Jiji la Arusha limejaliwa rasilimali nyingi hasa kwenye sekta ya utalii lakini mpaka leo hawana stendi ya mabasi zaidi ya zile za watu binafsi ambazo na zenyewe nafasi ni finyu.
Jiji limekaa kaa tu halina hata mpangilio na ndio makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ndio makao makuu ya Mahaka ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu (ACHPR) Arusha ni makao makuu ya Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ)
Ikinyesha mvua ya 3K barabara ya kuanzia Shoppers kuja hadi Clock Tower inajaa maji hadi yanaingia kwenye biashara za watu licha ya kuwa na mito ambayo maji yanaweza kuelekezwa huko. Madiwani wake na wenyewe ni kama hawaonagi.