Habari ndugu zangu, niliokosea kutoa pesa kwa njia ya crdb cardless kwa kutaka kutoa 137000, kumbe ni lazma uweke katika figures za 10000, je ili pesa irudi itatumia muda gani kufika.
Hivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa huruma. Hivi hawawezi wajengea vibanda vidogo pembeni?
Mtu anajikuta anatengua bajeti na kwenda kunyogoa mzigo.
Hii inasababisha watu kutungua mzigo ambao haukupangwa kutumika siku hiyo.
Watu wengine wana mauzi na dharau husababisha kulazimika mtu kwenda kutoa mzigo ili ule masanga kwa hasira.
Hi! kwa wana Jf wote, I hope mnaendelea vyema kabisa. Kwa wanaopitia mikikimikiki na vigingi tuzidishe duha M/Mungu atusaidie.
Tusichoshane niende straight kwenye heading ya hapo juu. Benki ya Equity licha yakiwa na huduma nzuri lakini kuna mambo wanafeli mno.
Imagine Mbeya nzima wana sehemu...
Kodi ya mshikamano italeta mapinduzi makubwa katika sekta ya uchumi. Wakati benki ilikuwa ikionekana kama njia isiyo rafiki miongoni mwa Watanzania wengi, sasa inaonekana kuwa tiba mujarab kwenye miamala ya kifedha hasa kutuma na kupokea.
Miamala ya kawaida ya kuhamisha fedha (ndani kwa ndani...
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza miongozo yote iliyotolewa kwa umma kujikinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya CORONA (COVID - 19), izingatiwe.
Mkurugenzi wa Idara ya Kinga wa Wizara hiyo, Dkt. Leonard Subi amesema Tanzania ni salama hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.