asante

  1. Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.

    Wanabodi Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa...
  2. Neno “Asante” ni dogo sana lakini lina maana kubwa sana

    Kiukweli kabisa kuna watu hawajui kusema Asante Jamani! Sijui ni kutokuridhika na hata kitu kidogo. Usiposema asante huwezi pata zaidi hata siku moja zaidi ya kupoteza. Mimi binafsi kuna nimempatia vitu vingi lakini ni kama anataka zaidi yani anaonyesha kuna kitu bado sijampa. Hiki kitu...
  3. L

    Asante sana Saido Ntibazonkiza for making good to the club

    Niko Wizarani nafuatilia kuhusu ukweli wa transformation ya Simba umekomea wap zaidi ya mwaka wa tatu sasa, nakutakana na Thank you ya Saido Ntibanzokiza. Kwangu anabakia kuwa Shujaa ndani ya Simba, ni mchezaji ambaye ametoa mchango mkubwa sana ndani ya klabu yetu kuliko mchezaji yoyote yule...
  4. U

    Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

    Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024...
  5. Prof. Muhongo ataja utajiri wa madini nchini “Tufanye maamuzi haraka tutailisha dunia”

    https://www.youtube.com/watch?v=k0X8CsnDV24 Ni kazi ngumu kufikisha idara hii ya geology ambayo kwa kwetu imeonekana kama ina mchango mdogo wakati ndio yenye utajiri wa madini. MINING GEOLOGY IT
  6. T

    Asante Mungu muumbaji wa Mbingu na Ardhi kwa wema na Rehema zako

    Namshukuru Mungu kwa wema wake kwangu. Pamoja na changamoto mbalimbali ninazopitia hapa duniani, bado wema wake ni mkuu mno kwangu. Ndugu wasomaji wa ujumbe huu, nawasihi tuwe na tabia/desturi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu hata kwa kidogo tulichopewa. Shukrani hufungua milango mingine ya baraka...
  7. Tribute to Dr. Geoffrey Mkamilo, Kipenzi cha Wanahabari, Umefanya Makubwa TARI, Tanzania na Watanzania!, Asante kwa Utumishi Uliotukuka!.

    Wanabodi 23/5/2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI). Dr Mkamilo alikuwa Kipenzi cha wanaabari...
  8. Buriani Mzee Ruksa: Ni Deng Xiaoping Wetu wa Mageuzi ya Kiuchumi, Demokrasia, Haki za Binadamu na Uhuru wa Habari. Asante kwa Ruksa Zako, Pumzika!

    Wanabodi Siku ya leo, tunampunzisha Mzee wetu, Rais Mtaafu wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, kwa jina maarufu la Mzee Rukhsa, kwenye nyumba yake ya malalo ya makao ya milele. Mara ya Kwanza Kulisikia Jina la Ali Hassan Mwinyi. Kwa mara ya kwanza jina la Ali Hassan Mwinyi, nililisikia mwaka...
  9. Asante Serikali ya CCM kwa kupunguza bei ya Vinywaji, punguzeni na bei ya mafuta

    Kongole kwa Serikali sikivu, imetukumbuka kwenye Kutii kiu yako slogan! Na wapenguza pakubwa kweli kwa Vinywaji vyote kuanzia Wine 🍷 hadi juice 🧃. Wanajua hii nchi kipaumbele chetu ni starehe, kwahio hawawezi kufanya KAZI masuala ya msingi kama mafuta, bei ya umeme, miundo mbinu, Ada za vyuo...
  10. Vijana mnakwama wapi? Kuna kijana nilimuunganisha ajira hata asante hajanipa anataka nimtafutie ajira sehemu nyingine sasa

    Hello! Huyu dogo kama atakuwa humu atasoma bandiko hili maana si baya kivile. Imepita mwaka sasa tangu nimuunganishe kwenye ajira (sekta binafsi) kama dereva wa malori. Kampuni kubwa tu hapa Bongo. Anapokea around 500k -800k kwa mwezi. Sasa ile stori na wenzake anapata kujua fursa zaidi kwenye...
  11. Asante Makonda kwa kutugusa sisi walalahoi wa chini kabisa

