Mkazi wa Kijiji cha Mafisa, Kata ya Mvungwe, Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga, Juma Hamisi Msilagi (69), amezawadiwa shilingi elfu ishirini baada ya kusalimisha kwa hiari silaha moja aina ya gobore aliyokuwa akiimiliki kinyume cha Sheria.
Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi Tanzania...