Wanajamvi,
Mbunge wa kawe mchungaji Joseph at Gwajima leo atakuwa na mkutano mkubwa wa maombezi kwenye viwanja vya mecco kunduchi.
Mecco ni eneo lililopo kwenye mgogoro wa ardhi mkubwa .wananchi wanataka kubomolewa nyumba zao kupisha kinachoitwa mradi.
Mara kadhaa huhudi zimefanyika kumualika...
Salam wakuu.
Niende kwenye mada. Katika kuzunguka huku na kule ndani ya nchi ktk kutimiza majukumu yangu, mwishoni mwa juma lililopita nilikuwa kusini mwa nchi. Mkoani Ruvuma, wilaya moja ya Nyasa ambayo makao yake makuu ni Mbamba Bay.
Sasa, kwa siku mbili mfululizo yaani Alhamisi na Ijumaa...
Kada maarufu wa CHADEMA, James Mbowe ameandika kuhusiana na utaratibu ulionzishwa na Askofu Josephat Gwajima kuendesha mikutano ya Injili huku akitumia kufanya kampeni za siasa.
===
"Bishop Gwajima nisikilize kwa makini huenda umezungukwa na watu ambao hawakuambii ukweli! Lakini huu usanii...
Salaam Wakuu,
Huyu Baba wetu wa Kiroho nimeanza kumkatia tamaa. Ana ahadi za Uongo. Alidai kanunua vichwa vya treni ya Mwendo kazi kwa Matumizi ya Tanzania, akadai ataleta bodi za Uvuvi na kuwapeleka Vijana wa Jimbo la Kawe Marekani na Japan kubadilishana Uzoefu.
Tutachambua moja moja ila leo...
Nimehudhuria mara tatu Mikutano ya mbunge wetu wa Kawe Askofu Gwajima kiukweli mahudhurio huwa ni makubwa sana.
Je, ni wabunge wote wa CCM huko majimboni hupata mahudhurio mazuri kama ya Gwajima?
Kwa mfano Iringa mjini sijawahi kusikia mbunge kaitisha mkutano.
Kauli za Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima, Bungeni leo Juni 21, 2022
"Inapotokea utawala mmoja unamaliza na kuingia utawala mwingine, na kwa sababu mtazamo wa utawala uliopita ni tofauti na unaokuja, inabidi viongozi wengi sana wabadilike kwa sababu inaonekana kwamba maono mapya yanaingia...
Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima, ametoa pole ya shilingi laki moja kwa kila mwananchi aliyekatwa mapanga na vijana wanaodaiwa kuwa ni Panya road katika mtaa wa Mtongani Kunduchi usiku wa kuamkia Mei 2, 2022. Jumla ya wananchi 19 walijeruhiwa kwa mapanga.
Maono ya taifa ni makubaliano ya jumla ya taifa kuhusu uelekeo wa wanakotaka kufika na kujiona wamefika huko wanakotamani kufika miaka kadhaa (mingi) ijayo. Makubaliano ya aina hii ni lazima yatengenezewe mikakati ya kufika huko tunakotamani tufike kama taifa. Mkakati huo lazima utekelezwe na...
Chanjo yaanza kubadilisha utu wa binadamu. Ni kipindi cha ukweli na uwazi. Msiwafanye Watanzania mazezeta ama kwa makusudi, ama kwa kutokujua kwenu, ama kwa vyoyote vile.
Kama mnavyotoa takwimu za wachanjwaji, mnaweza kutoa takwimu za kweli za wahanga wanaoganda damu na madhara mengine...
Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Kawe jana alifanya mkutano mkubwa katika jimbo la Spika mstaafu mzee Ndugai katika kata ya Kibaigwa.
Maelfu ya wana Kongwa walihudhuria na kupokea uponyaji ikiwemo kutolewa majini na mashetani pia.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.
Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona
Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa'
Aidha amesema suala la...
Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima.
Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani.
Uongo mwiingi
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Mambo yanakwenda kwa Kasi sana!
Miezi miwili iliyopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana na Kupinga chanjo ya Corona.
Kabla ya hapo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo wa Corona na jitihada zote zilizokuwa zikifanywa , kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa...
tunaangalia live on youtube askofu Gwajima anahubiri
nashangaa sana Askofu anahubiri kwa upole sana,kwa uangalifu sana,je Askofu ni mgonjwa???
nafikri Gwajima ana matatizo kutokana na uwezo wangu wa kuangalia mambo
na huko ccm alifata nini?alikuwa mwanaharakati wakati wa Dr Slaa
aliifata ccm ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.