kwenye zile biti zake za kanisani Gwajiboy huwa anawadanganya waumini wake kwamba yoyote atakayeinua kichwa atamponda ponda
Pia akahaidi hata wasaidizi wa Rais anasubiri ajinue mmoja atamshushia kitu kizito mpaka atawasimulia watoto wa watoto zake,
Sasa Basi mweshimiwa Gwajima, Spika Ndugai...
''Bunge la TZ ndilo limekosewa lakini adhabu inaenda kwa bunge la Afrika
Mbunge ndiye kakosea, wanaadhibiwa wananchi wa Ukonga.
Asiyekatwa kodi kasema hakatwi, Kamati inalazimisha kusema anakatwa.''- Askofu Bagonza
Hizi ndio PHD sasa
Sijaelewa embu nielimishwe
Askofu Gwajima alianza kutilia shaka chanjo hii akiwa bungeni. Akiwa kanisani ameendelea kutia shaka. unajua tutofautishe kutia shaka na kupinga.
Sasa kwa sababu mahubiri take kama mbunge yameonyesha kudhalilisha bunge, je angekuwa RAIA wa kawaida hukumu yake...
Katika kikao kinachoendelea Bungeni leo agosti 31, Kamati ya maadili iliyowahoji Askofu Josephat Gwajima na mbunge Jerry Slaa imetoa ripoti yake na mapendekezo ya adhabu.
Kwa upande wa askofu josephat Gwajima, Kamati imesema kua ilimtaka atoe evidence juu ya zile tuhuma alizokua...
Mnamo tarehe 29/08/2020 Askofu Josephat Gwajima aliwaeleza waumini wake kuwa ana ‘kitu’ ndani yake kilichomuambia asikalie kiti na kutumia kipaza sauti alichokuwa amepangiwa na mwenyekiti wa kamati ya wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.
Kwa tafsiri nyingine ni kuwa Kamati ya Bunge...
Swali ni je imekuwa scientifically approved au politically approved?
The F.D.A. approved full licensure of the Pfizer vaccine this morning and has also, I’m sure you’re aware, back in August on the 9th, the secretary articulated that it was his intent to mandate Covid-19 vaccines upon F.D.A...
Katika nchi hii,hasa kwa vile sasa hivi alikuwepo dikteta,na yule dikteta ameondoka,yule dikteta ndiye alikuwa analeta mshikamano,centrifugal force.d Sasa yule dikteta ameondoka,ipo centripetal force watu wanachukua silaha wanaingia barabarani wanaleta vitisho. Unaonaje mantiki yangu ilivyokuwa...
Hii ndiyo taarifa ambayo pengine ulikuwa huifahamu, imeelezwa kwamba Baba Askofu Shoo amefika kwenye gereza la Ukonga kumtembelea Gwiji la siasa za Tanzania, Ustaadhi Aboubakar Mbowe, pamoja na kumuona mfungwa huyo wa kisiasa, Askofu Shoo ametumia nafasi hiyo kutoa neno la matumaini kwa...
Mategemeo ya wana Kawe kuwa wamepata mkombozi atakayewatetea juu ya kero za jimbo la Kawe zimeanza kuporomoka kwa kasi ya ajabu.
Wengine wanasemma kawe tuna mkosi , katika kupata wabunge wa kututetea.
Wana Kawe wengi wanajiuliza Askofu Gwajima ataingia ofisi ipi ya serikali kuipiia magoti ili...
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Akizungumza kwenye Ibada ya mazishi ya marehemu Johara Mtei , ambaye ni Mama Mkwe wa Freeman Mbowe , Aliyeko gerezani kutokana na kesi ya uzushi ya Ugaidi , amesema hata kama siasa ni mchezo mchafu lakini walio kwenye madaraka wajaribu kutenda haki badala ya kutenda mambo yanayovuka mipaka ya...
Wakuu Wabunge Josephat Gwajima (CCM, Kawe) na Jerry Silaa (CCM, Ukonga) ambao ni wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge wameondolewa kwenye kamati hiyo hadi itakapoamuliwa vinginevyo.
Nini Kitatokea mbeleni Tungoje, Kwa Mtindo Huu Wanaweza Hata Kupewa Adhabu ya...
Suleiman Kova, kamanda wa polisi aliyewahi kutamba kwa kuzuia uhalifu akiwa RPC kwenye mikoa mbalimbali ameongelea hoja ya Gwajima kuomba mabadiliko ya mic na kiti. Amesema kwa uzoefu wake ndani ya Jeshi la Polisi na kuhoji watuhumiwa huwa ni suala la saikolojia kwa mtu mwenye msongo wa mawazo...
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amefika Bungeni Dodoma muda huu kuitikia wito uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.
Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa moja na kupitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ ili kuona nani anafaa, vivyo hivyo ifanyike kwa Askofu Gwajima na Waziri wa Afya (Serikali) ili tuweze kupata ‘consensus’ ya...
Nimefuatilia kwa karibu majibu machafu na ovyo ya huyo Gwajima (siamini kama kweli ni mchungaji au askofu mwenye karama), Kama kweli ni mchungaji kuna ethics zake, ni upumbavu na upuuzi kujitapa kuwa hata kama amelala na mrembo yule kwani kuna shida gani?
Hivi ni wewe unayehubiri kanisani neno...
Mwili wa Kristo uliopo Tanzania kesho katika umoja wetu tumwombee Askofu Gwajima. Tuombe Mungu ampe ujasiri na hekima ambayo hakuna atakayeweza kuhojiana nayo!! Roho Mtakatifu ahusike mwanzo mwisho!! Ikiwezekana baada ya mahojiano kitokee kitu kitakachowashikisha adabu toka kwa mzee wa siku...
Ziko dawa, chanjo, na njia za matibabu ambazo zimeachwa kutumia wakati hapo mwanzo zilipitishwa na kuruhusiwa kutumiwa. Mfano, watu wameacha kutumia dawa kali kutibu minyoo, indocid, chloroquine na SP kutibu malaria, kuacha kutumia spirit kusafisha eneo la kuchoma sindano, kunyoa nywele za...
Bwana Yesu aliye mponya na apewe sifa.
Askofu Gwajima leo ataongoza ibada katika kanisa la ufufuo na uzima kabla hajaelekea bungeni Dodoma ambako kesho atahojiwa na kamati ya maadili ya bunge.
Updates;
Familia ya mzee Gwajima imemtaka waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima ambaye ni mke wa mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.