Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Katika mikoa hii miwili ambayo ndio ina ma-utingo na madereva jeuri kabisa, ni kama wao hawajui Traffick wala LATRA.
Basi ina leseni yA Moshi-Sanya, ila ikikaa kila wanasema kituo kwa kituo ni 2000, sasa je , aboiria anayeshuka mferejini, Kibosho Road, SAdala alipe nauli ya Sanya juu? na kama akilipa , je kondakta akipata abiria mwengine ataaacha kumbeba?
ARUSH -MOSHI:
Mabasi ya Arusha Moshi, mtu anapanda anashuka Kwa-Wasomali analipishwa nauli ya Moshi, Mtu anashuka Maji ya Chai, Kikatiti, kambi ya Chupa analipishwa full naauli , hii siyo haki.
USHAURI KWA LATRA KILIMANJARO NA ARUSHA:
Piga Bure: 0800110019/20
Simu: 0738 000 066
LATRA toeni agizo, magari yote ya mkoa wa kilimanjaro na Arusha yaandikwe ruti zao na kila kituo ni nauli kiasi gani , Mfano Moshi -Arusha kupitia Arusha Road , nauli ya machame Road, ya Sadala, ya Boma, Ya KIA, ya Kingori, Ya Maji Chai , Ya Kilala, Ya Tengeru , ya Ngulelo, Ya Arusha mjini.
Mfano , Gari za Mbagala -Mwenge, kila kituo kina nauli yake , tuamke jamani tunanyanyasika sana hapa Moshi.