Tetesi: Msemaji mkuu wa kijeshi wa M23 aua na jeshi la serikali ya DRC

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,508
Reaction score
5,981
Taarifa zinazotoka Kivu kaskazini,zinasema msemaji mkuu wa jeshi la M23 ameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani. Inasemekana pia shambulio hilo,limemjeruhi kiongozi wa kundi hilo Gen Sultani Makenga.

Wakati huo,baada ya raisi wa Angola kutoka kwenye uongozi wa African Union, ametuma ndege za kivita na wanajeahi kuisaidianserikali ya Congo.

Yawezekana nso vita kamili ikaanza sasa,ikiwa kweli kiongozi huyu kauwawa.

Hii inatokana pia na kuwa,Rwanda iliapa kutoshea mipaka na DRC ikiwa bado imewapa hifadhi kundi la waasi wa FDLR.
Rwanda ilisema, kutokana na tukio la Januari mwaka 2024,lililolenga kuishambulia nchi hiyo, Rwanda ilisema imejiandaa kikamirifu kuhakikisha usalama wake unaimalika.

Huenda hili likawa kosa lingine la kiufundi la serikali ya DRC na Marekani.
 
Sasa congo kafanya kosa gani la kiufundi?
 
nahisi chanzo cha haya yote yanayo endelea kongo drc ni ile vita ya kikabila baina ya hutu na tutsi nchini rwanda.. ,rwanda yupo hapo kujilinda na adui aliekimbilia kongo drc asirudi tena kumshambulia wakati burundi ye ana ajenda zake binafsi za siri na hutu wenzake..
 
Taarifa zinazotoka Kivu kaskazini,zinasema msemaji mkuu wa jeshi la M23 ameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani. Inasemekana pia shambulio hilo,limemjeruhi kiongozi wa kundi hilo Gen Sultani Makenga.

Wakati huo,baada ya raisi wa Angola kutoka kwenye uongozi wa African Union, ametuma ndege za kivita na wanajeahi kuisaidianserikali ya Congo.

Yawezekana nso vita kamili ikaanza sasa,ikiwa kweli kiongozi huyu kauwawa.

Hii inatokana pia na kuwa,Rwanda iliapa kutoshea mipaka na DRC ikiwa bado imewapa hifadhi kundi la waasi wa FDLR.
Rwanda ilisema, kutokana na tukio la Januari mwaka 2024,lililolenga kuishambulia nchi hiyo, Rwanda ilisema imejiandaa kikamirifu kuhakikisha usalama wake unaimalika.

Huenda hili likawa kosa lingine la kiufundi la serikali ya DRC na Marekani.
Safi sana.

Tshekedi kawekeza sana kwenye 'drone', hii nzuri sana kuwalenga wale 'ring leaders' wa M23 na makamanda wao kutoka nchi jirani.

Bado Makenga.

zitto junior T14 Armata
 
Back
Top Bottom