arusha mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jimbo la arusha mjini na monduli yagawanywe

    Jimbo la Arusha mjini limekuwa na ongezeko kubwa la watu. Itapendeza kama litagawanywa. Hii ni kwa sababu ktk muda mfupi sana uliopita,kumekuwa na kuzaliwa kwa mitaa mipya mingi ambayo inahitaji uwakilishi bungeni. Mfano mzuri ni eneo naarufu la kwa Mrombo ambalo liko busy sana kiuchumi na lina...
  2. Pre GE2025 Siasa za uwakilishi za Arusha mjini zimeharibika sana na kukosa ustaarabu kabisa

    Kuna habari nimieona ambapo madiwani wa Arusha mjini walikuwa kwenye kikao rasmi cha kazi. Jambo la kusikitisha ni kwamba hicho kikao kilikuwa kama kikao cha chama huku watu wenye maslahi yao binafsi wakifanya siasa za minyukano. Mambo mengine ya ajabu katika hiko kikao ni pamoja na diwani...
  3. Arusha Mjini - Siyo Gambo wala Makonda - CCM iwatose wote.

    Ni dhahili kuwa wote wawili wana makundi makubwa ndani ya CCM * Kundi la Makonda pekee halitoshi kuipa ushindi CCM; Lkn pia kundi la Gambo pekee halitoshi kuipa ushindi CCM. * Kundi lolote litakalojibagua na kuunga mkono upinzani ni wazi kuwa CCM itakuwa na hali ngumu sana; * Kwa msingi...
  4. Pre GE2025 Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini

    Baraza la Madiwani mkoani Arusha kwa pamoja limeridhia na kumuomba Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda kugombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini. Je uamuzi huu wa madiwani wa jimbo hilo ni kwambaa wamekosa imani na Mbunge wa sasa anayemaliza muda wake, Mrisho Mashaka Gambo? Soma zaidi: Pre GE2025...
  5. Pre GE2025 Mrisho Gambo: Barabara ya Esso - Long'Dong Arusha mjini kujengwa kwa kiwango cha lami

    Serikali kupitia uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imechukua hatua za kuboresha miundombinu ya barabara kwa kuhakikisha ujenzi wa barabara ya Esso - Long’dong mkoani Arusha, yenye urefu wa kilomita 1.8 unaanza hivi karibuni. Barabara hii inayounganisha...
  6. Pre GE2025 Arusha Mjini: Mrisho gambo azungumza na wazee kuhusu uhamasishaji wa kutoa elimu nishati safi

    Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo anazungumza muda huu lengo ni Uhamasishaji wa Kutoa Elimu a Nishati Safi kwa Viongozi wa Baraza la Wazee Arusha Karibu kufuatilia kinachoendelea. https://www.youtube.com/live/jEzBkft9o9g?si=uw038dewWr2M8B72 Akizungumzia ushirikishwaji wa kundi la wazee...
  7. R

    Pre GE2025 Kauli ya Lema kutogombea ubunge Arusha mjini ni Mbinu tu ya kisiasa!

    Hellow! Matokeo ya Uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA ndio yataamua ikiwa atagombea au HATOGOMBEA. NB: Mto wenye kina kirefu mara nyingi maji yake Kwa juu Huwa yametulia, lakini Kwa ndani! Muda ni mwalimu. Tusubiri.
  8. M

    DOKEZO Kuna Mama anauza gongo na bangi wazi kata ya Moshono mtaa wa Mtoni, karibu na chuo cha uhasibu Arusha. OCD Arusha Mjini tusaidie

    Habari wana JamiiForums. Kuna mama mmoja anaishi kaya ya MOSHONO mtaa wa MTONI,KARIBU na chuo Cha Uhasibu anauza gongo na bangi nyumbani kwake wazi wazi kama vile ana leseni.Pale kwake ni maarifu kama Kigamboni. Vijana wote wa mtaani pamoja na wanafunzi wa chuo cha Uhasibu wameharibika Kwa...
  9. Pre GE2025 Makonda aikacha Kigamboni kugombea Arusha mjini

    Habari zikufikie kwamba Paul Makonda amebadili gia angani sasa sio Kigamboni tena bali Arusha. Makonda hawezi kugombea willaya aliyozaliwa maana kwenye kampeni itamletea shida, wapinzani wake wakifukua makaburi kumleta mwenye jina lake. Kila anachikifanya Makonda pale Arusha ni maandaluzi ya...
  10. Wakala wa mabati ALAF Arusha anapatikana wapi Arusha Mjini?

