Salaam!
Naomba kutoa hoja hii kuhusu barabara tajwa! Ina changamoto kubwa sana ya msongamano wa magari makubwa na madogo. Na hii inatokana na ufinyu wa barabara kutokana na mahitaji ya sasa. Tunaiomba serikali iangalie uwezekano wa kuikamilisha barabara hii kwa njia nne kuanzia ilipoishia eneo...