nauli

Nauli is one of the kriyas or shatkarmas, preliminary purifications, used in yoga. The exercise is claimed to serve the cleaning of the abdominal region (digestive organs, small intestine) and is based on a massage of the internal belly organs by a circular movement of the abdominal muscles. It is performed standing with the feet apart and the knees bent.The 15th century Hatha Yoga Pradipika claims that Nauli (magically) removes all diseases.Nauli is an exercise of classical hatha yoga; it is not often taught in yoga as exercise. There are four steps, which are learned one after another:
the abdominal lock, uddiyana bandha: the lungs are emptied, and the abdomen is pulled inwards and upwards under the lower edge of the ribcage
madhyana nauli: only the central muscles of the abdomen are contracted
vama nauli: only the left muscles of the abdomen are contracted
daksina nauli: only the right muscles of the abdomen are contracted.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Usafiri wa Mwendokasi: Nauli ya Tsh 2,000 Mbezi - Gerezani/Muhimbili ni kwa Ajili ya Wanyonge au Matajiri?

    Wakuu salama, Kuna jambo linaumiza sana kiuchumi na kijamii kuhusu usafiri huu wa mabasi ya Mwendokasi (BRT) hapa jijini Dar es Salaam. Naomba kuweka hili mezani ili labda mamlaka husika ziweze kutuangazia sisi wananchi wa hali ya chini. Hivi sasa, nauli kutoka Mbezi hadi Gerezani au Mbezi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Treni za SGR daraja la biashara nauli ni TZS 120,500 ila internet ni ya kusuasua. Kwenye basi nauli ni TZS 35,000 na internet ni safi na bure

    Hivi Tanzania Railways Corp , nina swali kwenu. Nauli ya daraja la Business Class ni Shilingi 120,500, lakini inashangaza kuona kuwa huduma ya Wi-Fi ndani ya treni haijawekewa mtandao wenye ubora na uhakika. Mtandao unasumbua kiasi cha kushindwa kutekeleza baadhi ya majukumu yanayohitaji huduma...
  3. T

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini abiria anayeshukia Morogoro analipa nauli ya Dodoma, au anayeshukia Moshi analipa nauli ya Arusha? LATRA hamuoni hili?

    Kuna kero na malalamiko kuhusu utaratibu wa utozaji nauli unaotumiwa na baadhi ya kampuni za mabasi yanayosafirisha abiria kwenda mikoani. Kwa mtazamo wa abiria, hali hii inaweza kuonekana kama unyonyaji, hasa pale mtu anapolazimika kulipa nauli ya safari ndefu kuliko safari anayokusudia...
  4. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Jasmine anywa sumu na kujinyonga baada ya kunyimwa nauli ya kwenda Singida na mumewe.

    Jasmini Hamisi, mkazi wa mtaa wa Murieti, kata ya Murieti jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kunywa sumu na kisha kujinyonga, siku moja baada ya maelezo kuwa aliwahi kumwomba mumewe nauli ya kwenda Singida kuwasalimia wazazi wake. Inaelezwa kuwa Jasmini alimwomba mumewe, Hamisi...
  5. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni akalishwa chini licha ya kulipa nauli kamili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, kupitia operesheni za ukaguzi wa vyombo vya moto, limeendelea kuchukua hatua kuhakikisha usalama wa abiria na watumiaji wengine wa barabara unazingatiwa. Katika operesheni hiyo, Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania KUTOKA "NIKIPATA NAULI" HADI "NIKIPATA MAUA": SASA MJOMBA AMENUNUA VIATU?

    Zamani za kale, miguu ya Mrisho Mpoto ilikuwa haina viatu, na sauti yake ilikuwa kilio cha wanyonge mitaani. Tulimzoea akisaka nauli ya kwenda mjini kumwambia Mjomba kuhusu shida za wananchi, na baadaye akatutengenezea hadithi ya Sizonje kutuaminisha kuwa yeye ndiye kiranja wa wanyonge anayejua...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Samia huyo mpemba wako waziri wa Uchukuzi yuko wapi, wamekufa watu zaidi ya 30, nauli zinaongezwa holela Makame Mbarawa Mnyaa wala hana taarifa!

    Huyu Samia nani kamlazimisha kugombea huu urais? Huyo mzanzibari hataki hii kazi, ni Kikwete? Kwa maslahi ya nani? Ni wazi zahv hatuna Rais wa JMT, mwezi wa Februari wamiliki wa vyombo vya usafiri walijiongezea nauli walivyoona wao inafaa, hatumwona waziri wala naibu wake wala mkurugenzi mkuu...
  8. E

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA kagueni kuhakikisha mabasi yanayochukua nauli ya VIP yanatoa huduma zinazoendana na hadhi hiyo

    Kumekuwa na uwepo wa mabasi yanayotoza nauli za VIP, lakini huduma na hali ya mabasi hayo hazikidhi viwango vinavyostahili. Tarehe 3 Oktoba, nilisafiri kwa basi la kampuni ya Ally’s kutoka Mwanza kwenda mkoani Rukwa saa 9:00 mchana, ambapo nilitozwa nauli ya VIP ya Sh45,000. Hata hivyo, basi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA Simiyu haifanyi kazi, abiria wanatozwa nauli ambazo haziendani na umbali wa safari

