askofu

  1. Jeshi la Polisi nchini, msimtishe Askofu Mwingira, bali zifanyieni kazi tuhuma nzito alizozitoa

    Jukumu namba moja la Jeshi la Polisi nchini, ni kuwalinda Raia na mali zao. Katika mahubiri aliyoyatoa katika sikukuu ya Krismas, Askofu Mwingira wa kabisa la Efatha nchini, alitoa tuhuma nzito Sana kwa vyombo vya serikali, kuwa alinusurika kuuawa mara 3 na akaendelea kueleza kuwa hata yule...
  2. Zitto adai alichosema Askofu Mwingira kiliwakumba Watanzania wengi wakati wa utawala wa Hayati Dkt. Magufuli

  3. B

    CHADEMA, tunayo ya kujifunza kwa Askofu Tutu

    Elimu haina mwisho na hekima ni kujifunza kutoka kwa wengine: Kutokuwa tayari kujifunza ni kuyakumbatia mawazo mgando: Yetu ni madai ya uwepo wa haki, usawa, uhuru na demokrasia. Kila mwenye hoja hizi ni mwenzetu. Hatuwezi kuwa na marafiki wa kudumu bali agenda. Kwa kila mpambano wa...
  4. R

    Jumanne Muliro aache kupaniki suala la Askofu Mwingira, badala yake asome PGO

    Nimemsikiliza Jumanne Muliro Naona kama amepaniki na tayari anahukumu badala ya kuonesha nia ya kufahamu ukweli anapomwita Askofu Mwingira kufika polisi kufanya mahojiano juu ya kauli yake. Anaonesha wazi kubeba hisia kama si za kidini basi za kujipendekeza kwa wenye mamlaka kama ilivyo kawaida...
  5. B

    Aungwe Mkono Askofu Mwingira kukemea Maovu

    Wamesikika watumishi wa Mungu wakikemea maovu hadharani. Kasikika Mzee wa Upako, Askofu Shoo, Askofu Mwingira na wengi wengine: Maaskofu wataka haki kwa kila mtu Kati ya binadamu na Mola, sifa na heshima zote ni kwa Mola: Wakanwe hadharani hawa wenye kuwakilisha maslahi yao: Vita hivi...
  6. Waziri wa Mambo ya Ndani aagiza Polisi Kanda Maalum ya Dar kumsaka na kumhoji Askofu Mwingira

    "...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi." "...hivi kweli utendewe yote hayo muda wote huo ndiyo usubiri hasi Krismasi useme?!" Amehoji Simbachawene. "....kwasababu yupo hapa Dar es Salaam na ametoa tuhuma nzito namna ile...
  7. Tuhuma za Askofu Josephat Mwingira zimehanikiza umuhimu wa kuundwa haraka kwa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Taifa

    Kiongozi wa makanisa ya Efatha Ministries Tanzania Nabii, Mtume na Askofu Josephat Mwingira amezua taharuki na mjadala mkubwa katika vyombo vya habari TV, redio na social media kwa sababu ya mahubiri yake ya Jana Jumapili kanisani kwake. Baadhi ya watu na wengine viongozi wa serikali kabisa...
  8. Mahakama yaitupilia mbali kesi ya Mchungaji Mwingira

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeitupilia mbali kesi ya madai iliyofunguliwa na Dk William Morris, raia wa Marekani dhidi ya mkewe Dk Phills Nyimbi na Mchungaji Josephat Mwingira. Akisoma hukumu hiyo leo Februari 26, 2018, Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba amesema Dk Morris katika kesi hiyo...
  9. Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

    NUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA: 1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali." 2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketezwa Shambani kwangu." 3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu." 4. "Dada aliyetoa taarifa za...
  10. J

    Rais Samia Suluhu amlilia askofu Dkt Ranwell Mwenisongole wa TAG

  11. B

    Nabii Josephat Mwingira anena Mazito kwenye Salamu za Heri ya Krismasi

    Salamu za Heri zinaendelea kumiminika. Hapa chini ni kutoka kwa nabii Mwingira: Salamu za kama hizi zinapoendelea kutufikia ni vyema kujitafakari. Ni wazi kuwa kama Taifa hatuko vizuri. Walikuwapo kina Desmond Tutu, leo hatuko nao. Walifanya sehemu yao, wamekwenda. Angalia katika...
  12. S

