Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuu wa Polisi Jamii Wilaya ya Kipolisi Makambako, mkoani Njombe, Mrakibu msaidizi wa Polisi ASP Lilanga Chodas ameitaka jamii kushirikiana katika masuala ya kijamii kama misiba ili kudumisha umoja na mshikamano.
ASP Chodas ametoa rai hiyo wakati akitoa salamu kwa waombolezaji katika msiba wa askari mstaafu S/SGT Gethom ambaye alikuwa akifanya kazi Polisi mkoa wa Njombe
Katika salamu hizo ameitaka jamii kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu ili hatua zichukuliwe kwa wakati.