asante

  1. LA7

    Asante Mungu nimelishinda tena hili jaribu

    Iko hivi, kuna siku kuna mteja kijana alikuja hapa ofisini kwangu nimtengenezee simu kama miezi mitano imepita hivi, ilikuwa ni smart ya kubadili kioo. Sasa nikamtengenea akarudi kuchukua kesho yake. Akaondoka baada ya wiki moja akarudi na ile simu ikiwa imepoa battery hivo nikampa simu moja ya...
  2. figganigga

    Wafanyakazi wa TANESCO wagoma kutoa asante kwa Maharage kwa Utumishi ukiotukuka

    Baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO wamepinga graphics zinazosambaa za kumpongeza Maharage na mwenyekiti wa Bodi. Wanahoji hizo pongezi wamezitoa wakiwa wapi? Imedaiwa ni kikundi cha watu kimeshinikiza watu wakae na kutoka ASANTE na Shukurani. Hizo Pongezi za Mkurugenzi mpya tumezitoa wapi hata...
  3. figganigga

    Asante Rais Samia kwa Kumtumbua Maharage wa TANESCO. Naomba apelekwe Mahakamani

    Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco. Rais Samia, hapa umeupiga mwingi. Mtumbue na Januari...
  4. F

    Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

    Historia ya Serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui. Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua Serikali ya Mwl Nyerere. Inadaiwa dereva teksi aliyekuwa akiwasafarisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya Siri alibaini mpango wao na...
  5. M

    Asante KAZE tumeiona: Kwa nini Kaze kawazuia washambuliaji wake wote kushambulia hapo mwishoni mwa mchezo?

    JIBU: Ili kuwaruhusu wachezaji wote wa Yanga washambulie bila hofu ya counter attack!! Tunaposema kilichofanyika ni "IMETHIBITISHWA" muwe mnaelewa!! Na kweli bwana wakapewa kagoli kamoja!!
  6. Jidu La Mabambasi

    Asante Yanga na Simba, klabu zinazo liheshimisha Taifa

    Katika Taifa kuna sera au ksulimbiu au harakati zinazowaunganisha wananchi na kuwa Tsifa moja. Michezo nchini imekuwa mbadala wa siasa kwa sasa hivi. Katika miaka ya karibuni, mpira(football) ni mchezo ambao umewaunganisha wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa. Mpira umefanya kitu ambacho...
  7. econonist

    Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

    Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
  8. Lanlady

    Asante serikali kwa ajira, ila wanajua kutunyoosha!

    Kama mtu huna ajira ni afadhali utafute tu namna ya kujiajiri. Ajira za serikali zina changamoto zake nyingi! Fikiria mtu anaajiriwa kwa mshahara wa laki 4 kwa mwezi. Kama haitoshi mtu huyu ananyimwa nyongeza ya mshahara kwa kigezo cha ajira mpya ilihali gharama za maisha ziko juu kwa wote.
  9. Termux

    Asante DPW kwa kutuonesha Rangi halisi ya nchi yetu

    DPW umekuja wakati sahihi sana katika taifa letu pendwa la tanzania. Tumepata kujuwa wanachi mambo ambayo tulikuwa atuyafahamu hapo mwanzo, na kutupa uwelewa kuhusu mambo yanavyo pelekwa kwa maslai ya watu wachache na familia zao. Tumeanza kujionea mambo kama: WABUNGE Kuna baadhi ya...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mzungu akisaidiwa, humtaja aliyemsaidia na kumshukuru hadharani. Mswahili huishia kusema Mungu umenisaidia

    Najiuliza hivi kwanini mtu akiwa shidani, wa ngozi nyeupe, ukimkwamua shidani mwake, atakushukuru sana na hatoona aibu kusema hadharani, fulani kanisaidia. Lakini sasa sisi kina Mtokambali, ukisaidia na fulani, humtaji, hata ukiulizwa ile shida yako umeitatuaje? Unaishia kusema ni Mungu...
  11. N

    SoC03 Asante Magharibi, karibu Mashariki

    Kwa takriban karne 21 sasa Bara la Afrika limekuwa likitegemea Teknolojia kutoka Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, Ujerumani, Uingereza na baadhi ya Mataifa ya Asia Magharibi. Kwa hili naomba niseme asante sana kwa Mataifa ya Magharibi kwani mmeweza kulisaidia Bara la Afrika katika nyanja...
  12. M

