askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    #COVID19 Kumbe askofu Gwajima aweza kuwa sahihi: Tangia chanjo ya COVID-19 inatolewa mpaka tarehe 23 Agosti ilikuwa partially approved kutolewa kwa binadamu

    Swali ni je imekuwa scientifically approved au politically approved? The F.D.A. approved full licensure of the Pfizer vaccine this morning and has also, I’m sure you’re aware, back in August on the 9th, the secretary articulated that it was his intent to mandate Covid-19 vaccines upon F.D.A...
  2. Poppy Hatonn

    Askofu Gwajima hajui kwamba raia wanapaswa ku- clip mabawa yao ili kiongozi awe kiongozi

    Katika nchi hii,hasa kwa vile sasa hivi alikuwepo dikteta,na yule dikteta ameondoka,yule dikteta ndiye alikuwa analeta mshikamano,centrifugal force.d Sasa yule dikteta ameondoka,ipo centripetal force watu wanachukua silaha wanaingia barabarani wanaleta vitisho. Unaonaje mantiki yangu ilivyokuwa...
  3. Jidu La Mabambasi

    Askofu Gwajima keshakuwa nuksi Kawe

    Mategemeo ya wana Kawe kuwa wamepata mkombozi atakayewatetea juu ya kero za jimbo la Kawe zimeanza kuporomoka kwa kasi ya ajabu. Wengine wanasemma kawe tuna mkosi , katika kupata wabunge wa kututetea. Wana Kawe wengi wanajiuliza Askofu Gwajima ataingia ofisi ipi ya serikali kuipiia magoti ili...
  4. M

    Askofu Gwajima nani alikudanganya kuwa ni Mic na Kiti tu ndiyo vinaweza Kukuondoa Kimafia duniani?

    Kama kuna Mtu ambaye nilidhani ni Mjanja tena wa Kukwepa Mitego ya Kimafia kutoka Jengo Tai Tanzania (JTT) basi alikuwa ni Askofu Gwajima ila baada ya Kutegwa Kitaalamu hatimaye kaingia mwenyewe Mtegoni. Askofu Gwajima ni Mpuuzi gani alikudanganya na ukamuamini kuwa kama Watu wa Jengo Tai...
  5. Suley2019

    Bungeni, Dodoma: Askofu Gwajima agoma tena kukaa kwenye kiti wakati akihojiwa leo 25/08/2021. Asema amezoea kusimama

    Baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni. Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.
  6. J

    Kamati ya Maadili ya Bunge leo inaendelea kumuhoji Askofu Gwajima

    Bwana Yesu apewe sifa! Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumuhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uongo na kulivunjia bunge heshima. Je, Askofu Gwajima atakwenda na kiti chake au atasimama? Mungu ni mwema wakati wote.
  7. Linguistic

    Askofu Gwajima na Jerry Silaa wasimamishwa Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

    Wakuu Wabunge Josephat Gwajima (CCM, Kawe) na Jerry Silaa (CCM, Ukonga) ambao ni wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge wameondolewa kwenye kamati hiyo hadi itakapoamuliwa vinginevyo. Nini Kitatokea mbeleni Tungoje, Kwa Mtindo Huu Wanaweza Hata Kupewa Adhabu ya...
  8. Jasusi Mbobezi

    Askofu Gwajima usitumie viti vya ukumbi wa mahojiano

    Habari za asubuhi, Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho. 1. Asikae kwenye viti vya pale mapokezi ikiwezekana asimame nje mpaka aje kuitwa. 2. Viti atakavyovikuta pembeni...
  9. masopakyindi

    Hivi Kanisa la Askofu Gwajima ni Kanisa kweli?

    Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu. Ni mahali pa kueneza upendo, amani, unyenyekevu, imani na kuokoka. Sasa hili kanisa la mipasho la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa Kanisa? Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano...
  10. Replica

    Suleiman Kova: Mtu anayekuwa katika msongo wa mawazo anaweza kufanya kama Askofu Gwajima, hajiamini na haamini wengine

    Suleiman Kova, kamanda wa polisi aliyewahi kutamba kwa kuzuia uhalifu akiwa RPC kwenye mikoa mbalimbali ameongelea hoja ya Gwajima kuomba mabadiliko ya mic na kiti. Amesema kwa uzoefu wake ndani ya Jeshi la Polisi na kuhoji watuhumiwa huwa ni suala la saikolojia kwa mtu mwenye msongo wa mawazo...
  11. Erythrocyte

    Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

    Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
  12. Papaa Mobimba

    Dodoma: Askofu Gwajima afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili akiwa na ulinzi wa Polisi

    Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amefika Bungeni Dodoma muda huu kuitikia wito uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.
  13. FRANCIS DA DON

    #COVID19 Nashauri Serikali iandae mdahalo mubashara wa Television baina ya Askofu Gwajima na Waziri wa Afya ili kumaliza utata uliopo juu ya usalama wa chanjo

    Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa moja na kupitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ ili kuona nani anafaa, vivyo hivyo ifanyike kwa Askofu Gwajima na Waziri wa Afya (Serikali) ili tuweze kupata ‘consensus’ ya...
  14. F

    Askofu Gwajima, umekosea kujifanya mwamba na mwanaume, uwe mfano kwa jamii na heshimu familia yako. Uliyofanya na unayoyatetea si sahihi

    Nimefuatilia kwa karibu majibu machafu na ovyo ya huyo Gwajima (siamini kama kweli ni mchungaji au askofu mwenye karama), Kama kweli ni mchungaji kuna ethics zake, ni upumbavu na upuuzi kujitapa kuwa hata kama amelala na mrembo yule kwani kuna shida gani? Hivi ni wewe unayehubiri kanisani neno...
  15. M

    Wito wa maombi: Mwili wa Kristo Tanzania tumwombee Askofu Gwajima

    Mwili wa Kristo uliopo Tanzania kesho katika umoja wetu tumwombee Askofu Gwajima. Tuombe Mungu ampe ujasiri na hekima ambayo hakuna atakayeweza kuhojiana nayo!! Roho Mtakatifu ahusike mwanzo mwisho!! Ikiwezekana baada ya mahojiano kitokee kitu kitakachowashikisha adabu toka kwa mzee wa siku...
  16. kavulata

    Askofu Gwajima anamuonea Waziri Gwajima kijinga

    Ziko dawa, chanjo, na njia za matibabu ambazo zimeachwa kutumia wakati hapo mwanzo zilipitishwa na kuruhusiwa kutumiwa. Mfano, watu wameacha kutumia dawa kali kutibu minyoo, indocid, chloroquine na SP kutibu malaria, kuacha kutumia spirit kusafisha eneo la kuchoma sindano, kunyoa nywele za...
  17. Nyani Ngabu

    Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

    High drama in the Gwajima clan! So is this a tacit admission that it indeed was him in that homemade sextape?
  18. jitombashisho

    Ipo siku Askofu Gwajima atatumiwa na CCM kuinusuru kubaki madarakani kwa kumteua mgombea wao wa Urais

    Kwanza naomba andiko hili liaiunganishwe. Wapendwa kwa tajiriba na pia kwa namna CCM hucheza na upepo wa hali ya nyakati natabiri siku yaja chama hicho kikongwe kwa sababu ile ile ya kujinusuru nakutamani kubakia madarakani kitalazimika kumteua Gwajima awe mgombea wao u Rais. Kwa namna ya sifa...
  19. J

    #COVID19 Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

    Bwana Yesu aliye mponya na apewe sifa. Askofu Gwajima leo ataongoza ibada katika kanisa la ufufuo na uzima kabla hajaelekea bungeni Dodoma ambako kesho atahojiwa na kamati ya maadili ya bunge. Updates; Familia ya mzee Gwajima imemtaka waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima ambaye ni mke wa mtoto...
  20. Cannabis

    #COVID19 Askofu Gwajima awataka watu wasiingilie imani ya kanisa lake, hawachanjwi, watakaojaribu kuiingilia wataingia kwenye "crusher" watasagwa

    Leo katika kanisa la ufufuo na uzima Askofu Gwajima asema watu wasiingilie imani ya kanisa lake, amesema kuwa kiimani wakristo na hata waislamu wanaamini pombe ni dhambi na mahubiri hutolewa kupinga matumizi ya pombe, Je hao wanaohubiri wanatakiwa wakamatwe kwa sababu wanaikosesha serikali...
Back
Top Bottom