Kuna matatizo ya vimbwenga katika Kijiji kimoja huko Aru meru
Mawe yanarushwa na watu wasioonekana. Hii habari ipo You Tube,"Mauzauza; mawe ya ajabu,anayerusha haonekani..."
Sasa hawa watu wanasema wanawashuku wageni fulani ambao wamefika pale. Kwa hiyo wanataka kupiga kura ya maoni,wafukuze...