Tuyaite ni mahaba au mapenzi ? au ushabiki ? Kijana Abel Julius ambaye pia ni Mkazi wa Arusha, amesema ametumia takribani shilingi milioni sita kwa ajili ya kubandika picha za Mshindi wa Miss Grand International 2026, Jihan Dimack kwenye gari lake.
Abel amesema ametumia kiasi hicho kupamba gari...