asubuhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Leo nipo macho hadi asubuhi

    Kama kuna mtu anataka kuchati nami karibu,leo silali
  2. Yoda

    Kwanini tunakula asubuhi baada tu ya kuamka?

    Mtu unakula ugali mkubwa na nyama usiku kisha unalala ukiamka tena asubuhi unakula mlo mwingine, hii ni sawa kweli au Dr. Janabi yuko sahihi?
  3. Waufukweni

    KERO Foleni Kubwa Barabara ya Mwai Kibaki: Kila Siku ni Kizungumkuti Asubuhi na Jioni

    Kumekucha Wadau. Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara hii ya Mwai Kibaki. Katika mji wa Dar es Salaam, foleni barabara ya Mwai Kibaki imekuwa ni kero...
  4. USSR

    Star TV kwenye kisimbuzi cha azamu inatatizo la picha tangu asubuhi je hawajui?

    Tangu asubuhi Star Tv haioneshi picha ni sauti tu inamaanisha hawa jamaa hawajui nini kinaendelea au ujinga wao tu USSR
  5. Ritz

    Asubuhi ngumu' nchini Israeli, wanajeshi na maafisa 4 wa Israeli waliuawa, akiwemo mwanajeshi wa kike huko Rafah jana.

    Wanakumbi, ⚡️‘Asubuhi ngumu’ nchini Israeli, wanajeshi na maafisa 4 wa Israeli waliuawa, akiwemo mwanajeshi wa kike mjini Rafah jana. 9 kujeruhiwa, ikiwa ni pamoja na majeraha makubwa Katika mashambulizi mawili tofauti hapo jana huko Gaza...
  6. Ritz

    Yemen ilipiga Tel Aviv kwa kombora Takriban saa 3 zilizopita, saa 6:30 asubuhi (GMT +3:00), kombora la balistiki lililorushwa na Wahouthi wa Yemen

    BREAKING: 🇾🇪🇮🇱 Yemen ilipiga Tel Aviv kwa kombora Takriban saa 3 zilizopita, saa 6:30 asubuhi (GMT +3:00), kombora la balistiki lililorushwa na Wahouthi wa Yemen lilipiga Tel Aviv. Lengo lilionekana kuwa kituo cha nguvu cha 'Gezer', kilomita 6 kutoka uwanja wa ndege wa Ben Gurion...
  7. Lanlady

    Asubuhi asubuhi mtu anawaza kutapeli

    Maisha magumu sana aisee. Asubuhi asubuhi mtu anawaza kutapeli. Halafu sijui hawajui kuwa tulishawastukia! Kuandika kwenyewe hawajui. Wanadhani kila mtu anaishi nyumba ya kupanga. Wanasaikolojia wakisaidie hiki kizazi. Ajira zimekuwa ngumu sana
  8. Komeo Lachuma

    TBT: Video Sheikh Saleh Zagar: Kunadi Swala asubuhi ni unafiki anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi

    Anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi. Hawakuwa wakibweka asubuhi kujifanya wao ndo wanaswali sana kuliko wengine. Pata habari kamili. Video inaonyesha ilikuwa ya mwaka 2001 wakati Sheikh Saleh Zagar akiendelea kuzungumza na baadhi ya waumini moja ya Msikiti.
  9. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 16 Kikao cha 5, Septemba 2, 2024 Asubuhi

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema katika mwaka wa fedha wa 2024/2025 Serikali imetenga shilingi Bilioni 31 ili kuiwezesha Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kushughulikia changamoto zinazoikabili sekta ya kilimo. Amesema fedha hizo zitaiwezesha TARI kufanya ukarabati na ujenzi wa...
  10. M

    Gar Ya asubuhi Dar-moro inaowahi kufika

    Wakuu habar zenu narud kwenu kuulizia gari ya kampuni Gani inayofanya safar za dar-moro inayoondoka saa kumi na mbili asubuh na inawahi kufika Morogoro saa tatu..au hata gari inayoishia Dom ila Morogoro inawahi kufika
  11. GENTAMYCINE

