Leo tujikumbushe kuhusu Askofu Luwum, aliyemnyima usingizi Dikteta Iddi Amin Dada huko Uganda.
Janani Luwum alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa kidini nchini Uganda, na anaheshimiwa kama shujaa wa imani aliyejitolea maisha yake kwa ajili ya haki, amani na uadilifu katika kipindi kigumu cha...