    Kwa wakazi wa Arusha napenda kufahamu wakala wa mabati ya ALAF anapatikana wapi Arusha mjini na je wanauza mabati kwa urefu ninaohitaji au zimeshakatwa katika urefu wa mita tatu? Naomba kufahamishwa.
  11. Kesho naelekea Tengeru Arusha, naomba location kutoka Arusha mjini

    Wakuu kwa mara yangu ya kwanza kufika kule namsindikiza mdogo wangu anaenda chuo cha tengeru. Sina experience yeyote najua hapa nitapata ABC zake. Shukrani.
  12. Dispensary inauzwa, ipo Arusha mjini ..Ina vifaa vyote pamoja na facilities zote zote za huduma za kihospital..

    Habari wakuu , dispensary iliyo na usajiri wa wizara ya afya na iliyopo Arusha mjini ,bei ni 150 millioni, inaitwa MT.MERU....inauzwa . Kwa MAELEZO zaidi wasiliana nami Dalali Lexus SUV 0756294771/0672701329
  13. M

    Makonda ni karata muhimu CCM kwa jimbo la Arusha mjini 2025. Anafaa kupewa jimbo.

    Katika majimbo yanayoleta changamoto kubwa kwa CCM nyakati za uchaguzi ni jimbo la Arusha mjini. Kibaya zaidi changamoto kubwa huwa ni ndani ya CCM kwenyewe wakati wa kupata mgombea ubunge kupitia CCM. Kwa utafiti wangu binafsi nadhani CCM Arusha ndo imejaa mamluki wengi sana wa CHADEMA kuliko...
  14. Nilipotimka nyumbani kwenda jiji la Miamba

    Hapo zamani za kale, katika jiji lenye kupendeza la Arusha, nilijikuta nikitamani mabadiliko ya mandhari. Nikiwa na roho ya kutokuwa na utulivu na hamu ya kujifurahisha, nilifanya uamuzi wa kufunga virago vyangu na kuanza safari kwenda Mwanza, jiji lililofahamika kwa maoni yake ya kuvutia ya...
  15. Pre GE2025 Arusha mjini CCM twende na nani kwenye ubunge 2025?

    2025 iko pale kwenye kona je, wapiga kura wa Arusha mjini tumeshatafakari wa kwenda naye kwenye uchaguzi dhidi ya Godbless Lema. Huko CHADEMA inajulikana kuwa ni mgombea wao wa Ubunge ni Lema. Mchakato wao wa kumpata mgombea Ubunge huwa ni kiini macho tu. Tayari mgombea wao ni Lema na hata yeye...
  16. Natafuta Dalali wa Frame Arusha Mjini

    Habari wakuu, Natafuta dalali yeyote wa kunitaftia frame Arusha, maeneo ya mjini kama Standkuu, kkoo, chini ya mti, jogoo, stand ndogo, Mnazi Mmoja...nk. Kwa yeyote mwenye connection tuchekiane DM au share namba hapa. Natanguliza shukrani
  17. Nje ya Arusha Mjini na Mbeya Mjini kuna miji gani mingine wazawa wa asili wameziachia sana fursa ziende kwa majirani zao?

    Arusha Mjini - wazawa asili Kuna Wameru na Waarusha, niliwahi kuishi hapo miaka mitano, cha ajabu kilichonishangaza ni kwamba Mji huu kwenye mambo ya fursa upo kwa majirani zao Wachaga wa Moshi, niliweza kufanya uchunguzi kwenye mambo kama hotel nyingi sana za Wachaga, Kampuni nyingi za utalii...
  18. Plot4Sale Nina shida sana, nauza hiki kiwanja kipo Arusha Mjini

    Salaam Wakuu Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm. Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na serikali ya mtaa, hii ni kwa maeneo yote ya engosheratoni. Ukaribu wa Kiwanja kipo karibu na shule ya...
  19. Nauza kiwanja changu Arusha mjini kwa Tsh 7.5 milioni

    Kiwanja ni changu mwenyewe na kina ukubwa wa 520 SQM. Kipo Engosheraton kata ya Sinoni. Jirani kabisa na Shule ya Sekondari ya Misheni ya Edmund Rice. Kiwanja kimezungukwa na Huduma zote za kijamii. Wasiliana nami kwa 0744718928. karibuni sana.
  20. Mbunge wa Arusha, Mjini Mrisho Gambo atoa gari la kusafirishia maiti Jimboni kwake

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo ametoa msaada wa gari la kusafirisha mwili wa marehemu kwa wanajimbo wake. Hata hivyo, wana Arusha wameuponda msaada huo huku wakihoji kwa nini asipeleke madawa au magari ya Ambulance, na baadhi wametafsiri kwamba huo ni uchuro. Mmoja ya wachangiaji katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…