Sanamu ya Askari bado tunayo licha ya ujenzi wa njia ya mwendokasi unaondelea Posta barabara ya Azikiwe
Maamuzi mazuri maendeleo yasifanye tukapoteza utambulisho wa Bongo Dar es salaam wengi wetu tumezaliwa tumeikuta, tumekuwa tukiona toka utotoni na tungependa iendelee kuwepo na kutunzwa.