Bwana James Getogo wa Ishihimulwa Tabora amesimaishwa kazi pamoja na dada Rose Shirima kupisha uchunguzi. Wawili hao walionekana kwenye video wakijibishana juu ya kutumia vifaa tiba vya malaria vilivyopita muda.
=====
Watumishi wawili wa Afya wa Zahanati ya Ishihimulwa Rose Shirima na James...
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Benard Morrison anadaiwa kusimamishwa na Kocha wa klabu hiyo, Nasreddine Nabi kutokana na utovu wa nidhamu.
Taarifa zinadai kuwa mchezaji huyo alipewa adhabu hiyo na wachezaji wengine wawili wa klabu hiyo, Djuma Shaban na Farid Mussa ambao kwa ujumla wamekosekana...
Chuo cha Uhasibu Arusha kimethibitisha tukio la Askari wa SUMA JKT kumshambulia mwanafunzi wa chuo hicho baada ya kujibizana kwa madai ya kutokuwa na Kitambulisho.
Askari huyo amesimamishwa kazi huku Uongozi wa Chuo ukiagiza achukuliwe hatua zaidi za kiutendaji na kijinai, pia, Mwajiri wake...
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa (TPBRC) imemsimamisha kwa muda Mwamuzi Habib Mohammed 'Mkarafuu' ambaye alichezesha pambano kati ya Karim Mandonga dhidi ya Salim Abeid hadi atakapopata Mafunzo ya Uamuzi.
Wali, Rais wa TPBRC, Chaurembo Palasa aliufuta mchezo huo wa Septemba 24, 2022 kutokana na...
Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Singida, Manispaa ya Singida, Thomas Ngiracha, amesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana kwa tuhuma za kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi wa kidato cha nne (jina tunalihifadhi) wa shule hiyo.
Mkuu wa Shule hiyo, Joseph Shani na Mkurugenzi wa Shule, Matliga...
Gari la Halmashauri ya Arusha linashikiliwa na Polisi Mkoani Kilimanjaro baada ya kukutwa likisafirisha shehena ya bangi kinyume cha sheria za Nchi.
Dereva wa gari hilo, Athuman Magio, anashikiliwa na polisi mkoani humo na tayari amesimamishwa kazi kwa kufanya biashara haramu.
Chanzo: Ngilisho...
Dodoma. Baraza Kuu la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) limemsimamisha rais wa chama hicho, Leah Ulaya kwa madai kuwa ameshindwa kuwaunganisha walimu na kueleza changamoto zinazowakabili.
Kwa uamuzi huo, Leah atasubiri hatima yake katika mkutano mkuu wa CWT utakaofanyika mwaka 2022 ili kujua...
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umemsimamisha kipa wake, Metacha Mnata kutokana na utovu wa nidhamu alioufanya kwa mashabiki baada ya mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting uliochezwa jana usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa na Klabu hiyo imesema kuwa, uongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.