Habari za jioni wanajf. Hongereni kwa mifungo mbalimbali kwa Waislamu, wakristo na wasio na dini
Leo kuna jambo limetokea nikamkumbuka nyota ndogo..
"Oooh.. kuna watu na viatu dunianiiii.
Ooooh kuna watu wasiopenda maendeleooo.
Oooo ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndaniiiii...
Oooh achana nao...
DKT. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA
📌 Asema limepunguza athari za mafuriko
📌 Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji
📌 Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika
📌 Azungumzia umuhimu wa Nishati Safi ya Kupikia, Bei ya Gesi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati...
Taarifa sahihi ni msingi muhimu katika kuhakikisha haki zinapatikana katika jamii zetu.
Hata hivyo, upotoshaji wa taarifa ni tatizo linaloweza kusababisha ukosefu wa haki kwa baadhi ya watu.
Mathalani, katika vyombo vya utoaji haki kama Mahakama, taarifa potofu zinaweza kupelekea kutoa hukumu...
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa wengi kadri muda unavyosonga mbele.
Sijui itakuwaje baada ya miaka 20 ijayo. Mbaya zaidi, hawa...
Kwa mashambulizi ya jana na usiku huu waliyofanya Iran kwa Israel tutegemee Israel kujibu. Tishio ni kubwa kiasi kwamba "Doomsday Plane" ya Israel imeonekana ikipaa ikidhaniwa ni viongozi wanahama nchi. Ni kubwa kiasi kwamba inasemekana Netanyahu amehama Ikulu na kukimbilia kwenye jumba kubwa la...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema leo Aprili 8, 2024 dunia inatarajia kushuhudia tukio la Kupatwa kwa Jua Kikamilifu ambapo Mwezi utazuia kabisa Mwanga wa Jua, hata hivyo tukio hilo halitakuwa na athari zozote kwa upande wa Tanzania
TMA imesema nchi zitakazoshuhudia zaidi tukio...
Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle amesema kuwa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) umepunguza kwa kiasi kikubwa mafuriko na athari zake yaliyokuwa yakitokea katika wilaya hiyo.
Meja Gowelle ameyasema hayo tarehe 05.04.2024 katika mazungumzo yake na wawakilishi...
Dhana hii ya 50/50 ni dhana iliyoletwa hapa duniani na watu wenye nia ovu .Si kwamba nawadharau wanawake hapana, kiasili, kiutamaduni na hata kiimani hakuna sehemu kunako sisitiza usawa kati ya mwanamke na mwanaume.
Niishairu jamii irudi katika misingi yetu Mwanamke aongozwe na mwanaume na...
Stori za mtaani zinasema kwamba Aliyekuwa waziri Mkuu kipindi cha Kikwete na kujiuzulu Marehemu Edward Lowasa Alikuwa ni mmoja wa vijana wenye kutoka familia ya kitajiri na mwenye shauku ya kuongoza nchi,ila kwa bahati mbaya alipitia katika vizingiti viwili akiwa pale CCM moja, Mwalimu Nyerere...
Tangu asubuhi kumekuwa na mvua kubwa ikinyesha jijini Dar es Salaam. Huu uzi ni kujulishana athari na matokeo ya mvua hizo.
Je, ni barabara gani hazipitiki, tupite wapi? Wapi kuna mafuriko, na hatua gani tuchukue ili tuwe salama?
Tuhabarishane sisi kwa sisi.
Juzi niliona katika taarifa ya habari ya ITV wananchi wa vijiji mbalimbali bondeni mwa Bwawa la Mwalimu Nyerere wakihaha kuokoa maisha yao baada ya kuzingirwa na maji ya mto Rufiji. Hii inatokana na kujaa kwa bwawa hivyo kulazimisha kufungulia maji kutoka bwawani.
Pia tumekwisha fahamishwa kuwa...
Mabadiliko ya Tabia Nchi yamekuwa yakiathiri Nchi zetu, ila mtu binafsi kwa mtazamo mwengine labda anaweza kuchangia katika kupunguza athari za mabadiliko haya, Kwa njia mbalimbali kama
Kupanda miti ili kusaidia kuchukua kaboni dioksidi kutoka hewani. Miti husaidia kueneza hewa safi kwa...
Kumekuwa na utaratibu mbaya sana watu kuchukuwa mikopo mabenkI bila kuwa na utaratibu sahihi utakaowawezesha mikopo hiyo ijilipe wenyewe bila ya kuathiri vipato vyao ila wengi wamekuwa wakifanya maamuzi ya uchukuaji wa mikopo bila ya kupitia taasisi ya DEVELOPMENT SOLUTION GATE kuwapa miongozo...
Je unajua kwamba kuna watu Milioni 300 Duniani wanaishi na magonjwa Adimu?
Magonjwa Adimu ni matokeo ya maambukizi ya Bakteria au virusi na sababu za mazingira au kansa adimu. 5% ya idadi ya watu Duniani wanakabiliwa na Magonjwa Adimu kwa sasa. 72% ya Magonjwa yote ya adimu yanatokana na...
Sometimes najikuta nasugua machine muda mpaka kuna kauka kule chini. Basi nimepata demu analoana vizuri mwanzoni. Nikisugua sana akimaliza mara moja au mbili anakuwa mkavu.
Mimi bado nakuwa nahitaji maana anakuwa kuna vijicent vyangu amekula. So si sahihi eti dk 5 au 10 nimwache. Nataka ale kwa...
Salaam ndugu zangu,
Mtaani kwetu nimezungukwa na ndugu na marafiki wanaovuta sigara. Baadhi Yao hupendelea kula matango baada ya kuvuta sigara wakidai wanapunguza sumu itokanayo na sigara.
Nimejaribu kugoogle kutafuta ukweli lakini sijafanikiwa kuona.
Naomba JamiiCheck itusaidie kupata facts...
Bado Tanzania kama nchi imeshindwa kuheshimu Professionalism katika soka. AFCON ni sio sehemu ya siasa wala vituko. Hapo ni sehemu ambayo Wataalamu wanatakiwa kupewa nafasi kutoa mafunzo yao na kufanya Wachezaji wawe focused muda wote. Tazama namna watu kama Mwijaku na Babalevo wanavyopewa...
Wakati Mikoa kadhaa ikiripotiwa kuwa na mlipuko wa Kipindupindu na Magonjwa ya Tumbo ikiwemo Mwanza, Shinyanga na Simiyu, upande wa Mitaa mbalimbali ya Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kukosekana mfumo mzuri wa utunzaji na uzoaji kutoka kwenye makazi ya Watu na sehemu za biashara.
Baadhi...
Katika historia ya binadamu, vita vya kidini vimekuwa ni mojawapo ya matukio yenye athari kubwa kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Vita ya Israel na Palestina imedhihirisha wazi udini miongoni mwa watanzania wengi. Mara nyingi, mizozo hii inachochewa na tofauti za imani na itikadi za kidini, ikileta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.