askari

An askari (from Somali, Swahili and Arabic عسكري ʿaskarī, meaning soldier, or military) was a local soldier serving in the armies of the European colonial powers in Africa, particularly in the African Great Lakes, Northeast Africa and Central Africa. The word is used in this sense in English, as well as in German, Italian, Urdu and Portuguese. In French, the word is used only in reference to native troops outside the French colonial empire. The designation is still in occasional use today to informally describe police, gendarmerie and security guards.During the period of the European colonial empires in Africa, locally recruited soldiers designated as askaris were employed by the Italian, British, Portuguese, German and Belgian colonial armies. They played a crucial role in the conquest of the various colonial possessions, and subsequently served as garrison and internal security forces. During both World Wars, askari units also served outside their colonies of origin, in various parts of Africa, the Middle East and Asia. In South Africa the term refers to former members of the liberation movements who defected to the Apartheid government security forces.

View More On Wikipedia.org
  1. Kiwango cha ulemavu kwa askari wa Israel kinatisha

    Idadi ya askari walipata ulemavu katika jeshi la Israel katika vita vinavyoendelea imepanda sana na kuongeza gharama za vita. Askari hao wamekiri wenyewe kupigwa na makombora ya Hamas,ushahidi ambao hapo zamani haikutarajiwa kusikika kutoka jeshi la Israel. Habari hizi ni miongoni mwa nishani...
  2. Yahya Sinwar baada ya kuwaponyoka Israel aibuka na kusema Hamas imeshaua zaidi ya elfu askari wa IDF

    Kiongozi mkazi wa Hamas ndani ya Gaza ameibuka kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya oktoba 7 na kusema jeshi lake linapigana vita vikali na ambavyo havijawahi kutokea. Matamko yake hayo yamekuja kwa njia ya maandishi na kuonesha ni matamko ya muda unaoendelea ametoa matamko kuashiria...
  3. Polisi kushirikisha Wadau wa Haki Jinai kuchunguza malalamiko ya Wananchi kuonewa na Askari

    Jeshi la Polisi nchini limesema limeona taarifa katika baadhi ya Mitandao ya Kijamii zikionyesha taarifa za Wananchi ambao wanalalamika kufanyiwa vitendo ambavyo ni kinyume cha Sheria na Haki za Binadamu na baadhi ya Askari Polisi. SACP David Misime Akitoa taarifa hiyo Disemba 21, 2023 Msemaji...
  4. Hivi kwanini baadhi ya gari za 'Patrol' zinatolewa Plate Number na Askari wake hawatoi Vitambulisho?

    Wakuu, Kuna kitu kinanipa shida sana kuhusu utendaji wa Idara za Ulinzi na Usalama nchini, bado zinafanya kazi kizamani na kikoloni sana. Wakati dunia imeadvance kwenda kwenye Teknolojia wao bado wanafanya kazi kwa utaratibu wa kishamba sana. Kuna huu utaratibu wao kutumia magari yasiyo na...
  5. Askari wa Israel wanaopigana Gaza wakumbwa na maambukizi yasiyosikia dawa

    Mbali na askari wa jeshi la Israel wanaouliwa vitani na Hamas kuna adui wao wengine wanaowatesa kichini chini .Maabadui hao wengine ni viumbe visivyoonekana ambavyo huwakumba wale wanaopata majeraha katika vita hivyo vinavyoendelea kwa mwezi wa tatu sasa. Viungo vya askari hao huathiriwa na...
  6. Hamas wameigeuza mitaa ya Gaza kuwa tando la vifo kwa askari wa Israel

    Shirika la habari la Reuters limegundua kuwa wanamgambo wa Hamas wameweza kuigeuza mitaa ya Gaza iliyobomolewa kuwa ni mtego na tando la kuwaua askari wa Israel. Idadi ya askari wa IDF waliothibitishwa na Israel yenyewe kufa katika vita hivi tayari imeshakuwa ni mara mbili zaidi ya vile...
  7. M

    HAMAS: Tumewaangamiza askari 36 wa Kizayuni katika saa 72 zilizopita

    Dec 15, 2023 03:51 UTC Abu Obeidah, Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa Mujahidina wa brigedi hizo wamewaangamiza askari 36 wa utawala wa Kizayuni katika medani tofauti za mapigano katika Ukanda wa Gaza ndani ya...
  8. Israel ikikubali kuuliwa askari 10 leo ujue hali imekuwa mbaya kwao

