asili

Asili is a village on the southwest coast of Tutuila Island, American Samoa. It is located between Leone and 'Amanave. It is located in Lealataua County.
Both the Malagateine Stream and Asili Stream flow through Asili before discharging into the sea. A former World War II bunker is located near the shoreline. Several species of Gobie fish, as well as Mountain bass and Freshwater eel, have been recorded in Asili Stream. The Asili Stream originates at 1,190 ft. above sea level. It discharges near the center of the embayment that fronts the village. The main branch of the Malagateine Stream starts around the 520 ft contour along the east side of the Malagatiga Ridge.

View More On Wikipedia.org
  1. Complicator

    Ni wapi kwenye Biblia inataja asili ya mtu mweusi?

    Naombeni majibu katika Biblia ni wapi ambapo mtu mweusi anatajwa chanzo chake maana tangu Adamu hadi Yesu hakuna mahala pametajwa mtu mweusi, sasa huu ujasiri wa kupigania pepo sisi tunautoa wapi?
  2. Alkebulan

    Siri iliyofichwa toka enzi na enzi juu ya uzao wa asili wa dunia hii

    Nanukuu kutoka kitabu cha KUMBKUMBU LA TORATI FUNGU LA 28: 1 Itakuwa utakaposikia sauti ya Bwana, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo Bwana, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani; 2 na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata...
  3. Tutor B

    Ijue bustani ya asili yenye mimea lishe / tiba adhimu.

    Najua mpo mnaopenda kuenzi mambo ya asili, basi pitia hiyo atacchment naamini kuna kitu utajifunza. Kwa ufupi Posh Garden ni sehemu ambapo tunajishughulisha na uoto wa asili na kufanyia kazi tafiti mbalimbali.
  4. P

    Mikataba mibovu ya gesi asilia nini wajibu wa Bunge letu?

    Majuzi nilisoma uzi wa ndugu yetu Mayala Pascal unaoelezea namna tulivyoingia mikataba ya hovyo kabisa ya Gas yetu ya Mtwara kwa wageni kijinga kabisa. Nimejiuliza sana haya; 1. Nini kilitokea hadi wabunge wakapitisha mikataba ile kwa 'hati ya dharura'? 2. Kwanini wabunge wa upinzani walikataa...
  5. Red Giant

    Jina la asili la ziwa Tanganyika ni lipi? Na neno Tanganyika linamaanisha nini?

    Kabla ya wazungu kuja Ziwa victoria lilikuwa linaitwa Nyanza. Maana ya Nyaza ni eneo pana lenye maji(Ziwa). Hata jina Rasmu walililipa wazungu ni Victoria-Nyanza. Hata ziwa Nyasa ni hivyohivyo. Neno Nyasa na neno Nyanza yana maana moja. Sasa hili neno Tanganyika linamaanisha nini? Na kuna jina...
  6. B

    Kuna wimbi kubwa sana la Ulimbukeni na ushamba kwa Watanzania hasa Mtu akijua kusoma na kuandika

    Dunia nzima ukisikia jina Ukechukwu, Obina directly linakupeleka kwenye asili yake. Ukisikia Patel, Sanjay, unapata asili yake. Ukisikia Yamamoto, Sadaaki Numata unapata mwanga huyo asili yake wapi. Hali kadhalika kwa Tanzania ukisikia majina kama Kamugisha, Aika, Bhoke unapata picha asili yao...
  7. sanalii

    Nini asili na maana ya neno Bongo

    Wengine wamekua waki refer Tanzania kama bongo na wengine waki refer Dar ea salaam km bongo, yote kwa yote, ni ipi asili na maana ya neno hili mpaka tukawa na vitu kama Bongo fleva na bongo movie?
  8. beth

    #COVID19 China yakosoa Ripoti ya Marekani kuhusu asili ya Virusi vya Covid-19

    Taifa hilo limesema Ripoti ya hivi karibuni ya Marekani inayosema huenda janga la COVID-19 lilianzia maabara sio ya kisayansi na inakosa uaminifu. China imekuwa ikikataa madai kuwa Virusi vilitokea Maabara katika Mji wa Wuhan ambapo COVID-19 iligundulika kwa mara ya mwanza mwaka 2019...
  9. Traveller_mona

    Njia ya asili ya kusafisha sinki

    Wakuu heshima kwenu? Naomba kujuzwa kwa mwenye kufahamu njia ya asili ya kusafisha masink, yaan kung'arisha masinki bila kutumia dawa za kemikali.
  10. Analogia Malenga

    Mitambo yashindwa kuondoa mti wa asili Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere katika mikoa ya Morogoro na Pwani imelazimika kuuhifadhi mti wa asili jamii ya Marula uliokuwa ukitumiwa na watu mbalimbali wa zamani kufanya matambiko ya asili kuwa kama sehemu ya kivutio ndani ya hifadhi hiyo baada ya kushindwa kukatika kwa zana na...
  11. sky soldier

