Tanzania tubadili mfumo wa elimu uendane na mazingira ya sasa. Tuwekeze zaidi elimu kwa vitendo kuliko kukariri. Leo nikiwa mkoani Mwanza nimeenda shule flan kufuatilia tender , kwa bahati mbaya nikadondosha ATM kadi mmoja wa watoto wa kidato cha nne kaikota.
Baada ya kuitafuta nikisema...
Ninahitaji kuongeza account kati ya benki hizo mbili Crdb na Nmb.
Nakumbuka hapo zamani Crdb na Nmb process zilikuwa ndefu sana wiki 1 hadi 2
Mambo yamebadilika ????
Hili limenitokea jana tu!
Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale.
Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao.
Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha...
Game tafu sana Wakuu ikabidi nikumbuke nina kachenji uchafu kalibaki CRDB, ndio kwenda kuhakikisha balance nikaambiwa kuna 15800 sasa kibaya sina card ya ATM, ilipotea na hata sim banking line niliyosajilia siitumii ilipotea kwa hiyo option hapa ni kutoa kwa kutumia card ya NIDA kwa teller...
Binafsi natumia account ya nmb chap chap, ambayo tulifunguliwa kwa msaada wa kampuni mahala tunapofanyia kazi.
Maafisa wa benki wakati wanaipigia chapuo tender hii walituambia makato ya nmb chapchap ni kwa kiwango cha sh,1150 pasi na malipo ya mwisho wa mwezi ukilinganisha na account zingne...
Kuna tatizo la ATM cards NBC hazisomi kwenye ATM mashine. Ukienda bank ni danadana jaribu baadaye , jaribu kesho, Mara ooh tunarekebisha huku wateja wenu tukiendelea kuingia cost ya 6000 kila ninapofanya transaction ya kudraw hela kupitia dirishani.
Kuna kuna tatizo limeshindika basi punguzeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.