askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi siku hii Askofu Gwajima alikuwa amekula nini?!

    Udini ukiuzidisha sana mheshimiwa anawezaonekana kama mwendawazimu!
  2. Hivi siku hii Askofu Gwajima alikuwa amekula nini?!

    Udini ukiuzidisha sana mheshimiwa anawezaonekana kama mwendawazimu! ANGALIA VIDEO HII HADI MWISHO
  3. Askofu Gwajima ahofia wahuni ku-edit kinasaba cha mtu

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Dar es Salaam, Askofu Josephat Gwajima amehoji serikali imejipangaje pale itakapopokea tiba ya ‘CRISPR Cas 9 Gene Editing’ kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa seli mundu (sickle cell), kuhakikisha kwamba mtu atakapoingia kwenye chumba cha tiba hahaririwi vitu vingine kwa...
  4. Tundu Lissu: Askofu Gwajima ndiye alikua mshenga wa Lowassa kuja CHADEMA

    Wakuu Tundu Lissu amesema Askofu Gwajima ndiye alikua mshenga wa hayati Edward Lowassa kwenda CHADEMA Soma: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa "Dkt. Slaa ndiye aliyemleta Edward Lowassa CHADEMA, ndiye aliyeanzisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote majadiliano za CHADEMA...
  5. Askofu Gwajima na nyumba ya mil 8 Kwa mtogole

    Kuna clip nimeiona facebook, gwajiboy ametembelea wananchi, ikatokea mwananchi mmoja wanasema alilalamika kwamba nyumba yake imeuzwa. 1. Alimpangisha muuza bucha 2. umeme ukakatika, nyama za bucha la mpangaji zikaharibika 3. mwenye bucha akasema mwenye nyumba amlipe nyama hizo 4m 4. wamevutana...
  6. Askofu Gwajima haridhishwi na mwenendo wa Rais Samia?

    Askofu Gwajima haridhishwi na mwenendo wa Rais Samia? Amekuwa kimya sana ukilinganisha na awamu zilizopita.
  7. Mpwa wa Magufuli akiona cha moto Kunduchi, Azuiliwa kwa fitna za Askofu Gwajima

    Mdau wa michezo Furaha Dominic amesema amezuiliwa kuwa Mgeni Rasmi katika fainali ya mchezo wa mpira wa miguu katika ligi ya Kunduchi super cup kutokana na sababu ambazo amesema ni za kisiasa kwani alipata mualiko wa kuwa mgeni rasmi katika fainali hizo wiki tatu kabla lakini leo imeenda...
  8. Askofu Gwajima ashusha maombi mazito akiliombea Taifa

    Leo katika siku maalumu ya kuombea Taifa Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Kawe alipewa fursa ya kuomba kwa ajili ya taifa. Maombi yake yamenifanya nibadili mpaka mtazamo wangu kuhusu yeye moja kwa moja. Video iko hapo chini.
  9. Kituo cha daladala Kawe. Fupa lililomshinda Askofu Gwajima

    Ndugu zangu, Hali ya vituo vingi vya daladala nchini hasa wakati wa mvua bado ni mbaya sana. Lakini kama mjuavyo Mwamba ngoma huvutia kwake wacha leo niwaoneshe hali ya kituo cha mtaa wetu hapa Kawe. Miongoni mwa sehemu zilizolalamikiwa sana ni hali mbaya ya kituo cha Kawe. Mvua ikinyesha...
  10. R

    Askofu Gwajima: Tanzania hatufungamani na upande wowote

    Salaam, Shalom! Askofu Gwajima ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la kawe, amerejea msimamo wa Tanzania tangu uhuru wa kutofungamana na upande wowote katika siasa za Dunia. Ameeleza hayo akiwa ibadani wiki kadhaa zilizopita kuwa...
  11. Mungu wa Askofu Gwajima ameshindwa baada ya Paul Makonda kuteuliwa?

    Akiongea kanisani kwake, alisema kuwa amemfuta rasmi Makonda na hata onekana tena kwenye ulimwengu wa siasa, sasa makonda ameonekana tena na sasa ni boss wa Gwajima na Nape Nnauye. Ikumbukwe pia askofu Gwajima aliwahi kumtoa mtu pepo akalielekeza lile pepo kwa Makonda, mbele ya waumini pepo...
  12. Mbunge Askofu Gwajima sina Shida na REDE CUP yako ila Waambie wahusika wakiwa Wanacheza na kutuona Wanaume wasiwe wanajibinua na kuyatikisa

    Haiwezekani kila Siku kwa Nia Njema tu tunaamua kwenda kutizama Rede yao ila kwa tunayoyaona na wanayoyafanya tunajikuta mwishowe 'tunadindisha' Silaha zetu Tukuka za Kibaiolojia na hali zetu kuanza kuwa mbaya.
  13. B

    Nasubiri kauli ya Dkt. Askofu Gwajima juu ya haya yanayoendelea

    Amekuwa akijinasibu kuwa mtetezi wa maliasili na uzalendo kwa Taifa. Mpaka sasa hii ni wiki ya tatu sasa sijamsikia Kauli yake. Juzi Jumapili nimeenda kwake lakini sikusikia akisema lolote? Je ni Gwajima huyu yule wa zamani wa enzi za Corona au huyu tumebadilishiwa?
  14. J

    Askofu Gwajima: Zaidi ya wanachama 500 wapya wajiunga CCM Jimbo la Kawe

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Dkt. Josephat Gwajima (MNEC) ameandikisha zaidi ya wanachama 500 Wapya wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Bunju Mtaa wa Boko Chama 02-07-2023
  15. Askofu Gwajima: Nipo thabiti, sikuwa Mbunge ili niuze sura au kudunduliza

    Kauli za Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima "Mimi niko thabiti kwenye mambo ya Ubunge wangu, sikuwa Mbunge ili niuze sura na sikuwa Mbunge ili ‘nidundulize’, lengo langu ni kusaidia watu, nikishindwa basi bora niache. "Jimbo la Kawe tuna bahari na takribani Kata 4 zipo baharini, maana yaka ya...
  16. Askofu Gwajima asema ahadi yake kwa wakazi wa Kawe kuwapeleka Birmingham (Uingereza) bado ipo

    Baada ya kuwepo kwa maneno mengi ya utani na mengine ‘serious’ kuhusu ahadi aliyoitoa kwa kwa baadhi ya wanakazi wa Kawe (Dar es Salaam) kuwa atawapeleka Jijini Birmingham Nchini England, hatimaye akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima...
  17. J

    Askofu Gwajima KAZI KAZI jimboni Kawe

    GWAJIMA KAZI KAZI Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Dkt Josephat Gwajima (MNEC) Leo amemaliza kilio Cha wakazi wa Msasani Mtaa wa Bonde la Mpunga Kwa kuzibua mitaro yote na kuiongezea urefu na kujenga mifumo mizuri ya kupokea maji ili kuepuka Mafuriko wakati wa Mvua.
  18. Mwanza: Kigwangalla kuburutwa kortini kwa kumpiga mtu risasi.

  19. Hivi Askofu Gwajima haoni hali ya mazingira ya kituo cha Kawe hasa kipindi hiki cha mvua?

    Salaam Ndugu zangu, Kijana wenu mfukunyuzi mtembezi sipendi kuacha kutia neno kila napoona jambo halijakaa sawa. Leo nikiwa kwenye harakati zangu nimepita maeneo ya kituo cha Kawe na kuona mambo ya ajabu kabisa katika kituo kikuu cha Mabasi cha eneo hilo. Wakuu nafahamu kuwa mazingira ya vituo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…