askofu

  1. Askofu Mwamakula aonyesha jinsi CCM walivyoiba kura "kijinga" kabisa

    Halafu kuna mtu anadhihaki No Reform No Election (NRNE) My Take Sasa hii inatofauti gani na utapeli wa Nicole Berry๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  2. Askofu Bagonza: Tawala za Afrika na biashara ya nishati

    TAWALA ZA AFRIKA NA BIASHARA YA NISHATI Tutanunua umeme kutoka Ethiopia kwa ajili ya mikoa ya Kaskazini. Mikoa hiyo ina barabara nzuri, nyama choma nyingi na watalii wengi lakini haina uhakika wa umeme. Kenya itatumika kama posta. Itapokea kifurushi toka Ethiopia na kukikabidhi Tanzania. Hakuna...
  3. Askofu Mwamakula: Waliomteka Method Damian wamuachie

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho, Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula ametoa wito kwa wale wanaomshikilia baada ya kumteka kijana Method Damian Kumdyanko na kuacha kuitisha familia na jamaa zake wa karibu. Akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanywa na...
  4. Papa aanzisha Jimbo jipya Bagamoyo, amteua Askofu Musomba kuliongoza

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia, Papa Francis amemteua Askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Stephano Musomba kuwa Askofu wa kwanza wa Jimbo jipya la Bagamoyo kuanzia leo Ijumaa, Machi 7, 2025. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri...
  5. Salamu za Askofu Bagonza kwa Makalla na Wenzake, Sisi Tumeshazipokea. Mwenye Kusikia na Asikie.

    Salamu za Kwaresima toka kwa Baba Askofu Bagonza (PhD). DHAMIRI SAFI, DIRA YA TAIFA Tuongozwe na Katiba? Tuongozwe na Mtu? Tuongozwe na Dhamiri? Tuongozwe na Chama? Tuongozwe na Vyombo? Niliwahi kukumbusha: Kule kwa jirani, โ€œHawa walipaza sauti, Wale wakanyamaza. Lakini sasa, kila mwaka...
  6. B

    Askofu Msimbe ataka Diaspora wa Uingereza kushikamana

    Na Mwandishi Wetu, London. Askofu Lazarus Msimbe S.D.S wa Jimbo Katoliki Morogoro (pichani) amewataka Watanzania waishio nchini Uingereza (Diaspora) kutambua na kuendeleza mshikamano baina ya waumini mahali walipo. Askofu Msimbe ametoa wito huo wakati akitoa homilia kwenye Adhimisho la Misa...
  7. J

    Pre GE2025 Askofu Bagonza asema kupiga kura ktk mfumo wetu wa uchaguzi ni wastage of time. Bila mageuzi katika mifumo ni sawa na kutokuwa na uchaguzi

    Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
  8. Askofu Bagonza: Mfano wa "REFORM" ya Rais Samia ni kama hivi anavyowahusisha "PPP" katika ujenzi wa barabara ya Kiberashi mpaka Singida(340kms)

    4R's za mh.Rais Samia zina mawanda mapana sana. REFORM: Huko nyuma hatukuona ujenzi wa barabara zetu wakipewa "PPP-ubia wa sekta binafsi na serikali" zaidi ya hatua za wizara ya uchukuzi(ujenzi)pekee. Mh.Rais Samia amekuja na mikakati hii mipya akiichagiza "REFORM" kwa kuihusisha "PPP" na...
  9. K

    Askofu Bagonza kanena

    Badala ya kupiga madongo na kuweka uchawa tubadilike kwa manufaa ya nchi
  10. Hivi siku hii Askofu Gwajima alikuwa amekula nini?!

    Udini ukiuzidisha sana mheshimiwa anawezaonekana kama mwendawazimu!
  11. Hivi siku hii Askofu Gwajima alikuwa amekula nini?!

    Udini ukiuzidisha sana mheshimiwa anawezaonekana kama mwendawazimu! ANGALIA VIDEO HII HADI MWISHO
  12. Padre Josephat Jackson Bududu ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Tabora

    BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa. ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ .
  13. U

    Naibu Waziri Mkuu Mhe. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa mamaono ya kujenga Kanisa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Rulenge - Ngara mkoani Kagera. โ€œ Nakupongeza Baba Askofu kwa kuwa na maono makubwa ya kujenga...
  14. Mahojiano aliyofanya Askofu Dr. Benson Bagonza kupitia Redio DW Ujerumani

    Kama kichwa kinavyo jieleza, nimepata nafasi Kuskiza matangazo ya Radio DW Leo mchana, Katika matangazo hayo ya Dunia Kuna majukwaa na Mijadala mbalimbali, sasa jukwaa Moja wapo ni meza huru, ambapo Mtangazajo Suddy Mnette, aliweza kumhoji kinagaubaga Baba Askofu kuhusiana na Hali ya siasa...
  15. F

    Askofu Bagonza anaiponda CCM na wanasiasa wa siku hizi kupitia Sauti ya Ujerumani muda huu

    Anaponda kauli ya CCM wanayosema CCM itakaa madarakani hadi Yesu atakaporudi Wanasiasa wanaoelewa nini maana ya siasa wamekwisha sasa Anazungumzia hofu kubwa za kutekwa kwa watanzania kutokana na kuwa na mawazo tofauti na serikali 4R imetekwa na hakuna utekelezaji tena Walio madarakani...
  16. Askofu Gwajima ahofia wahuni ku-edit kinasaba cha mtu

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Dar es Salaam, Askofu Josephat Gwajima amehoji serikali imejipangaje pale itakapopokea tiba ya โ€˜CRISPR Cas 9 Gene Editingโ€™ kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa seli mundu (sickle cell), kuhakikisha kwamba mtu atakapoingia kwenye chumba cha tiba hahaririwi vitu vingine kwa...
  17. Papa Francis amteua Padre Romanus Elamu Mihali wa Jimbo la Mafinga, kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Iringa

    Baba Mtakatifu Fransisko ameridhia ombi la kustaafu Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa wa Jimbo la Iringa, na kumteua Padre Romanus Elamu Mihali wa Jimbo la Mafinga, kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Iringa, leo tarehe 28/01/2025. Mhashamu Askofu Mteule Romanus Elamu Mihali, alizaliwa tarehe...
  18. R

    Askofu Bagonza alonga ushindi wa Lissu na "ushindi" wa Mbowe: Ninaandika kupongeza. Sina pole za kutoa.

    ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza amechambua ushindi wa Tundu Lissu na kushindwa kwa Freeman Mbowe kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Juzi Kamati ya Uchaguzi wa CHADEMA ilimtangaza...
  19. Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
  20. Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe

    1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao. 2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