    Sisi wanyonge wa chini kabisa ndiyo wapiga kura wakubwa, wenye uwezo wao muda wa kwenda kupanga mafoleni wataupata wapi? Ili wapige kura! Sisi huku chini ndiyo tunaodharauliwa, kuonewa, kunyanyaswa, kudhulumiwa na mengi tu mabaya ya hovyo hutufika sisi ikiwapo kunyanganywa haki zetu wakati...
  12. Watumishi wa serikali, Wakurugrnzi na Mawaziri, je vyeo mlivyonavyo ni vya asante hamna mamlaka navyo?

    Nimekuja hapa ninayo machache sana ya kuongea japo naona kama niongee mengi! Nasikitika ninapoona Katibu itikadi na ueneziwa CCM, akiwakalipia Wakurugenzi,DC,Waziri na Wabunge nabaki kinywa waz,i sielewi kile cheo cha uitikadi kikubwa kiasi kiribia na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi...
  13. Asante Mama Samia kwa utenguzi huu; Ulichelewa kidogo

    Hongera Mama kwa jicho kuona huko nishati kuna mengi najua ni mwanzo HONGERA SANA
  14. Maxence Melo ateuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Kufuatia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kumteua Balozi Adadi Mohammed Rajab kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, na Bi. Fatma Mohammed Ali kuwa Makamu Mwenyekiti, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  15. Ludewa tunasema asante Rais Samia Suluhu Hassan

    LUDEWA TUNASEMA ASANTE MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN Wilaya ya Ludewa tunamshukuru Rais wa Jamhuri wa Muugano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hasani kwa kuipatia fedha Wilaya ya Ludewa Milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa BOOST. Nimefanikiwa kukagua miradi yote ya BOOST Wilayani...
  16. Tiketi bure mechi ya Yanga inaenda kuifaidisha sana Simba

    Kuweka kiingilio bure mechi ya Yanga kunaongeza sana watazamaji watakaoenda kwenye mechi ya Simba. Tena kipindi hiki ambacho mashabiki wa Simba walirudi nyuma kidogo, hii ni boost kubwa sana. Yule mshabiki aliyekuwa alipe 3000 au 5000 kuangalia mechi ya Yanga ameshajihakikishia anaingia bure...
  17. Nimepona bawasiri; Asante Mungu

    Hakuna gonjwa baya kama bawasiri. Ni ugonjwa unaokera sana. Yale manyama yanavyochungulia kwenye shimo la ikweta yanaleta ukakasi mkubwa sana licha ya madhara mengine mengi. Ukichuchumaa linyama linafumuka. Ukienda kukata gogo linyama linafumuka. Unakuwa kama mama aliyejifungua. Shimo la...
  18. Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa mabadiliko ya Katiba kabla ya Sheria hii bado ni muhimu sana. Huu ni uchambuzi Wangu - Part 1

    Wanabodi, Hii ni Nipashe Jumapili ya leo 19 Nov. 2023. Kama kawa, leo nimepata fursa tena kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, kwa muktaasari wa sura zote 10 za sheria hii, kuwaelimisha elimu ya uraia na...
  19. Asante Kipa wa Singida Fountain Gate FC Beno Kakolanya 'Kujivunja' ili usicheze Mechi ya leo dhidi ya Yanga SC

    Wenye Kuujua mpira wa Tanzania na Fitna zake zote tumekuelewa hasa ukizingatia kuwa Kiasili Wewe ni mwana Yanga SC lia lia. Nasikia leo kuna Goli kuanzia 3 hadi 5 na hata 6 kama Mipango ikienda vyema. Kipaumbele pia ni Magoli kuwa mengi kumzidi mwenye Kiporo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…