ashraf ghani

  1. Analogia Malenga

    Afghanistan: Rais wa zamani Ashraf Ghani aomba msamaha kwa kukimbia nchi

    Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani ameomba msamaha kwa watu wa Afghanistan baada ya kukimbilia katika nchi za Falme za Kiarabu. "Kuondoka Kabul ulikuwa uamuzi mgumu zaidi maishani mwangu," amesema, akiongeza kuwa anajuta kwamba "hakuweza kumaliza hilo kwa njia tofauti." Bwana Ghani...
  2. M

    Aliyekuwa Rais wa Afghanistan, Ashraf Ghani atoroka na dollar za kimarekani milioni 169

    Aliyekuwa Rais wa Afghanistan aliyepinduliwa na kikundi chenye msimamo mkali Taliban, Ashraf Ghani yasemekana ametoroka na zaidi ya kitita cha dollars za Marekani milion 169. Ubalozi wa Urusi ulisema Jumatatu, Ashraf Ghani atoroka Afghanistan na magari manne na helicopter yaliyojaa pesa...
  3. Nyani Ngabu

    Rais wa Afghanistan kakimbia nchi!

    Rais wa Afghanistan, Ashraf Ghani, amekimbilia Tajikistan, kwa mujibu wa Al Jazeera! Taliban wameshinda! Taliban wamechukua nchi! Mwezi mmoja uliopita, Rais wa Marekani alisema bila kumung’unya maneno kuwa Taliban kuchukua nchi hakuwezekani kwa sababu jeshi la Afghanistan liko imara...
  4. The Sheriff

    Kabul, Afghanistan: Roketi zatua karibu na Ikulu, Rais Ashraf Ghani aendelea na sala ya Eid bila kupagawa

    Tarehe 20 Julai, 2021, takribani roketi tatu zilitua karibu na ikulu ya rais wa Afghanistan huko Kabul wakati Rais Ashraf Ghani alipokuwa akisali sala ya Eid al-Adha. Ingawa hakukuwa na majeruhi waliotokana na kutua kwa roketi hizo, kilichonifanya kuwa interested na tukio hili ni pale Rais...
Back
Top Bottom