    Zadi ya miezi 2 tangu vita vianze kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limekiri kuuliwa kwa askari wake 10 kwa pamoja tena ndani ya kaskazini ya Gaza siku ya jana Jumanne.Eneo ambalo awali walitangaza kuliteka lote. Miongoni mwa askari waliouliwa na Hamas ni mwenye cheo cha colonel aliyekuwa kamanda...
  9. Askari waliotuhumiwa kumuua Mlinzi wa Boardroom wafukuzwa kazi

    JESHI la Polisi jijini Dar es Salaam, limewafukuza kazi askari wawili wa Kituo cha Mabatini wanaodaiwa kumuua kwa kumpiga risasi mlinzi wa baa ya Board Room, Riziki Azan (29). Azan ambaye alikuwa mlinzi wa baa hiyo iliyoko Sinza jijini hapa, aliuawa usiku wa kuamkia Novemba 29, mwaka huu wakati...
  10. Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

    Kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limelazimika kutumia parachuti maalum ili kuwafikishia mahitaji muhimu maelfu ya askari wake wanaokaribia kufa kusini ya Gaza. Maamuzi hayo yamkuja wakati vita vya mitaani vinaonekana kuwamaliza nguvu askari hao na kushindikana kuwafikishia mahitaji hayo kwa njia...
  11. Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

    Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea. Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo. Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza
  12. Kikokotoo cha Mafao bado ni kilio kwa Askari Polisi

    Nini hatima ya kilio cha askari wa Jeshi la Polisi kuhusu kikokotoo? Hili ndilo swali linaloumiza vichwa vya askari polisi wengi hususan wale wanaotarajia kustaafu kuanzia mwakani. Kikokotoo kwa askari na watumishi wengine wa umma inaonekana kuwa kaa la moto popote kunapokuwa na mikusanyiko ya...
  13. Kuna askari wa Ukraine walivuka mto Dnipro waliko warusi halafu wakacheka kwa upumbavu wao

    Kikosi kidogo cha askari wa Ukraine hivi karibuni kilifanikiwa kuvuka mto Dnipro oblast ya Kherson kutoka upande wa Magharibi na kuingia Mashariki ambako ndiko ziliko ngome za jeshi la Urusi tangu walipoamua kuachia eneo hilo la mashariki ambalo halina umuhimu kwao kiulinzi. Kikosi hicho...
  14. Askari Wanyamapori kizimbani kwa kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania hasara ya Shilingi 2,231,000

    Askari Wanyamapori Bw. Ibrahim Silas Mtaki, Mfanyabiashara wa mbao Bw. Roden Esches Mwalongo na Mjasiriamali Bi. Lilian John Jombe, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kwa shtaka la kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania hasara ya kiasi cha Shilingi 2,231,000/=...
  15. Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  16. Kwako Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro: Ajali imefunga mawasiliano kati ya Arusha na Kilimanjaro, saidia kufungua barabara maana Askari wako wamelala

    Kumetokea ajali ya lori la futi 40 katikati ya daraja kubwa na hatari la mto Kikafu tangu saa 4 usiku, raia wamejitolea kuleta winch ndogo na kufanikiwa kutoa kichwa cha lori lkn kontena limebaki barabarani na kufunga barabara 75%. Magari toka Kenya, Manyara na Arusha yamekwama na yanayouokea...
  17. Ni kweli Askari Polisi wengi hawana ajira za kudumu? Ni kama vibarua?

    Hii ni Post ya kuomba UELEWA. Kuna Mahali nilikua nimekaa na Wadau zikaanza story hapa na pale, Kuna jamaa akasema Polisi hasa wa rank ndogo na hawa akina kajamba nani HAWANA ajira za kudumu Hadi ufikie Rank Fulani? Akaendelea kufafanua kuwa hawa ni Wafanyakazi wa "Idara" na sio watumishi wa...
  18. Majura, Askari wa Kituo cha Mabatini-Kijitonyama anayefanya kazi akiwa amelewa

    Huyu Askari anafahamika kama Majura yupo Kota za FFU Mombasa karibia na shule ya msingi. Nae alikuepo kwenye kikosi kinachovamia bar na bunduki kutafuta mabinti wanaojiuza. Huyu Askari huwa yuko chakari (kalewa) muda mwingi wa kazi na hata boss wake wa Mabatini anajua na hajawahi kumchukulia...
  19. Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza...
  20. Mazayuni walivyouliwa kwa wingi sasa wanachukuwa askari wa Kukodi kutokea Malawi

    Mapya haya sasa, Mazayunni wameanza kuchukuwa askari wa kukodiwa Malawi, wanajuwa dhiki zetu Afrika na pesa wanayotowa zitatufanya twebde tu, Dah, hali inatisha: Video clip inapanda taratibu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…