Mkuu wa Polisi Jamii Wilaya ya Kipolisi Makambako, mkoani Njombe, Mrakibu msaidizi wa Polisi ASP Lilanga Chodas ameitaka jamii kushirikiana katika masuala ya kijamii kama misiba ili kudumisha umoja na mshikamano.
ASP Chodas ametoa rai hiyo wakati akitoa salamu kwa waombolezaji katika msiba...