Nashangazwa sana hawa watu ambao kutwa kumsema askofu shoo kwa maneno yake ya kumsifu Rais samia lakini watu jamii nyingi ya Watanzania ni mandumilakuwili tu leo hii akitokea askofu akimpiga spana Rais samia watu wale wale waliokuwa wanamsema askofu watageuka kumsifia askofu shoo! Hii nchi ina...
KKKT Ina MKUU MMOJA TU
Naona KKKT imepamba moto kutokana na matamshi ya mmoja wa Maaskofu wake. Kwa kimbelembele nilicho nacho naomba umma wa watanzania uelewe yafuatayo:
1. KKKT ina Mkuu mmoja tu. Dereva wawili hawawezi kuendesha gari moja kwa wakati mmoja.
2. KKKT hakuna cheo kinaitwa “Mkuu...
Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.
Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe...
Hakika..... Nchi ina maendeleo, hata viongozi wa dini wanajua.
Kigoma bado kilomita chache iungane na mikoa mingine kwa lami, pale kigongo watu walikuwa wanakaa hata masaa matatu, SGR, SoKo kuu mwanza, kutoka enzi ya stendi ya Tanganyila mpaka Nyamhongolo na Nyegera waitu (nyegezi)
Asiye na...
Pia soma:
~ Askofu Zachary Kakobe yupo wapi? Hadi mwanae anadai hajamwona kwa miaka 2
~ Yupo wapi Askofu Zacharia Kakobe? Hajaonekana tangu Desemba 2021
Mhashamu Stephano Musomba OSA Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amesema ya kuwa tukumbuke nafasi zetu katika jamii na sio kupenda kusifia hovyo kwani kufanya hivyo ni kuumiza wengine.
Pia soma: LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndugu, Dorothy Semu, leo 17 Septemba, 2024 akiwa safarini kuelekea Jimbo la Rombo amepita Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga kwenye kuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro ambaye alifariki tarehe 9 Septemba...
Ndugu yangu askofu Josephat Gwajima wewe ndiye baba askofu mkuu wa makanisa yote ya ufufuo na uzima Tanzania, wewe ni mbunge na ni kada wa chama Cha mapinduzi unakiona anachofanya mojawapo ya wachungaji wako pale Kibaha kwa Mathias ?
Askofu mwanamapinduzi amelibadili kanisa la Kibaha kuwa...
Akichangia mjadala katika Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, Askofu wa Kanisa la Moravian Revival Church, Emmaus Mwamakula amesema kuwa kuna vyuo vikuu nchini vinashindwa kuandaa viongozi wa baadae badala yake kuzalisha wahitimu wanaojipendekeza kwa wanasiasa na kuona Siasa ni ajira
Amesema hayo...
Askofu Emmaus Mwamakula ameonyesha wasiwasi wake mkubwa kuhusu tukio la utekaji lililotokea ndani ya basi la Tashriff Luxury Coach, ambapo Ali Mohamed Kibao alitekwa kwa nguvu. Katika taarifa yake ya hivi karibuni, Askofu Mwamakula amekosoa hatua zilizochukuliwa na askari mstaafu wa jeshi la...
Injili lazima iendeleeeee....
PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂
ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH
BISHOP EDWARD ANASEMA👇👇👇👇
"TUMEMUONDOA MUNGU WA BAALI NA TUMEMLETA MUNGU WA KWELI"
Ndugu Watanzania!
Serikali ya Tanzania, kupitia Supplement Na. 30 imetoa Tangazo la Serikali Na. 673 la 2/9/2024 la kufuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha. Kuna taarifa kuwa nyaraka hii inayosambaa mitandaoni kuanzia leo...
ASKOFU AMEONGEA MAMBO MAZITO SANA, MSIKILIZE
https://www.youtube.com/watch?v=GTiX8kpt13U
POINTS TAKEN FROM THE CLIP:
1. Walitumwa au walijituma na hao wanaotamani kubaki na chama kimoja, naona Zanzibar wanaota kuwa na chama kimoja
2. Kuna Uchawa
3. Tubadilishe mind set
4. Wanaipa chadema...
Askofu ambaye kimsingi hanaga uoga wala kujipendekeza ametema nyongo.
Amesema anawashangaa watawala kuiogopa sana CHADEMA kwa kuwakamata wanachama na viongozi wa Chama hicho ambao walikuwa wanatekeleza hakim zao kikatiba.
UVCCM walifanya au walishiriki hiyo kongamano na hata ACT Wazalendo pia...
"Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza.
Dkt. Benson...
Utangulizi kama alivyoweka kwenye ukurasa wake wa Facebook
"Unaweza kupigwa kwa niaba lakini huwezi kupiga kwa niaba. Huwezi kuua kwa niaba lakini unaweza kuuawa kwa niaba." Askofu Bagonza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.