Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.
Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani...
Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake.
Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile...
Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano na waandishi wa habari ambapo Dkt. Salaa, Askofu Mwamakula pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka watakuwa wazungumzaji wakuu, leo Julai 12, 2023 saa 4:00 asubuhi.
Ni kuhusu suala la DP World.
===
===
MKUTANO UMEANZA
Askofu Mwamakula anazungumza...
askofumwamakula
conference
dr slaa
mdude
mdude nyagali
mjadala dp world
mkutano
muhimu
nukuu
nyagali
press conference
slaa
waandishi
waandishi wa habari
Ujumbe ufuatao umetoka kwa mwanachama wa CCM ambaye amekuwa Mteule wa Rais wa muda mrefu. Kwa kuogopa kufukuzwa CCM, ameomba afikishe ujumbe kupitia kwa Askofu.
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!
Kwenye vikao vilivyoisha (Kamati Kuu ya CCM na Halmashauru Kuu ya CCM) imeelezwa kuwa Wajumbe...
Anaripoti Askofu Mwamakula hakika nchi hii % kubwa watu wamekuwa zaidi ya wanyama.
Tunaomba Rais akemee watu wake hawa maana yeye ndo mkuu wao kuanzia utumishi na wazazi wenye watoto wa kike tusiruhusu waende huko huo ni uuaji kama uaji mwingine. BINTI ALIYELALA NA WANAJESHI AJILIPUA!
Kuna...
Drama inaendelea baada ya jana Voronica France kujitokeza kuomba msamaha Baba askofu Mwamakula na Viongozi wa wa CHADEMA
https://www.jamiiforums.com/threads/veronica-france-amuomba-msamaha-baba-askofu-mwamakula-na-viongozi-wa-chadema-naye-akubali-msamaha-wake.2099988/page-2
Naye Mjumbe wa...
Kwenye Ukurasa wake wa Face Book wa Veronica France amepost ujumbe wa Kuomba Msamaha kwa Maneno ya kuudhi aliwahi kuyatamaka kwa Askofu na Viongozi wa Chadema Mbowe na Lusu
Akionyesha kuwa anajutia yote aliyoyafanya Veronica aliandika hivi
"Baba askofu, nachukua hatua hii muhimu katika maisha...
Wakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka.
Ni Askofu Emmaus Mwamakula akiwa amealikwa ku-address mkutano wa wanachana wa chama cha Mawakili Tanganyika yaani TLS.
Sikiliza mwenyewe hapa.
GERALD HANDO ATAJWA NA ASKOFU KUWA SHUJAA WA UHURU WA MAONI WA 2022.
Wamiliki wa vyombo vya habari vya Tanzania na wahariri wamewekwa mfukoni na serikali, wanajikomba na wanajipendekeza kwa serikali.
Mtangazaji wa EFM na TVE, Gerald Hando ameadhibiwa na mmiliki wake kwa kauli yake ya kukosoa...
TUSILALE USINGIZI PASIPO KUJUA MOSES LIJENJE YUKO WAPI NA ANA HALI GANI!
Kamanda Kingai na Afande Mahita katika nyakati tofauti kila mmoja akiwa chini ya kiapo, walitoa ushahidi Mahakamani kuwa walikuwa wakimtafuta mtuhumiwa Moses Lijenje kule Moshi. Lakini mmoja wa watuhumiwa hao...
Hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya Polisi wenye mitutu kufika kwenye ofisi za Chadema Mkoani humo na kuzuia Kongamano kubwa la Katiba mpya lililokuwa na wazungumzaji kadhaa, akiwemo Baba Askofu Mwamakula.
Hata hivyo Baba Askofu Mwamakula amewaahidi Wananchi mkoani humo kwamba Katiba Mpya...
Hivi huu Mwamba Mwamakula kanisa lake kwa hapa Dar lipogo wapi na ibada ni saa ngapi?Maana anaonekana zaidi kwenye matukio na mihadhara ya siasa ya vyama upinzani kuliko Kanisani.
Yaani kuna watu Mwamakula wakimuona tu,kinachowajia kichwani ni Siasa za upinzani,wala si neno la Mungu.
Kwa mfano...
"Nimekosa Mimi! Nimekosa Sana! Nimekosa Mimi! Mungu Anisamehe"! Ni toba ya mwisho kabisa katika 'Kanisa Katholico na la Kimitume' (Orthodox Catholic, Roman Catholic, Moravian, Anglican na Lutheran) inayoweza kufanywa na kuhani hadharani. Ni toba inayoelekezwa kwa Mungu peke yake ingawa husemwa...
Yeyote atakayejaribu kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya AFEDHEHESHWE KWA JINA LA YESU.
Sema amina
Hii ndio dua kabambe aliyoiomba Baba Askofu Emaus Bandekile Mwamakula kwa Mamluki wote wanaopinga Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa maslahi yao binafsi.
Msikilize hapa.
Askofu Mwamakula ameandika katika Ukurasa wa Twitter kwamba, kuondoa utaratibu wa usajili wa kudumu kwa Taasisi za Kidini ili ziombe upya kila baada ya miaka mitano ni kuzichimbia kaburi
Baadhi ya watu wanashangaa Askofu Mwamakula kuwatetea CHADEMA! Wapo wanaoshauri Askofu awe anafanya mara moja moja lakini sio kila mara. Wakati wa janga la UKIMWI, tulizika ndugu zetu wengi. Lakini hatukuchoka kulia kila ndugu alipokufa eti kwa sababu tulilia misiba ya jana na juzi. CHADEMA wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.