    Hongera Baba Askofu Shao wa Kanisa Katoliki Zanzibar

    Kiongozi wa dini ni kiungo cha jamii. Hapaswi kuwa mrengo wa kulia au kushoto (katika kujenga jamii moja). Hivyo ni muhimu mno kwa kiongozi wa dini atumie vema ulimi wake ili mwisho wa siku utoe matunda ya umoja, amani, utulivu, usalama na upendo katika jamii. Ndivyo alivyofanya Baba Askofu...
  13. TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

    Rais Ramaphosa amethibitisha kifo cha mshindi wa Nobel na miongoni mwa watu muhimu kumaliza ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu katika umri wa miaka 90. Tutu aligundulika kuwa na saratani ya kibofu mwishoni mwa miaka 1990 na amelazwa mara kadhaa kwa maradhi yanayohusiana na...
  14. Askofu Dr. Stefano Moshi, mtoto wake Eng. Zebedayo Moshi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya KKKT

    Sasa nirudi kwenye mada. Kumekuwa na kupeana nafasi kwa watoto wa maaskofu huko Dayosisi ya kaskazini , nafasi kubwa za kikazi ,kanisa limejenga ngome ambayo watoto wa waumini wengine ambao baba zao sio maaskofu nafasi hutapewa na nafasi za kaxi hazitangazwi. Mifano ni mingi ila nieleze...
  15. Barua ya Kichungaji Kutoka kwa Askofu Renatus Nkwande Kuhusu Maandalizi ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki itakayohitimishwa Roma 2023

    Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande, wa Jimbo Kuu la Mwanza, nchini Tanzania Usuli Ifuatayo ni Barua ya Kichungaji kuhusu Maadhimisho ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki. Sinodi hii, inanogeshwa na kauli mbiu isemayo, “Kwa ajili ya Kanisa la Kisinodi: Umoja, Ushiriki na Utume.” Maadhimisho...
  16. Askofu Gwajima: Domokaya tuliyemchoka!

    Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima. Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani. Uongo mwiingi
  17. Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

    Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi. kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
  18. Masikini Askofu Mwaikali, afukuzwa msibani Kiwira, msiba wa Rev Gehaz Malasusa, aaibu!

    Kama kuna wakati huyu Baba Askofu anapitia wakati mgumu ni huu sasa. KAtika mazishi ya Rev Gehaz Maasusa, baba wa Askofu mwenziwe Dk Alex Malasusa, Askofu Mwaikali ilibidi aondolewe hapo msibai kwa hofu ya kutokea fujo. Naambiwa hapo msibani palikuwa na amani ya hali ya juu, lakini askari na...
  19. R

    Askofu Lusekelo (Mzee wa Upako): Kesi ya Mbowe inakera sana na inaniumiza moyo

    Ni siku ya tatu sasa akihutubia ktk moja ya safu ya mafundisho yake katika jamii. Askofu wa Kanisa la TAG hapa Ubungo Kibangu Maarufu kama Mzee wa Upako ametoa maoni yake juu ya kesi anayohisi huenda ni ya kuzingizia ya Ugaidi dhidi ya Mbowe. Askofu huyo licha ya kudai kuwa wafuasi wa chama...
  20. S

    Askofu Bagonza: Wanaomshughulikia Mbowe ni sawa na waliomshughulikia Mandela (Makaburu)

    By Talanta Mhanga kupitia twitter: "Japokuwa Mbowe ni tofauti na Mandela, mbinu za kumshughulikia zikifanana na zilizomshughulikia Mandela, basi Mandela na Mbowe wanakuwa sawa; na waliomshughulikia Mandela wanakuwa sawa na wanaomshughulikia Mbowe. Tunahitaji nguvu ya hoja, si nguvu ya dola" -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…