Huu utawala mimi sielewi bhana, Askari Magereza wa jinsia ya kike anamlinda nini Tundu Lissu?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Nafatilia video mjomgeo zinazoruka kwenye mitandao zinazo mwonesha Tundu Lissu akiwa mahakama naona na Askari Magereza jinsi ya kike najiuliza wanafanya kwenye ulinzi wa Lissu?

Uhuu UTAWALA wa wasira na wenzake ni WA OVYO kuliko tudhaniavyo trust me.
 
Nina Manzi angu mmoja hapo KMG alinipa details kua nae anaenda kesho yake akanipa picha nikamuuliza vipi umeenda kwa protocol zipi?

Likabaki kushangaa shangaa sema nikajisemea hili lina four ya 28 kweli nisiliulize mambo haya.

Mtahisi utani..Jina lake anaanza Jana JA.
 
Nafatilia video mjomgeo zinazoruka kwenye mitandao zinazo mwonesha Tundu Lissu akiwa mahakama naona na Askari Magereza jinsi ya kike najiuliza wanafanya kwenye ulinzi wa Lissu?

Uhuu UTAWALA wa wasira na wenzake ni WA OVYO kuliko tudhaniavyo trust me.
kwani yule mtuhumiwa mtibua minywele kama wendawazimu mahakamani anavyopiga mayowe na kurusha mikono hewani, ana changamoto ya afya ya akili ee gentleman, right?

in fact kichaa inafaa alindwe kimkakati zaidi 🐒
 
Jukumu kuu la afande wa magereza ni kulinda watuhumiwa wote bila kujali jinsia yoyote,

Ndiyo jeshini hakuna cha afande wa kike au wa kiume (wote ni afande)

Ndyo maana hata rais wa jmt wa sasa ni wa jinsia ya kike lakini anaitwa amiri jeshi mkuu na siyo amirati

Na jeshi la magereza lina maanake kumuweka huyo afande kwa huyo mhaini kichaa na mwehu anayetakiwa kufia kwenye kuta za magereza!
 
Definitely you are muslim from Zanzibar. Mipumbavu mingi inatoka pande hizo
 
Aina ya mazungumzo unayoyataka kutoka kwangu utayapata yapo mengi maana mm nakupokea unavyokuja...

Mm naitwa kerato mombaa kutoka mkoa wa mara, ni mkristo na nasali kanisa la anglikana hapa mtakatifu albano, nimebatizwa na kuwekewa kipa imara...

Kwa bahati mbaya sina hzo pgo za bavichaa na tecdema za uzanzibara na utanganyika...hyo tumewaachia vichaa wa tecdema kama sera yenu ya kuwapeleka ikulu!
 
kwani yule mtuhumiwa mtibua minywele kama wendawazimu mahakamani anavyopiga mayowe na kurusha mikono hewani, ana changamoto ya afya ya akili ee gentleman, right?

in fact kichaa inafaa alindwe kimkakati zaidi 🐒
Mashoga yaliyozibuliwa Kwa mpalange yalishachanganyikiwa hata comments zake utazijua maana yalishakuwa majuha.
 
Back
Top Bottom