Mfalme Sultan Abdullah amelazimika kumteua Kiongozi wa Upinzani Anwar Ibrahim na kuhitimisha siku 5 za mzozo wa Kisiasa uliosababishwa na Kura zenye utata wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu.
Uteuzi wa Anwar unatajwa pia kumaliza miaka 30 ya mvutano wa kisiasa kati ya Serikali na Upinzani na kuweka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Florens Martin Turuka, Katibu Mkuu Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART).
Amemteua Bi. Beng’i Mazana Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa. Bi. Beng'i ni...
Priva Abiud (Privaldinho) - Ameteuliwa kuwa msimamizi mkuu wa Digitali na Maudhui (Digital Manager)
Karibu kwenye familia ya Mabingwa @privaldinho
#DaimaMbeleNyumaMwiko
=====
Watanzania wanne wameteuliwa kuwa wajumbe kwenye Kamati mbalimbali za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameteuliwa kuwa mjumbe kwenye Kamati mbili.
Kamati hizo ni ya Maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika...
Ikukupendeza uwe Azam kuichambua Yanga ikipokea kipigo cha Al Hilal,kama sehemu ya kutuaga fans wako. Namaanisha tushiriki wote kuusindikiza mwili wa marehemu mtarajiwa toka Sudan
MultiChoice Tanzania imemteua Nehemiah Kyando Mchechu kuwa mkuu wa bodi ya wakurugenzi uteuzi ulioanza rasmi Agosti 1, 2022
Multichoice wamesema wana imani kubwa na uwezo na uzoefu wake uliomfanya kuwa moja ya wakurugenzi mahiri hapa nchini.
Pia, soma=> BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya...
Aliyekuwa kocha wa Mamelodi Sundowns na Al ahly ameteuliwa na klabu ya Bournemouth kuwa mkurugenzi wa ufundi.
Awali ilisemekana "Mlete mdhungu fc" wana mpango wa kumleta kocha huyo mwenye CV iliyotukuka zaidi katika mpira wa bara hili 🤣🤣🤣 baada ya timu hiyo kumtimua kocha wao wa dunia Zolan...
Balozi Caroline Kitana Chipeta ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague nchini Uholanzi
Balozi Chipeta alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje
UTEUZI
Rais Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Uteuzi huo ni kuanzia Juni 30, 2022.
Hii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile...
Akizungumza katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta, Bw Odinga alimsifu Bi Karua kwa bidii na rekodi yake ya haki za binadamu.
"Nilimhitaji Joshua wa kweli kwenye kando yangu, ambaye hatakuwa koti la ziada. Baada ya kutafuta na kutafakari, pamoja na mashauriano, nimefikia uamuzi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho kwa Naibu Makatibu Wakuu kama ifuatavyo:
Amemteua Dkt. Charles Enock Msonde kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI (Elimu). Bwana Msonde amechukua nafasi...
Mpaka leo Voda wanahangaika hawajapata mkurungenzi wa kudumu, kila wanayemteua anageuza na kurudi kwao baada ya muda mfupi, na wameshindwa kumpata mwenye sifa za maana ndani ya Tanzania.
Walipomteua Mkenya ile awamu ya tano kwa zile chuki zao alikataliwa tena kwa makelele mengi.
Sasa kuna huyu...
Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.
Nafasi hii imekuwa wazi baada...
Akiongea na wanahabari, msemaji wa Chama cha Mapinduzi, Shaka Hamdu Shaka amesema chama kimeptisha Tulia Acksoni kuwa mgombea wa kiti cha uspika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia soma: Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
PERSONAL DETAILS...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA)
Uteuzi wake umeanza Desemba 5, 2021 akichukua nafasi ya Msafiri Lameck Mbibo aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini
Vilevile, Balozi Celestine Joseph Mushy...
===
Rais Samia Suluhu Hassan ampongeza Bi Joyce Msuya kwa kuaminiwa kwake na kuteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ( UN ) Bw Antonio Guterres,
Bw Guterres amemteua kuwa Naibu katibu mkuu wake anayeshughulikia maswala ya Kibinadamu na Naibu mratibu wa misaada ya dharula Duniani,
===...
Ndugu Laurence Mafuru Ambae amewahi kua mkurugenzi Mkuu wa NBC Bank na Msajili wa Hazina ameteuliwa kua kamishna wa Sera wizara ya fedha.
Hakuna mahala uteuzi huo umetangazwa ila nimebahatika kuona tangazo kutoka kwenye taasisi yake ya Bankable Institute kwamba amejiuzuru majukumu ya mshirika...
Endeleeni kupika majungu kwa wivu wenu ila Wakenya wanapaa, tena sio ushirikina ila bidii na elimu bora....hehehehe
======
Vodacom Group has tapped Safaricom's chief corporate affairs officer Stephen Chege as its group chief external affairs officer.
The announcement was made by Safaricom...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.