Nina furaha kubwa wiki hii,nimefanikisha mwanamke na mwanaume mmoja,kukutana na kukubaliana kuoana.Moyo wangu umejaa furaha baada ya wote kunipigia simu na kuniambia baba asante sana,harusi yao itakuwa mwezi wa 6.Mungu wangu asante sana
Kupumzika (Kulala) kwa muda sahihi (Saa 6), kunywa Tangawizi tupu iliyowekwa katika Maji ya Moto, kutafuna Nazi, kutafuna Vitunguu Swaumu punje 3 hadi 5 kila Siku, kunywa Maji ya Wastani, kula Kujiko kimoja (asubuhi na Usiku) cha Asali mbichi, kutafuna Karanga angalau mara moja kwa Siku, kunywa...
Heshima kubwa sana kwenu, nilikua nasikiaga tu sifa zenu ila jana nimejionea ππ½π₯ππ½ππ½ππ½.
Wakora sana, nahisi nimempata omugonzibwa wange π π π π.
https://youtu.be/wrEDCIdx0ek?si=W-8HZWjEOf5oA5eR
Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu.
Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH...
Huo ndio undugu sasa. Maana sisi wenyewe tusingeweza
Game yetu ya mwisho na waarabu tushindwe wenyewe sasa. Turejesheni calculator za watu
Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
Wanabodi,
Hii story ya Sultan wa Zanzibar kurejea Zanzibar
Ni fake news. Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni
Jana baada ya kuisoma na kuchangia, nilipandisha bandiko la maoni yangu.
Kaka yangu mmoja kutoka Zanzibar, Kaka Chale, akanipigia simu...
Tumepita sasa hivi hapo, Basi la Asante Rabbi linalofanya safari zake Arusha Mwanza, limegonga Canter baada ya dereva wa basi hilo kujaribu ku-overtake.
Mtu mmoja mwanaume amelala chini pembezoni mwa ajali huku akiwa hajitambui.
Maafisa wa jeshi la polisi wamefika eneo la tukio.
Taarifa zaidi...
Huwa nasikia watu wanashinda kesi za kulipwa fidia, Baada ya hapo huwa kuna mchakato wa Malipo.
Kwenye mchakato wa kulipwa unaweza kufanikiwa kulipwa bila connections ama mafungu ya asante ?
Tetesi nilizopata zimenisikitisha, kwamba inabidi utoe asilimia kadhaa π£ππ ili faili lako likimbizwe...
Kusema kweli katika siku ambayo nitachafukwa basi ni siku ambayo Mwamba ataamua tena kurudi ulingoni na kugombea muhula wa tano. Nitachafukwa sana niwe mkweli.
Kama kuna siku nitampa Mwamba heshima yake basi ni ile siku atakayosema kuwa this time inatosha naomba nipishe damu mpya nibakie kuwa...
Wakuu,
Mbowe amerusha kijembe huko kuwa suala la yeye kugombea haliwahusu watu wa nje, ni kama pilipili tusiyoulia inatuwashia nini? Suala la kugombea chama kitasema agombee au lah.
Asema kuna watu wanatamani sana kuona kuna mafarakano chadema, na kwamba hilo haliwezi kutokea, wabaya wao...
Salaam Wakuu,
Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei.
Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya kuwa IGP. Ameenda amefanya kazi nzuri, amefunga Mirija yote. Polisi wastaafu walikuwa wanasikilizwa kwa...
Bwana ni jumapili mpya ya tarehe 1/12/2024 asante Bwana kwa neema ya kuuona mwezi mpya.
Bwana naomba mwezi huu ukawe ni mwezi uliobeba baraka na mashangilio tele ukawe mwezi wa kurejeshewa, kupata, kuinuka
Bwana hakika sisi na wanadamu ndani mwetu hatuishiwa mahitaji Bwana. Tunazo ndoto za...
ASANTE SANA KARIAKOO!
NINGEKUWA kwenye jengo lililoporomoka. Sina matumaini ya kuokolewa. Nini ningefanya? Simu yangu ingekuwa na charge, network ipo sawa, ningeandika ujumbe gani kwa familia? Ningepost nini mtandaoni jamii isome?
Moyo mzito kuwafikiria waliowapoteza ndugu zao waliowapenda...
Habari yako kaka Magical power pia pole Kwa msiba ulio kufika,napenda kukupa Asante ya mrejesho wangu huu,utakapo lud ewan utaukuta.
nimefuatilia masomo yako nimefanikiwa kuwa mtu angalau kwa sasa hivi baada kutoka kwenye yale mahusiano magumu ambayo nilikuwa nayo hapo awali Sina budi...
Mungu Baba asante kwa jumamosi mpya katika maisha yetu. Tukumbuke katika mengi tuyatamaniyo katika maisha yetu twaomba
Eee Mungu wetu, tutendee wema wako katika hatua zetu za maisha. Usitunyime tuombapo kwako, uzisikilize kwa wema sala na haja zetu.
Baraka na neema zako ziwe pamoja nasi Bwana...
Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA.
Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso...
Hamjambo member wote wa JF?
Mimi naitwa inch 9, mwanachama mpya mkongwe wa JF nichukue fursa hii kumshukuru Mungu wangu pamoja na wale waliofanikisha kunileta duniani.
Awali ya yote napenda nimshukuru pia member mkongwe wa JF wa kuitwa Mzizi Mkavu kwa sababu kupitia yeye ndo nilianza kuufahamu...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la leo
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe.
Hoja ya leo ni je kuna uwezekano sisi...