    Kwanini wazanzibari wengi weusi na machotara wanaikana asili yao

    Katika sehemu mbali mbali nimeona wazanzibar weusi na machotara wakikataa asili yao ya kutokea huku bara, sasa sijajua wanaukataa ukweli kwanini. Hapo zamani wafanya biashara wa watumwa walifika visiwa vya zanzibar na kulikuwa na watu wenye asili ya kibantu wachache kwenye visiwa hivyo, hawa...
  12. Kasomi

    Fahamu Asili na Maana ya Television(Runinga)

    HISTORIA NA ASILI YA RUNINGA Televisheni (kifupi: TV) au runinga ni chombo (kifaa) chenye kiwambo (kioo) ambacho kinapokea mawasiliano kutoka kituo cha televisheni na kuyabadilisha kuwa picha na sauti. Neno "televisheni" linatokana na maneno mawili: tele (kutoka Kigiriki: kwa mbali sana) na...
  13. Tony254

    Mtanzania mwenye asili ya Kiarabu ameshinda Nobel Price in Literature

    Huwa nasema kwamba hawa Waarabu wa Tanzania wanajituma sana. Wana bidii ya mchwa na ni werevu sana. Kuna Mtanzania mwenye asili ya kiarabu aliyeshinda Nobel price in literature. Hawa wabongo wengine weusi wapiga ramli endeleeni kuzubaa tu.
  14. Red Giant

    Wakazi wa asili wa Zanzibar ni watu gani?

    Maana miaka ya 1800 Sultani alianzisha kilimo cha karafuu Zanzibar. Biashara hii na ile ya utumwa ilikuwa ya pesa nyingi. Mwishowe akaamua yeye mwenyewe kuhamia Zanzibar. Hapo waarabu kibao kutoka Oman wakahama naye. Wakaanzisha mashamba ya karafuu na kuweka watumwa kibao kufanya kazi. Hata...
  15. Sky Eclat

    Adolphe Sax mgunduzi wa Saxophone asili yake ni Ubelgiji

    ADOLPHE SAX Adolphe Sax invented the musical instrument that bears his name - the saxophone - but his childhood was one that included accident after horrific accident. Born Antoine-Joseph Sax in Dinant, Belgium in 1814, Sax came from a musical family. He started crafting his own musical...
  16. jollyman91

    Serikali ya Canada yahukumiwa kuwalipa fidia wakazi asili wa nchi hiyo

    Mahakama ya Haki za Binadamu ya Canada ambayo mwaka 2016 iliituhumu serikali ya nchi kuwa imefanya ubaguzi wa kimbari, kutumia mabavu na kuua Wahindi Wekundu wenyeji wa nchi hiyo imeitaka serikali ya Ottawa kuwalipa fidia Wahindi Wekundu kwa kupatikana na hatia ya kukiuka haki zao za kibinadamu...
  17. M

    Ujerumani: Mbunge mwenye asili ya Senegal ameshinda jimbo la uchaguzi

    Karamba Diaby alishinda jimbo la Halle (Saale) kwenye uchaguzi mkuu nchini Ujerumani tarehe 26 Septemba. Dk Karamba alizaliwa Senegal akafika Ujerumani akiwa mwanafunzi mnamo mwaka 1986. Baada ya kuhitimu shahada ya uzamivu ya kemia alianza kujihusisha na siasa akajiunga na Chama cha...
  18. Pascal Mayalla

    Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

    Wanabodi, Moja ya topic ngumu sana humu JF, ni topic za kitu kinachoitwa Trends Readings za psychoanalysis trends, kinacho tokana na ku Psychoanalyse Trends kisaikolojia kwa kutumia tabia za mtu za nyuma, tabia zake za sasa kuweza ku détermine tabia zake za huko tunakwenda na ni nini...
  19. beth

    Burundi: Majanga ya asili yapelekea watu zaidi ya 100,000 kukimbia makazi yao

    Majanga ya Asili yamesababisha Watu kukimbia makazi yao miaka ya karibuni, ikielezwa wengi wao walikuwa wakiishi pembezoni mwa Ziwa Tanganyika ambapo viwango vya maji vimeongezeka na kusababisha mafuriko na maporomoko Shirika la Save The Children linasema takriban 85% ya Watu 122,500 wanaokaa...
  20. Sky Eclat

    Kifungua kinywa cha asili ya mbantu ilikua maini figo na matunda

    Kabla ya ujio wa wakoloni wahenga walikua wawindaji. Wenye nguvu waliwinda wanyama na wengine wakitembea kutafuta mizizi na matunda. Matunda ya asili yalikua ni pamoja na matango. Wawindaji waliacha mitego usiku na waliamka alfajiri kuangalia mawindo. Mnyama aliyepatikana alichinjwa na...
Back
Top Bottom