    Mamlaka ya Usafirishaji Simiyu haifanyi kazi kwa usahihi, kwani abiria wamekuwa wakitozwa nauli ambazo haziendani na umbali wanaosafiri. Mfano, umbali kutoka Bariadi mpaka Dutwa ni km 38, ambapo nauli inayotozwa ni Sh3,000, huku umbali kutoka Mwakibuga wa km 6 ukitozwa Sh2,000. Umbali kutoka...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usipande gari ambalo nauli yake haumudu from Day 1 >the end

    Haya makosa wanaume walio wengi wanayafanya pasipokujua mlipuko wake upo,na lazima ulipuke 1. Epuka "Fake Life" (Maisha ya Sifa) Wanaume wengi wanapoanza mahusiano, ili kumvutia mwanamke, hujifanya wana uwezo mkubwa wa kifedha kuliko uhalisia wao. Wanatoka nao kwenye hoteli za gharama kubwa na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ofisi imenikatalia kwenda Mbeya kwa ndege kwa sababu ya ukubwa wa nauli - ATC sio lile shirika la Watanzania masikini alilolikusudia Magufuli!

  12. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Nilimuambia naishi mbwenyi yeye akdhani nimesema mbweni, hata nauli ya bajaji hakuniomba

  13. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi

    Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi Karibuni
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatuelewi nauli rasmi ya usafiri wa umma Arusha - Moshi ni sh ngapi? LATRA toeni ufafanuzi

    Baadhi ya wasafiri wanaotumia usafiri wa umma katika njia ya Arusha – Moshi – Arusha tumekuwa tukikumbana na changamoto kuhusu utofauti wa bei ya nauli inayotozwa na watoa huduma. Katika nyakati mbalimbali, imeonekana kuwa baadhi ya abiria hutozwa nauli tofauti, huku viwango vikibadilika kati...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Daladala za Mbezi-Goba-Kawe zinatoza nauli isiyoelekezi, ukiuliza wanakuwa wakali

    Mwezi Aprili, LATRA ilipotangaza nauli mpya, ilieleza kuwa safari zisizozidi kilomita 10 zitatozwa Shilingi 700, huku safari zisizozidi kilomita 20 zikitozwa Shilingi 900. Hata hivyo, kwa takribani wiki mbili sasa, daladala za njia ya Mbezi–Goba–Kawe zimekuwa zikitoza nauli ya Shilingi 1,000...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara - Mbezi), DART wafafanua

    Kumekuwa na malalamiko ya watumiaji wa mabasi yaendayo haraka (BRT), kuhusu ukubwa wa nauli za mabasi hayo na kutokuwepo kwa tiketi za muunganisho wa safari. Soma pia: Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi (DART/UDART) na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara -...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli ya Dar es salaam mpaka Dutumi (Morogoro vijijini) kupitia Ngerengere ni TZS 20,000 Licha ya kuwa ni Kilometa zisizozidi 90. LATRA mpo wapi?

    Inakuwaje nauli kuwa kubwa kuliko umbali halisi wa safari? Je, nauli hii imepitishwa na LATRA kweli? Kama imepitishwa, ni vigezo gani vilivyotumika kuamua kiwango hiki cha nauli, na inalingana na viwango rasmi vilivyowekwa? Wananchi wanastahili kupata maelezo ya wazi kuhusu namna nauli...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi (DART/UDART) na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara - Mbezi)

    Habari zenu Wana-Jukwaa, Naandika uzi huu kuwasilisha kero inayowakabili wananchi na wasafiri wa kila siku wanaotumia Mabasi ya Mwendokasi (DART) katika korido ya Morogoro Road, kuanzia Kivukoni, Gerezani, Kimara hadi Mbezi. Tunatambua mchango mkubwa wa usafiri wa mwendokasi katika kupunguza...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Buza tunaotumia usafiri wa Umma tunatozwa nauli tofauti na nauli elekezi

    Wananchi tunaotumia usafiri wa umma, hususan wakazi wa Buza, tunakabiliwa na kero ya kutozwa nauli tofauti na bei elekezi. Kwa mfano, nauli kutoka Mnazi Mmoja hadi Buza ni Shilingi 700, lakini baadhi ya magari yanapofika kituoni Buza huishia mwanzoni mwa kituo. Abiria wanaopanda hapo hutozwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mabwepande hatuna daladala, tunateseka kwa nauli za Bajaj. Tupate daladala angalau hadi Tegeta

    Mabwepande kuelekea Bunju B ni Shilingi 1,500 kwa Bajaj kitu ambacho ni gharama kubwa kwa wananchi wa hali ya chini, ushauri wangu zipatikane daladala zitoke Mabwepande ziende Tegeta Nyuki, ambapo kila mtu anaweza kuafodi nauli hata wanafunzi wa shule itawarahisishia sana. Zipatikane daladala...
Back
Top Bottom