aua

Bernese German (Standard German: Berndeutsch, Alemannic German: Bärndütsch) is the dialect of High Alemannic German spoken in the Swiss plateau (Mittelland) part of the canton of Bern and in some neighbouring regions. A form of Bernese German is spoken by the Swiss Amish affiliation of the Old Order Amish in Adams County, Indiana, United States, as well as and other settlements in the US, primarily in Indiana.

View More On Wikipedia.org
  1. Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

    Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya...
  2. Aua Rafiki zake 14 ili apate hela ya kubeti

    Sararat Rangsiwuthaporn. MWANANMKE mmoja nchini Thailand amehukumiwa kifo katika kesi ya kwanza kati ya msururu wa kesi anazotuhumiwa kuwaua marafiki zake 14 kwa kutumia sumu. Mahakama mjini Bangkok ilimpata na hatia Sararat Rangsiwuthaporn (36) ya kuweka sumu kwenye chakula na kinywaji cha...
  3. HONG KONG: Mzee wa miaka 62 aua Watu 35 na kujeruhiwa 43 kwa kugonga na gari baada ya kutoridhika na maamuzi ya talaka

    Watu 35 wamefariki na wengine 43 kujeruhiwa baada ya dereva aliyejaa hasira kutokana na kutoridhika na makubaliano ya talaka ya mgawanyo wa mali kuendesha gari lake kwa makusudi kwenye kundi la watu waliokuwa wakifanya mazoezi katika kituo cha michezo cha Zhuhai, mji mmoja wa China. Tukio hili...
  4. I

    UTV:MAANDAMANO SIMIYU, MHITIMU KIDATO CHA 6 AUAWA RAMAD BUSEGA SIMIYU AUA

    Katika Hali inayojulikana kama maandamano ya kupinga watoto kupotea katika nchi yetu, Kwa Mujibu wa UTV, KUNA kijana ameuwawa Kwa kupigwa rasasi na polisi hapo Jana tarehe 21/08/2024
  5. Kuna uhusiano gani kati ya kua na mawazo ya kimasikini na kutokuwa na vipaumbele katika maisha au ni elimu ndogo katika jamii?

    Kwema wakuu. Kama mada inavyojieleza, umekuwa na tabia ya watu katika jamii zetu kufanya maamuzi flani bila kujua ni maamuzi sahihi kwa wakati sahihi au kipi kianze au kipi kifate. Mfano unakuta mwanaume anaoa wakati hajejipanga vizuri (kiuchumu) kimaisha matokeo yake kipato kinachopatikana ni...
  6. Aua Mke na Mkwe wake

    FESTO Maganga Mkazi wa Seguchini, Kata ya Nala, Wilaya ya Dodoma Mjini, anadaiwa kumuua mkewe na mama mkwe wake, kisha na yeye kuuawa na wananchi. Tukio hilo limetokea jana Jumapili Januari 28, 2024 majira ya saa 10 :30 jioni katika Mtaa wa Seguchini. Akizungumza na chombo kimoja cha habari...
  7. T

    Kikongwe wa miaka 110 aua mke kisa kunyimwa unyumba

    Babu, kikongwe wa miaka 110 amekamatwa kwa kosa la kuua mke baada ya mke wake kumnyima unyumba. ==== Polisi huko katika wilaya ya Ntungamo nchini Uganda, wanamshikilia mzee mmoja mwenye umri wa miaka 110 kwa tuhuma za kumuua mkewe mwenye umri wa miaka 109 kwa kosa la kumnyima unyumba. Kwa...
  8. M

    Hawara aua mama na wanae

    Eva Stephano na watoto wake wawili wakazi wa mtaa wa Lwanima Ihushi wilayani Nyamagana, Jijini Mwanza wamefariki dunia kwa kuungua moto usiku wa kuamkia Desemba 7, 2023, baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuchomwa moto na aliyedaiwa kuwa hawara wa mama huyo. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa...
  9. Binti aua mwanaye kwa kumtumbukiza kwenye ndoo ya maji

    Siku moja tangu Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 19 aitwae Johari Twaha, Mkazi wa mtaa wa Kigamboni Mkoani Iringa akamatwe na Polisi kwa tuhuma za kumtumbukiza kwenye ndoo ya maji ya lita ishirini na kumuua Mtoto wake mwenye umri wa miezi saba, Polisi wamesema Johari aliua Mtoto ili aende Dar...
  10. Dar: Ajali ya mchezaji wa simba Che Malone yaua dereva wa bodaboda

    Mchezaji wa simba che malone alisababisha ajali na kumua dereva wa bodaboda katika ajali iliyotokea mikocheni juzi. Havari zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinasema mchezaji huyo alikuwa akitokea masaki kula bata kwenye pati Aidha imebainika kwamba si kweli kwamba mchezaji huyo alitoka...
  11. Botswana: Luteni wa Jeshi aua Mkewe na Mchepuko wake

