arusha mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu eneo la sqm 165 total cost kuweka pavings!

    Salaam wakuu, Kama heading inavyojieleza. Niende kwenye mada moja kwa moja. Ninahitaji kuweka pavings kwenye eneo lenye ukubwa wa square meter 165. Landscape generally ni flat. Wataalamu na hata wazoefu wa haya mambo naomba nisaidiwe kujua total cost average inaweza kuwa kiasi gani...
  2. JamiiForums Tanzania USHAURI: Nafikiria kufungua duka la Vitasa tu Arusha mjini

    Habarini, Nimefikiria kuwa unique kidogo na kufungua duka litakalo deal na vitasa vya mlango aina zote. Je niko sahihi kwenda na kufanya hii idea kupelekea kunitoa au nimespecialize sana kupelekea kuchoma mahindi tu. Karibuni kwa mawazo yenu na njia mbadala ikiwezekana.
  3. JamiiForums Tanzania Sasa haka kamvua kidogo hapa Arusha mjini kasihusishwe na ujio maana hamkawii

    Juzi nilikutana na uzi unaohusisha uwepo wa Kiongozi mahali na kunyesha kwa kamvua....hivyo nina wasiwasi hawa jamaa watakuja na hilo hili kuhusu Arusha. Tuwasikilize Mamlaka hali ya hewa wanasemaje.. Mama Kijazi na timu yake atuambie itanyesha hainyeshi?. tupande au tusubiri maana wengi...
  4. JamiiForums Tanzania Davis Mosha akusanya zaidi ya milioni 400 kanisa la KKKT-Arusha Mjini

    Mfanyabiashara Davis Mosha leo ameongoza Harambee ya ujenzi wa Kanisa, Katika misa ya harambee hiyo iliyoendeshwa katika Kanisa la KKKT usharika wa Arusha Mjini, Davis Mosha aliyeongozana na Familia yake aliweza kuchangisha jumla ya kiasi cha Shilingi Milioni mia nne. Akizungumza katika Hafla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…