence (AI) Afya, Pt 3.

    Habari Wana JF, Leo tutaendelea na mada yetu ya akili bandia upande wa afya. Tutaangazia nyanja mbalimbali za afya ambapo akili bandia AI hufaunya kazi na nini matazamio yake siku za mbeleni. Kama tulivyoona awali kwamba AI hutegemea maelfu ya data kukusanywa na kujazwa kwenye kifaa kama vile...
  8. Swahili AI

    Fahamu artificial intelligence (AI) Part 2, Learning.

    Njia rahisi zaidi ya kuelewa uhusiano kati ya Akili bandia (AI), Machine Learning (ujifunzaji wa mashine), na Deep Learning (ujifunzaji wa kina) ni kama ifuatavyo. -Kujifunza kwa mashine (Machine Learning) ni sehemu ndogo ya programu ya AI ambayo hujifunza yenyewe. Inajifanya upya yenyewe...
  9. Sam Gidori

    Muungano wa Wafanyakazi Uingereza walia na mfumo wa teknolojia wa ufahamu bandia katika ajira

    Muungano wa Wafanyakazi nchini Uingereza umeonya kile ilichokiita 'mwanya mkubwa' katika sheria za ajira na matumizi ya teknolojia ya ufahamu bandia (AI) katika mchakato wa ajira. Kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoruhusu kuajiriwa au kufukuzwa kazi kwa mfumo wa kompyuta, Muungano huo...
  10. Swahili AI

    Fahamu artificial intelligence (AI)

    Katika maisha yetu ya leo, kwa namna moja au nyingine tunatumia Artificial Intelligence- intellijensia ya kutengenezwa(Sijapata Kiswahili Fasaha, wana jamvi waweza saidia) kupitia vifaa vya kieletroniki kama simu, computer, luninga n.k. Artificial Intelligence (AI) ni nini? Mwaka 1956, mwana...
  11. mathsjery

    Kutumia C++ wakati wa course ya Artificial intelligence haifai tena, hebu walimu wa vyuo mnaohusika mbadilike

    Kwanini bado mnatumia C++ kwenye hii course? Naona bado na ninyi mnakuwa wazembe au labda vyuo husika vinawaforce kufanya hivyo, labda nipate maelekezo kidogo hapa. Maana naona PYTHON ndo imejaa vitu vingi muhimu vilivyopo kwenye hii course, but why mnadeal na algorithm pekee why not other...
  12. Da'Vinci

    A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

    Salute.. Maisha yanakwenda kwa kasi mno mengi hayawezekani hayapo wenzetu huko wanakesha kutuonyesha jinsi kila kitu kinawezekana kama ukiwa na nia thabiti na mipango. Huko duniani kuna vitu vinaitwa Futurist na Futurology, Futurist ni watu wanaojihusisha na mambo ya Futurology. Futurology...
Back
Top Bottom