Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Tuyaite ni mahaba au mapenzi ? au ushabiki ? Kijana Abel Julius ambaye pia ni Mkazi wa Arusha, amesema ametumia takribani shilingi milioni sita kwa ajili ya kubandika picha za Mshindi wa Miss Grand International 2026, Jihan Dimack kwenye gari lake.
Abel amesema ametumia kiasi hicho kupamba gari lake kwa picha za mrembo huyo, ikiwa ni njia ya kuonesha upendo na kumuunga mkono, pamoja na kutambua mchango wake katika kuitangaza Tanzania kupitia tasnia ya urembo. Abel ameeleza kuwa gari hilo hufanya safari katika Nchi mbalimbali, huku akiamini kuwa uwepo wa picha hizo unasaidia kumtangaza Jihan Dimack na Tanzania nje ya mipaka ya Nchi.
Wakuu, nimeona comments nyingi sana watu wanacheka, wanasema huyu kutaja hicho kiasi ni kama anataka kupewa hiyo milioni sita na wahusika ambao ni Jihan na uongozi wake, kwa yeye kufanya hivyo kwenye gari lake 😀 😀
Kwanini bado Watanzania hamtaki kuamini kuwa kuna watu ni wana upendo tu natural na wanaweza kutoa pesa zao kwaajili ya upendo tu kama huyu jamaa
Aaah! Ila wabongooo😀😀🙌