asilimia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    Asilimia kubwa ya wanawake/ wasichana wa kanda ya ziwa wana chale mwilini

    Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa. Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila...
  2. MK254

    Asilimia kubwa ya waliokamatwa kwenye maandamano ya vyuo Marekani sio wanafunzi, walijichomekea tu

    Itabidi wafurushwe na kurejeshwa kwenye nchi zao..... New York City officials say nearly half of the 282 people arrested at pro-Palestinian protests on two campuses this past week are not currently affiliated with either school. The arrest breakdown was released on Thursday by the New York...
  3. G

    Ni kwanini Introverts wana asilimia kubwa kwenye kutoboa?

    Muhimu: Elewa neno asilimia kubwa haimanishi ni wote, hata wazaramo wakimya wapo lakini asilimia kubwa ni waongeaji. Introverts ni watu ambao wanapenda kuwa peke yao muda mwingi, mkikutana mnasalimiana, anaweza kukusaidia, n.k. wepo waongeaji wazuri tu lakini bado wanapenda muda mwingi kukaa...
  4. R

    Kenya mishahara kupanda kwa asilimia sita kwa wafanyakazi wa kima cha chini, Tanzania vipi?

    Ukimsikiliza Rais wa Kenya anavyochambua uchumi na mipango ya kupanua ajira unabaini hotuba yake imeandikwa na wataalam kwa kuzingatia presha kubwa iliyopo kwenye vyama vya wafanyakazi. Pamoja na kwamba hakuna ahadi kubwa wanayopata wafanyakazi Kenya kulinganisha na Tanzania ila vyama vya...
  5. Miss Zomboko

    SIPRI: Matumizi ya kijeshi kote duniani yameongezeka kwa asilimia 7 kwa mwaka 2023

    Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa masuala ya amani na usalama SIPRI, imesema matumizi ya kijeshi kote duniani yameongezeka kwa asilimia 7, ikiwa ni sawa na dola trilioni 2.43 kwa mwaka 2023 Taasisi hiyo ya SIPRI iliyoko mjini Stockholm, Sweden, imesema ongezeko hilo la asilimia 7 ni kubwa...
  6. Stephano Mgendanyi

    Idadi ya Wanawake Wanaomiliki Ardhi Nchini Imeongezeka Kutoka Asilimia 25 Hadi Asilimia 41

    "Serikali imefikia wapi kuweka utaratibu rahisi wa urasimishaji na umilikishaji Ardhi hususani kwa wanawake? - Mhe. Rose Cyprian Tweve, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa "Serikali inatekelezeka mradi wa kuboresha usalama wa milki ya Ardhi kupitia mradi wa LTIP kwa mkopo wa fedha kutoka Benki...
  7. K

    Mali wanataka umiliki wa asilimia 30 kwenye migodi,Tanzania tunakwama wapi?

    junta WA Mali anataka umiliki wa migosi ya dhahabu asilinia 30 huku akitageti kuumiliki Moja kwa .ojo mgodi mku WA WA barrick kama watadelay kukubali umilikiwa hisa asilimia 30.Tanzania ya mama Samia inakwama wapi?
  8. de Gunner

    Washikilie wanaokujali

    Kuna watu, ambao wapo na wewe wakati wa raha na huwamkaribu nawe kwa manufaa yao, Kuna watu wapo na wewe, wakati wa shida na huja tu endapo utakua katika wakati mgumu, Kuna watu wapo na wewe sababu tu kuna vitu mnafanya pamoja, yaweza kuwa kazini, masomoni, au kwenye shughuli mbalimbali za...
  9. stakehigh

    Truong My Lan mdada alieiba asilimia 3% ya Gdp ya vietnam

    Truong My Lan mdada alieiba asilimia 3% ya Gdp ya vietnam https://www.youtube.com/watch?v=__nTGfQi9N0
  10. M

    Sheria ya goli ni kwamba ni lazima mpira uvuke mstari kwa asilimia 100

    Kwa maneno mengine ni kwamba ukichora mstari juu sambamba na ule wa chini halafu uchore mstari mwingine kutoka juu hadi chini perpendicular (nyuzi 90) hapo ulipo mpira, huo mstari wa kutoka juu kuja chini haupaswi kuugusa mpira! Kwa hiyo hata kama mpira umebaki. Nje kwa milimita 1 Hilo dogo...
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Asilimia 100 hujifichia CCM kutenda maovu na haramu

    Kama hujagundua hili bado wewe hufikirii sawasawa. Watu wote hupenda kuwa CCM na kupigania kupata nafasi zaidi na zaidi kama sehemu salama ya kujifichia maovu na haramu. Hii inahusu viongozi wote kuanzia juu mpaka chini. Kuanzia mwenyekiti wa shina mpaka namba moja. Chunguza hilo bila kutumia...
  12. Greatest Of All Time

