Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho, Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula ametoa wito kwa wale wanaomshikilia baada ya kumteka kijana Method Damian Kumdyanko na kuacha kuitisha familia na jamaa zake wa karibu.
Akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanywa na...
Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe).
Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa!
=====
Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu...
Askofu Mwamakula, ni vizuri kujua kuhusu kanisa lako, wachungaji, na waumini wako.
Hapa kuna maswali kadhaa ambayo yanaweza kusaidia kuelewa vizuri zaidi kuhusu kanisa lako.
Kanisa Lako Liko Wapi?
Ni muhimu kujua eneo la kanisa lako. Je, liko katika jiji, kijiji, au eneo maalum? Mahali...
KABENDERA ANADAI BEN SANANE ALIUAWA NA 'BWANA MKUBWA'!
Mwishoni mwa mwaka 2020, nilipata ujumbe mzito kutoka kwa Rais Magufuli kupitia kwa mtu wake mmoja ambaye jina lake linatunzwa. Rais alimtuma kwangu akiniomba nishawishi Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Tundu Lissu waridhie wabunge wanawake 19...
Wakuu,
Akiwa anazungumza hivi karibuni kwenye mazungumzo yake ya moja kwa moja na Jambo TV, Askofu Mwamakula amezungumzia mchakato wa Uchaguzi unaoendelea kwa sasa ndani ya CHADEMA
Askofu Mwamakula amesema kuwa hata wao ambao hujitokeza pale ambapo CHADEMA wanateswa, wakiona kuwa kuwa...
“Juzi tumekuwa na janga pale Kariakoo, nchi imesimama kwa sababu ya janga la pale Kariakoo. Wote tumeguswa kwa ajili ya watu ambao tumetangaziwa 13 wamefariki, wale watu wamekufa wakati wanatafuta Maisha, wamekatishwa na kifusi kama Watanzania ni janga la kitaifa.”
“Lakini iweje mtu...
Akichangia mjadala katika Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, Askofu wa Kanisa la Moravian Revival Church, Emmaus Mwamakula amesema kuwa kuna vyuo vikuu nchini vinashindwa kuandaa viongozi wa baadae badala yake kuzalisha wahitimu wanaojipendekeza kwa wanasiasa na kuona Siasa ni ajira
Amesema hayo...
Askofu Emmaus Mwamakula ameonyesha wasiwasi wake mkubwa kuhusu tukio la utekaji lililotokea ndani ya basi la Tashriff Luxury Coach, ambapo Ali Mohamed Kibao alitekwa kwa nguvu. Katika taarifa yake ya hivi karibuni, Askofu Mwamakula amekosoa hatua zilizochukuliwa na askari mstaafu wa jeshi la...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Emau Mwamakula, ametoa tahadhari kuhusu hali ya usalama nchini. Akizungumza kwenye mahojiano na Jambo TV, Mwamakula ameeleza kuwa watekaji wapo ndani ya jamii na hatari inayokua inapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa.
Amesisitiza haja ya...
Ndugu Watanzania!
Serikali ya Tanzania, kupitia Supplement Na. 30 imetoa Tangazo la Serikali Na. 673 la 2/9/2024 la kufuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha. Kuna taarifa kuwa nyaraka hii inayosambaa mitandaoni kuanzia leo...
WARAKA WA KICHUNGAJI (PASTORAL LETTER) KWA RAIS SAMIA BAADA YA JESHI LA POLISI KUWAPIGA NA KUWAUMIZA WAPINZANI MBEYA.
Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Mheshimiwa Rais!
Tunakusalimu kwa Jina la Bwana Mungu wa Majeshi, ambaye kwa neema, kudra...
Watu waliohujumu wenzao na kupora kura za Uchaguzi Mkuu wa 2020 hawana tofauti na watu wanaohujumu wenzao katika chaguzi zao ndani ya vyama. Kama Chadema watasahau machozi na maumivu ya kuhujumiwa Uchaguzi wa 2020, na kama pia watashindwa kusimamia haki katika chaguzi zao za ndani basi watakosa...
Akiwa kwenye mahojiano na mwandishi wa waandishi wa habari, Askofu Mwamakula amesema anafananisha mazungumzo ya CCM na CHADEMA kama wapenzi walioingia kwenye mahusiano bila kufata utaratibu, sasa hivi mambo yameharibika kila mmoja analalamika.
Akisema Mazungumzo ya CHADEMA na CCM yalikuwa siri...
Wakuu kwema?
Askofu Mwamakula akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari kutoka Jambo TV amesema anaona sasa sio muda sahihi wadau na vyama vya siasa kuanza kuwahukumu wabunge juu ya miswada ya sheria ya sheria za uchaguzi inayotarajiwa kurudi bungeni kusomwa tena baada ya kupokea maoni kutoka kwa...
Akizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi wala tatizo kwa viongozi wa kidini kutoa waraka wa kukosoa matendo maovu ya serikali, amedai hana...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC), Charles Kitima, amesema dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kufanya mageuzi makubwa kwa kutumia falsafa ya uongozi kwa kutumia 4Rs, inajidhihirisha kwa vitendo. Mbalina Padri Kitima, Askofu Emmaus
Mwamakula, ameelezea mageuzi ya Miswada ya...
Bado sijafahamu sababu hasa za Wanasiasa kujazana kwenye Msiba wa Bibi yule, ambaye yeye mwenyewe hakuwa Mwanasiasa.
Bali nadhani uwepo wa Mtoto wake, mpigania haki Emmaus Bandekile Mwamakula yaweza kuwa chanzo cha kujazana kwa wanasiasa kwenye msiba huo wa mkulima mdogo wa Kijiji cha Itunge...
Kwa niaba yangu Mwenyewe na kwa niaba ya Wapenda haki wote wa Tanzania, natoa Pole kwa Baba Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kwa kupoteza Mama yake Mzazi.
Namuomba Mwenyezi Mungu amtie nguvu. Amina