    Asante kwa kuwaleta WASUDANI. Changanya Mbegu ni jambo jema sana

    Nchi ikiwa na mchanganyiko hupendeza sana, ndio maana ukifika Marekani unakutana na kila MMEA WA BINADAMU, yaani unakutana na mtu anatisha balaa, mwingine wa kawaida, mwingine mzuri balaa, halafa anakuja tena mzuriii, ukisema umemaliza unashangaa unakutana na kitu hadi unajiuliza ni cha hapahapa...
  13. R

    Asante Bwana Yesu, angalau hili la kuuza bandari hata wajinga wa Tanganyika wamelielewa

    Ameuza bandari za watanganyika, angalau hili hata wajinga wamelielewa. nasema hata wajinga wa tanganyika hili wamelielewa
  14. Stephano Mgendanyi

    Wilaya ya Ludewa Tunasema Asante Sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    LUDEWA TUNASEMA ASANTE MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Wilaya ya Ludewa tunamshukuru Rais wa Jamhuri wa Muugano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hasani kwa kuipatia fedha Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa Boost katika kipindi cha mwaka wa fedha...
  15. Gautten Potten

    Asante Eugene { Gene} Deitch

    Gene (illustrator na Comic artist) ni moja ya watu walifanya utoto wa watu wengi kuwa na raha kwa namna yake. Mchoraji huyu na Director wa Tom and Jerry ambao majina yao halisi ni Jasper na Jinx aliweza pia kuwa Mchoraji wa katuni ya Popeye the Sailor. Wasichokijua watu kuwa katuni imeakisi...
  16. GENTAMYCINE

    Asante Kocha Nabi kwa kutuandaa mapema Kisaikolojia kama tukifungwa au kutoka Sare na Marumo Gallants FC leo kwa Mkapa

    "Nimewaambia Wachezaji wangu kuwa Mechi hii ya leo ni ngumu Kwetu kwakuwa tunacheza na Timu ngumu na yenye Wachezaji mahiri hivyo tuache kufanya Makosa yasiyo ya lazima na tutumie nafasi zetu mapema kabla hawajatuadhibu" Kocha Mkuu wa Yanga SC Nabi. Na GENTAMYCINE sijawahi kuona Kocha Nabi...
  17. Kabende Msakila

    Asante Ali Hassan Mwinyi. Hussein Mwinyi aliandaliwa, ni mwadilifu!

    WanaJF Salaam! Maji hufuata mkondo wake - Rais wa awamu ya pili wa JMT alijizaa mfano wake. Hussein Ally Hassan Mwinyi (Rais wa sasa wa nchi ya Zanzibar) ni kiongozi shupavu na mwadilifu sana! Chini ya uongozi wake naiona Zanzibar inayofunguka - naiona Zanzibar inayobadilika - naiona...
  18. Anna Nkya

    Karibu Kamala Harris, Asante Rais Samia Suluhu

    Kuna kipindi Rais Samia alienda Marekani, halafu ikatokea kwamba hajafika Ikulu ya Marekani. Baasi humu mitandaoni akaanza kushambuliwa hasa na watu wa CHADEMA kwamba hajaonana na viongozi wakuu wa Marekani kisa Tanzania hakuna demokrasia. I dont think kama walisema kweli ila sawa hakwenda...
  19. Pascal Mayalla

    Ikitokea umeshauri mtu avae Hijab nyekundu, huyo mtu akavaa, utajisikiaje? Kwa hili, Big Up Rais Samia na Serikali yako kwa kuwa wasikivu

    Wanabodi Jumapili ya leo, ni March 26, 2023, nimepata tena fursa ya kuja na makala nyingine ya kwa maslahi ya taifa. Mabandiko mengi humu JF ni mabandiko kuhusu habari na matukio "news and events", kuzungumzia watu na matukio, lakini ni mabandiko machache sana humu ni ya mawazo tuu na vitu vya...
  20. Roving Journalist

    Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lilioandaliwa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) katika Ukumbi wa Kuringe - Mkoa wa Kilimanjaro leo tarehe 08 Machi, 2023. Rais Samia akipokelewa na Viongozi wa Chadema...
Back
Top Bottom