    Kadogosa: Asilimia 70 ya Ujenzi wa SGR umefanywa na awamu ya 6

    Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la reli nchini (TRC) amesema asilimia 70 ya ujenzi wa reli ya kisasa umefanywa na awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa mantiki hiyo, awamu ya tano chini ya hayati Magufuli ilihusika na asilimia 30 tu🤣 My take: Legacy inafutwa kwa kishindo, mnyonge...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aysharose Mattembe asisitiza matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa wajasiriamali wa mikopo ya asilimia 10 Singida DC

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe Katika kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani 2024 alipata fursa ya kuwa mgeni rasmi katka sherehe zilizofanyika Tarafa ya Mntinko Wilaya ya Singida. Mhe. Aysharose Mattembe aligawa Vyeti vya pongezi kwa vikundi vya Wajasiriamali...
  14. Frank Wanjiru

    George Job: Asilimia 99.99% ya mashabiki wa Simba ni wanafiki.

    "Maisha Bila unafiki hayaendi ,wakati nazungumza wakati wa AFL kuwa Al Ahly wako unga mashabiki wa Simba SC walinishambulia Kwa kuwa nilisema Ahly alikuwa anacheza tu dhidi ya Simba SC ,lakini baada ya kutolewa kwa aggregate wengi wanaamini kuwa walikuwa na nafasi ya kupita" "lakini Jana baada...
  15. Miss Zomboko

    Asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume

    Wanawake wanakumbana na viwango vya umasikini vya juu kuliko Wanaume, na pengo la kijinsia katika Umasikini linatarajiwa kuendelea hadi katikati ya karne. Takwimu za Kimataifa kutoka UN Women zinaonesha, asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume...
  16. Yoyo Zhou

    Uchumi wa China watarajiwa kukua kwa asilimia 5 mwaka huu

    Mkutano wa Bunge la Umma la China na Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China inafanyika, na suala la kiuchumi linafuatiliwa sana na jumuiya ya kimataifa. Katika ripoti ya kazi ya serikali iliyowasilishwa tarehe 5 kwenye mkutano wa Bunge la Umma, China iliweka lengo la ukuaji wa...
  17. Mganguzi

    DOKEZO Asilimia 80 ya maji ya kopo Dar es Salaam ni feki na machafu, hayafai. Kwa hali hii usalama wetu uko wapi?

    Kujali afya ya binadamu mwenzio hata kama unafanya biashara na unatafuta hela ni muhimu sana. Wafanyabiashara mnatuua bila huruma sisi waja wema. Nimefika Mbezi mwisho barabara inayokwenda Kinyerezi kuna ofisi maalumu ambayo wanakusanya makopo na kupakia maji machafu yasiyofaa hata kidogo...
  18. L

    Ongezeko la asilimia 5.2 la uchumi wa China kwa mwaka 2023 ni habari njema kwa Afrika na dunia

    Serikali ya China imetangaza kuwa uchumi wa China kwa mwaka 2023 ulikuwa na ongezeko la asilimia 5.2. Habari ambayo wachambuzi wa maswala ya kiuchumi duniani wanaiona kuwa ni habari inayoleta ahueni kwa dunia, hasa ikizingatiwa kuwa hali ya uchumi wa dunia kwa ujumla bado haijatengemaa. Kwenye...
  19. K

    Bajeti ya Wizara ya Ujenzi 2023/24 ilikuwa 812 billioni zilizopokelewa ni asilimia 12 tu?

    Kwanza nimeshukuru Mhe. Chege - Mbunge wa Rorya kwa ufafanuzi na swali alilouliza kuhusu fedha za barabara zilizoidhinishwa kwenye bajeti na zilizopokelewa. Mpaka sasa tumebakiza miezi minne tu kuanza na bajeti mpya ya 2024/25. Ninauliza ninyi Wabunge tuliwatuma kuisimamia Serikali, Je...
  20. matunduizi

    Nilikuwa sijui: Asilimia zaidi ya 40 ya barabara za US ziko katika hali mbaya

    Nimeshangaa kumbe US nao kuna kipindi wanaungaunga. Kwa muda mrefu sana zaidi ya 40% ya barabara zao ziko chini ya kiwango na ni mbovu kwa muda mrefu. Chanzo https://infrastructurereportcard.org/ My take. Kama sisi tunategemea misaada kutoka kwa hawa jamaa ambao wenyewe tu wanashindwa kutatua...
Back
Top Bottom