    Kwa hii Kauli ya Kidharau niliyomsikia nayo huyu Mtangazaji wa Kike wa TBC1 Janet Leonard leo Asubuhi kwa Atakayemtongoza awe na Gari ya MERCEDES BENZ

    Tusipotezeane sana muda kwani bado nina HASIRA KALI ya Timu yangu ya WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio cha bado TUNATENGENEZA Kikosi kufungwa tena Wiki iliyopita na kuendeleza ule msemo kuwa Mke huwa hana Ubishi wa Mume. "Kuna Clip moja niliiona Tembo akinyanyua Kigari cha ki IST hadi nikaogopa"...
  12. I

    Msaada: Kibaka/bodaboda ameniibia simu yangu asubuhi hii

    Nilikuwa pale mnazi mmoja(Dar) nikawa narequest Bolt ili niwahi mzigoni, bodaboda akapita kama mshale akapokonya simu. Inaonekana alishaona kuwa pale karibu hamna bodaboda mwingine amesimama muda ule ndio maana hata nikashindwa kumkimbiza, watu waliokuwa arround waliona ila hawakuwa na msaada...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Leo asubuhi nimezunguka mitaa kadhaa wilaya ya Temeke, kuna madrasa kila kichochoro

    Kwa uzoefu wangu wilaya ya Temeke ndio inaongoza kwa tabia chafu, miongoni mwa vijana wa Dar es salaam. Vijana wakabaji wako Temeke, wadada wasio na kazi maalumu wako Temeke. Yet madrasa kama utitiri. Hizi madrasa mbona hazileti impact miongoni mwa jamii ya Temeke (Tandika). Ushoga mwingi sana...
  14. mdukuzi

    Maelfu wamlilia Ali Kamwe,ni vilio na simanzi jangwani asubuhi hii

    Furaha za ushindi wa yanga jana dhidi ya Kaizer Chief zimeingia dosari kufuatia sintofahamu ya afisa habari wa klabu hiyo kutoa chapisho lenye utata. Maelfu ya mashabiki na wanachama wamekusanyika nje ya klabu yao asubuhi hii mitaa ya Jangwani na Twiga,mazungumzo yanayotawala ni kuhusu Alli...
  15. Bonsipele69

    Mtu hatoki ndani asubuhi hadi jioni lakini analipa kodi na bills zote kwa wakati

    Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa...
  16. Baba Vladmir

    Namna ya kuondoa sumu ya mwili asubuhi ( Detox)

    Mwili huzalisha sumu kutoka kwenye chakula unachokula , kugawanyika kwa chembe hai au chembe hai zinapokufa kutokana na umri. Sumu hii huitwa Free radicals ( reactive oxygen species). Unapoamka asubuhi andaa hii recipe ambayo nakuwekea hapa; CHEMSHA VIFUATAVYO, Mdalasini, tangawizi , karafuu (...
  17. G

    Pre GE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  18. C

    "Hustler" awakacha wenzake mapema asubuhi (bottom-up ilikua zuga)

    Hustler aliahidi kuwainua ,(badala yake KAWABINUA Bodaboda na Mama Mboga (bottom-up) Baada tu ya Kuapa akaanza kulamba Asali na kusahau "hustler" wenzake. Sasa hivi wanaandamana wanaitwa WAHAINI
  19. BLACK MOVEMENT

    Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  20. Mlalamikaji daily

    Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

    Nipo jirani na msikiti, Kuanzia saa 10 alfajiri, Kuna shehe huyo amekuwa mtangazaji wa muda, "Sasa hivi ni saa 10 dakika 20 ewe muislamu jiandae kuamka, Swala swala,! Na anaendelea kutaja muda mpaka inafika saa 11 alfajiri.." Kwakweli hebu tunaomba msaada wenu, Ni kweli hakuna namna ya...
Back
Top Bottom