    Umoufia Kwenu wana JF, Ofisa wa jeshi Mogomo Sepopa(35) kutoka Botswana ameua mkewe Bogolo Sepopa Jaone(34) na mchepuko wake Same Moapare kwa pamoja na kisha kuwashikilia mateka watu wawili. Mtuhumiwa alijisalimisha mwenyewe polisi na jana amesomewa mashtaka mawili ya mauaji yanayomkabili. He...
  12. DOKEZO Askari Polisi atuhumiwa kumuua raia Arusha kwa kumpiga risasi 3, Wananchi wamtuhumu kwa mauaji ya mara kwa mara

    Kijana mmoja aliejulikana kwa jina la Israel Daudi, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi 3 na askari Polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuachia ng'ombe kuingia shambani. Tukio hilo limetokea katika Mtaa wa Olaresho, Kata ya Olasiti katika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Akizungumzia tukio...
  13. M

    Sumbawanga: Mtoto auawa kwa kuliwa na nguruwe

    #HABARI Mtoto aitwaye Haruna Mwanakatwe anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kumi (10) mwenye ulemavu wa viungo na mkazi wa mtaa wa Edeni B Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ameuawa kwa kuliwa na Nguruwe nyumbani kwao. Tukio hilo limetokea jana Juni 25, 2023, baada ya mtoto huyo kubaki ndani...
  14. Kisa Ugomvi wa Kimapenzi, Mama amchoma mwanaye Visu zaidi ya 100, amla Utumbo na Figo

    Wakuu, Baada ya habari mbaya za Mchungaji mmoja kusababisha vifo vya zaidi ya watu 40, Nchi ya Kenya imekumbwa na tukio lingine baya linalosikitisha sana. Kutokana na jinsi video hiyo ilivyo sensitive sitaweza kuiweka hapa. Lakini inamuonesha mama akimchoma visu zaidi ya 100 mwanaye mwenye...
  15. Botswana: Baba aua watoto wake wawili kabla ya kujiua Kwa sababu ya Wivu wa Kimapenzi

    Wivu wa Kimapenzi umesababisha kifo cha Dr Mellus Tshube, Raia wa Gaborone, Botswana Jumapili iliyopita ambapo kabla ya kufariki kwake aliwaua pia watoto wake wawili, mmoja akiwa na umri wa miaka 2 na mwingine akiwa na miaka 7. Kamanda wa Polisi wa eneo hilo, Obusitswe Lokae amethibitisha...
  16. Marekani: Babu aua watu 10 kwa risasi na kujeruhi 10 ukumbini kisha naye ajiua

    Tukio limetokea ndani ya ukumbi wa muziki wakati watu wenye asili ya Asia wakisherekea Sikukuu ya Lunar maeneo ya California. Polisi wamesema mwili wa mshukiwa Huu Can Tran (72) umekutwa kwenye gari ikielezwa alijipiga risasi baada ya kuzingirwa na wanausalama. Bado haijawekwa wazi sababu za...
  17. S

    Marekani: Aua familia nzima kwa risasi baada ya mkewe kudai talaka

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 42 katika Jimbo la Utah nchini Marekani amewapiga risasi watu saba wa familia yake kabla ya kujiua mwenyewe, baada ya mkewe kudai talaka. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji za Uingereza (BBC), polisi katika jimbo hilo wamesema familia ya watu wanane ilipatikana...
  18. Songwe: Aua kisha kuula nyama mwili wa marehemu

    Lazaro Adamsom mwenye miaka 40 mkazi wa Songwe, anatuhumiwa kumuua Berta Shugha mwenye miaka 69, kisha kuukata kata mwili wake na kuuchoma kama mishkaki, kisha kuila. My Take: Tunapoelekea panatisha sana. ---- Mkuu wa wilaya hiyo Simon Simalenga amesema mtuhumiwa alidai kwamba alimuua mwanamke...
  19. Jamaa aua watu sita na kujiua Urusi, raia wameanza kuchanganyikiwa

    Taifa limefika pabaya, damu ya watu wa Ukraine itawatia pabaya Warusi....wajaribu na kurekebisha mapema... Ukraine walikua wanaendesha nchi yao kwa amani, tena kidemokrasia walikua wameizidi Urusi, unawakuta na kusambaratisha nyumba zao, na kuwaua halafu unategemea watu wako waishi kwa amani...
  20. Marekani: Kijana aua watoto 19 wa shule ya msingi kwa kuwafyatulia risasi darasani

    Kijana mwenye umri wa miaka 18 ameua Wanafunzi 19 kwa kuwafyatua risasi katika Shule ya Msingi ya Robb Elementary iliyopo Texas, akifanya tukio hilo kwa kuhama darasa hadi darasa, kabla ya vyombo vya usalama kumthibiti na kufanikiwa kumuua na yeye pia. Seneta wa Jimbo hilo, Roland Gutierrez...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…