The Roman Catholic Archdiocese of Arusha (Latin: Archidioecesis Arushaënsis) is the Metropolitan See for the ecclesiastical province of Arusha in Tanzania.
Baada ya kutoka nyumbani kuanzia safari ya maisha ya chuo nilikua mbali na nyumbani.
Nikaanza ishi sehemu tofauti nikipanga chumba kama kawaida asilimia kubwa wamama wote walio nipangisha nyumba wale wa ARUSHA na MOSHI, wame ZAO washa tangulia mbele za haki, ni mipango ya mungu, sijui?
Anyway...
Baadhi ya wasafiri wanaotumia usafiri wa umma katika njia ya Arusha – Moshi – Arusha tumekuwa tukikumbana na changamoto kuhusu utofauti wa bei ya nauli inayotozwa na watoa huduma.
Katika nyakati mbalimbali, imeonekana kuwa baadhi ya abiria hutozwa nauli tofauti, huku viwango vikibadilika kati...
Katika mikoa hii miwili ambayo ndio ina ma-utingo na madereva jeuri kabisa, ni kama wao hawajui Traffick wala LATRA.
Basi ina leseni yA Moshi-Sanya, ila ikikaa kila wanasema kituo kwa kituo ni 2000, sasa je , aboiria anayeshuka mferejini, Kibosho Road, SAdala alipe nauli ya Sanya juu? na kama...
Jiji la Arusha limejaliwa rasilimali nyingi hasa kwenye sekta ya utalii lakini mpaka leo hawana stendi ya mabasi zaidi ya zile za watu binafsi ambazo na zenyewe nafasi ni finyu.
Jiji limekaa kaa tu halina hata mpangilio na ndio makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ndio makao makuu...
Salaam!
Naomba kutoa hoja hii kuhusu barabara tajwa! Ina changamoto kubwa sana ya msongamano wa magari makubwa na madogo. Na hii inatokana na ufinyu wa barabara kutokana na mahitaji ya sasa. Tunaiomba serikali iangalie uwezekano wa kuikamilisha barabara hii kwa njia nne kuanzia ilipoishia eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.