Kuna watu, ambao wapo na wewe wakati wa raha na huwamkaribu nawe kwa manufaa yao,
Kuna watu wapo na wewe, wakati wa shida na huja tu endapo utakua katika wakati mgumu,
Kuna watu wapo na wewe sababu tu kuna vitu mnafanya pamoja, yaweza kuwa kazini, masomoni, au kwenye shughuli mbalimbali za...