atc

  1. Pascal Mayalla

    Je, Uzinduzi Royal Tour ungekuwa na maana kama Rais Samia angetua kwa Dreamliner & ATC kuzindua Direct Flights from DAR-JFK-DAR/JRO-JFK-JRO?

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya Leo ikiwa ni makala ya swali la hypothetical question (swali la kufikirika), Kwa njia ya "thinking aloud", yaani unawaza kwa sauti. Hii ni makala mwendelezo wa makala hii Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN...
  2. Sky Eclat

    ACT Wazalendo wanapodai Tumehuru kabla ya Katiba mpya nia yao ni kumsaidia swahiba wao

  3. Sophist

    Nini kilipelekea vijana wa Tanzania kuteka ndege ya ATC 1982 Mwanza?

    Hi there! Do you remember our history. Here is a story written 27 years ago: Tanzania Jet Hijacked; 2 Are Reported Killed Published: February 27, 1982 Hijackers demanding the resignation of President Julius K. Nyerere of Tanzania seized a Tanzanian jetliner with more than 90 passengers...
  4. Mparee2

    Mashirika Mengi ya ndege Afrika yanapata hasara - ushauri wako ni upi?

    Binafsi najua kwamba kuna chnagamoto ya Korona ila hata kabla ya hapo bado changamoto zilikuwepo. Tuyashauri mashirika ya ndege likiwemo la kwetu hapa nyumbani Ushauri wangu; 1. Natamani mashirika ya ndege kwanza yajenge imani Nyumbani. Namaanishe Yafanye kazi kwenye route zenye uhakika na...
  5. Ushimen

    New Government Vacancies UTUMISHI At Arusha Technical College (ATC), April 2021

    3.0.1 JOB TITLE: INSTRUCTOR II – 2 POSTS 3.0.3 JOB TITLE: MECHANICAL ENGINEERING DEPARTMENT – 1 POST 3.0.2 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To teach up to NTA level 6 and may assist teaching in higher NTA levels; ii. To assist in conducting tutorial and practical exercises for students under...
  6. F

    Hivi ni kweli SWISSPORT wamechukuwa uendeshaji wa shirika la ATC?

    Nimesoma gazeti moja la kimataifa linalo ongea kuhusu mashirika ya ndege na kuja kushitukizia kuwa swissport ndio inayo endesha shirika kutokana na changamoto zilizo kabili shirika. Naomba mwenye habari hizi atuelemishe zaidi. Story hii ni ya Jan 2020...
  7. C

    ATC Kwenda Dodoma

    Vipi ATC Kwenda Dodoma leo asubuhi? Dk 49 tangu ipae ipo Kisarawe tu inazunguka zunguka?
  8. ACT Wazalendo

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

    Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall. #MkutanoMkuuACT2020 #KaziNaBata #TheFutureIsPurple ===== UPDATES ====== #UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR - Chama hicho...
  9. Dam55

    Je, umaarufu wa ACT Wazalendo unatokana Muungano wa majeruhi wa kisiasa wenye maarifa?

    ZITTO KABWE alifukuzwa CHADEMA kujiunga ACT Wazalendo. MAALIM SEIF aliondoka CUF kujiunga ACT Wazalendo BERNARD MEMBE alifukuzwa CCM kujiunga ACT Wazalendo Je, majeruhi hawa wa kisiasa ndio chanzo cha umaarufu wa ACT Wazalendo? Zitto Kabwe Majina mawili ya wanasiasa ndani ya chama cha...
  10. Jidu La Mabambasi

    ATC tahadhari: Ndege isiporuka muda mrefu kuna hatari!

    Wenzetu Kenya Airways wametonywa, ndege zao ambazo hazijaruka hewani muda mrefu, watalazimika kuzipeleka service nzito, ama sivyo kuna hatari ya engine zake ku- stall (kuzima) hewani. Kwa hiyo Air Tanzania vile vile wauchukue mtonyo huo na kuufanyia kazi. US issues safety alert for 10 KQ Boeing...
  11. S

    Niliwashauri ATC wasiende China kupitia Bangkok, hawatapata faida njia ina ushindani sana, naona hawakusikia

    Naona ATCL wameamua kwamba wataenda China kupitia Bangkok, Thailand Bangkok. Njia hii ina ushindani sana, haitakuwa na faida kwao kupitia Bangkok na kushindana na mashirika makubwa ambayo yameweka mizizi sana kwenda au kupitia Bangkok pamoja na Ethiopian Airways and Kenya Airways. Ninawashauri...
  12. Kaka Pekee

    Kwa hasara ya ATCL hivi ndivyo Mkulima atafanya akiikamata tena ndege Boeing/ Jet Liner

    ]
Back
Top Bottom