Nafatilia video mjomgeo zinazoruka kwenye mitandao zinazo mwonesha Tundu Lissu akiwa mahakama naona na Askari Magereza jinsi ya kike najiuliza wanafanya kwenye ulinzi wa Lissu?
Uhuu UTAWALA wa wasira na wenzake ni WA OVYO kuliko tudhaniavyo trust me.