arusha mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Wapi kuna Barber shop nzuri Arusha mjini

    Naomba kufahamu Barber shop nzuri Arusha mjini.( Wanaozingatia usafi wa hali ya juu, wenye customer care nzuri na wanaonyoa vizuri)
  2. O

    DC Arusha mjini avunja ukimya kwa Gambo

    Arusha. Mkuu wa wilaya ya Arusha, Felisian Mtehengerwa amemtaka Mbunge wa jimbo lake Mrisho Gambo kutekeleza wajibu wake ndani ya halmashauri kuliko kubeba ajenda za ubadhilifu ili kujitafutia umaarufu wa kisiasa. Mtahengerwa amesema hayo leo April 19,2023 wakati akizungumza na waandishi...
  3. B

    RC Mongella azitaka taasisi mbalimbali kuhakikisha kunakuwepo na uwiano wa kijinsia mahala pa kazi

    Mkuu wa mkoa wa Arusha, John Mongella amezitaka taasisi mbalimbali kuhakikisha kunakuwepo na uwiano sawa wa jinsia kati ya wanaume na wanawake ili kuwepo kwa usawa mahala pa kazi. Ameyasema hayo jijini Arusha wakati akizungumza na wadau mbalimbali wa Benki ya CRDB walipokutana katika chakula...
  4. peno hasegawa

    Rais Samia akiwa Arusha ameshindwa kujibu swali la mbunge wa Arusha mjini kuhusu mgao wa umeme

    Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji. Ninajiuliza sipati...
  5. Babuu100

    Wapi wanafanya Diagnosis ya Magari Arusha Mjini

    Wakuu Salaam Kama heading inavojieleza , ni wapi hapa Arusha mjini wanafanya Diagnosis ya Magari
  6. dongbei

    Naomba kufahamu eneo la sqm 165 total cost kuweka pavings!

    Salaam wakuu, Kama heading inavyojieleza. Niende kwenye mada moja kwa moja. Ninahitaji kuweka pavings kwenye eneo lenye ukubwa wa square meter 165. Landscape generally ni flat. Wataalamu na hata wazoefu wa haya mambo naomba nisaidiwe kujua total cost average inaweza kuwa kiasi gani...
  7. LIFE PAIN GAIN

    USHAURI: Nafikiria kufungua duka la Vitasa tu Arusha mjini

    Habarini, Nimefikiria kuwa unique kidogo na kufungua duka litakalo deal na vitasa vya mlango aina zote. Je niko sahihi kwenda na kufanya hii idea kupelekea kunitoa au nimespecialize sana kupelekea kuchoma mahindi tu. Karibuni kwa mawazo yenu na njia mbadala ikiwezekana.
  8. May Day

    Sasa haka kamvua kidogo hapa Arusha mjini kasihusishwe na ujio maana hamkawii

    Juzi nilikutana na uzi unaohusisha uwepo wa Kiongozi mahali na kunyesha kwa kamvua....hivyo nina wasiwasi hawa jamaa watakuja na hilo hili kuhusu Arusha. Tuwasikilize Mamlaka hali ya hewa wanasemaje.. Mama Kijazi na timu yake atuambie itanyesha hainyeshi?. tupande au tusubiri maana wengi...
  9. babi

    Davis Mosha akusanya zaidi ya milioni 400 kanisa la KKKT-Arusha Mjini

    Mfanyabiashara Davis Mosha leo ameongoza Harambee ya ujenzi wa Kanisa, Katika misa ya harambee hiyo iliyoendeshwa katika Kanisa la KKKT usharika wa Arusha Mjini, Davis Mosha aliyeongozana na Familia yake aliweza kuchangisha jumla ya kiasi cha Shilingi Milioni mia nne. Akizungumza katika Hafla...
Back
Top Bottom