auawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Mwanakwaya auawa kikatili kwa kucharangwa na vitu vyenye ncha kali

    Mwanakwaya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Buhangija, Manispaa ya Shinyanga, Agatha Nyahuma (32), mkazi wa Bugayambelele, Kata ya Kizumbi, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana waliomtaka kwa vitu vyenye ncha kali katika maeneo ya mabega, mgongoni na mkono wa kulia. Kaimu...
  2. A

    Imam Hendricks 🌈 auawa

    Shehe huyu kauawa huko SA kwa kujitangaza hadharan kuwa yeye ni shoga
  3. The Watchman

    Mbeya: Auawa akidaiwa kuiba simu aina ya TECNO POP2

    JESHI La Polisi Mkoa Wa Songwe Linaendelea Kuchunguza Kifo Cha Elvis Pemba ,20, Ambaye Ni Mkulima Na Mkazi Wa Maporomoko, Tunduma, Aliyeuawa Baada Ya Kushambuliwa Na Wananchi Waliomshutumu Kwa Wizi Wa Simu. Akizungumza Na Waandishi Wa Habari, Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Songwe, Augustino Senga...
  4. Beira Boy

    Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

    Amani kwenu wakuu Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na kunenepa kila siku ================== Mwanaharakati anayeupinga Uislamu Salwan Momika amepigwa risasi na...
  5. Poppy Hatonn

    Mtu auawa kijijini Kenya kwa tuhuma ya kumtaka mke wa mwingine.

    Hizi habari za siku sita zilizopita. Imetokea Mfukoni location,sub section Kinoru. Huyu mtu Musanga amemkata shingo Bwana Muthomi kwa kuthubutu kumfuata mke wake Linat Karemi. Amemkata shingo mpaka kichwa kikawa kinaning'inia tu. Sasa,I don't want to discuss the adultery. I just want to discuss...
  6. The Watchman

    Mbeya: Mtu mmoja auawa kwa kukatwa na panga wakigombea goli lilokataliwa uwanjani

    Anyulise Mwamkisu (49) ameuawa kwa kukatwa na mapanga, katika uwanja wa mpira wa miguu wa Kijiji cha Mofwile Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya, kulikokuwa na Ligi ya mpira kati ya Nyuki FC na Mofwile FC na kuibuka kwa vurugu baada ya timu moja kushinda goli na kukataliwa, hali...
  7. mtwa mkulu

    Tanzania: Mtendaji wa Kijiji auawa na kuchomwa moto porini. Makamu wa Rais atoa salamu ya shilingi ml 5 Kwa familia

    Serikali imesema baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kumuua Afisa Mtendaji wa kijiji cha Nyahua wilayani Sikonge, Said Maduka kisha mwili wake kuuchoma moto na kuutelekeza porini, watafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa baada ya uchunguzi wa kisayansi kukamilika. Mkuu wa Mkoa wa Tabora...
  8. Torra Siabba

    Mwanamke auawa kwa kukatwa na Panga, akatwa titi, akatwa sehemu za Siri.

    Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la kushoto pamoja na sehemu za siri na kuondoka nazo tukio lililotokea kijiji cha Mahene Wilaya ya...
  9. Ndagullachrles

    Kikongwe miaka 72 auawa na mkwe wake Moshi,mwingine ajinyonga kwa msongo wa mawazo

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Deogratius Evarist Mbuya(40) mkazi wa Legho Kilema wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua Baba mkwe wake, Tibrus Camil Mneney(72). Mbali na mauaji hayo,mtuhumiwa pia anadaiwa kumjeruhi mama mkwe wake, Beritha Tibrus Mneney (58)ambaye amelazwa...
  10. M

    TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

    Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi. Taarifa ambayo Matukio Daima Media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia leo Novemba...
  11. Komeo Lachuma

    Mazen Ahmad Mkuu wa Police wa Hamas, Auawa na Majeshi ya Israel

    Ninayo huzuni kutangaza kifo cha Mazen Ahmad ambaye ni Mkuu wa Polisi wa Hamas. Mina la faadhina Rajuun. Tumwombee asipunjwe thwawabu zake peponi. Amina. Webabu Ritz FaizaFoxy Adiosamigo na kimsboy
  12. Waufukweni

    Manyara: Watanzania tumefikia hatua ya kuwa Wanyama, Mhasibu wa vikoba auawa kisa laki 4

    Mtu Mmoja aliyefahamika Kwa jina la Yona Andrea (47) Mkazi wa kijiji cha loltepesi kata ya Sunya wilayani kiteto Mkoani Manyara, ameuwawa Kwa kupigwa na kitu kizito na watu wasiojulikana huku mkewe Catherine Andrea (45) akijeruhiwa mara baada ya kuvamiwa katika nyumba yao. Tukio hilo limetokea...
  13. Bams

    Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

    Muhammad Kamel Naim, kamanda wa kikosi maalum cha Radwan cha jeshi la Hezibollah, kikosi maalum cha makombora ameuawa kwenye shambulio la Israel kusini mwa Lebanon. Pia Israel imefanya shambulio jingine, kwa mara ya kwanza kaskazini mwa Lebanon na kuua watu 22. Haijajulikana bado kama hao 22...
  14. U

    Ndege za jeshi la Israel lashambulia jirani na ubalozi wa Iran Damascus Syria, naibu kamanda kikosi cha Jeshi Quds la iran auawa

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya shambulizi Jirani na ubalozi wa Iran uliopo Damascus Syria na kumuua Jenerali Mohammad Reza Fallahzadeh ambaye ni naibu kamanda kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran Shambulizi hilo lililotokea katika wilaya ya Mezzah huko Damascus, lilisababisha...
  15. U

    Kiongozi Mkuu kikundi cha kigaidi Islamic jihad Mohamed Abdullah auawa shambulizi ndege za IDF kambi ya wakimbizi Nur Shams West Bank

    Wadau hamjamboni nyote? Muhammad Abdullah Kiongozi Mkuu Islamic jihad ameuawa na shambulizi la ndege za Israel Mtangulizi wake Muhhamad Jabber aliuawa hivyohivyo mwezi agosti Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: ===== Live Update arrow right icon From the Liveblog of Friday, October 11...
  16. Sodoku

    Abd Al Kareem Qassim ataka yeshe, Israel muwe na ubinadamu basi. Deputy Commander wa Quads auawa

    Nina wasi wasi hata wale mateka wa Kiisrael walitekwa kimtego ili Israel ipate sababu ya kufanya haya. Hezbollah kwa sasa wanataka amani. Wayahudi wabishi. Why jamani? Msifanye hivyo. Acheni amani itawale. Viongozi wa Hezzbollha,Hamas and the likes hawataki kupandishwa vyeo kwa sasa. Hawataki...
  17. U

    Kamanda Mkuu kitengo cha kusafirisha silaha kutoka Iran kwenda Lebanon cha unit 4,400 auawa shambulizi la ndege za IDF

    Wadau hamjamboni nyote? IDF yaua Kamanda mwingine mwandamizi wa Hezbollah aendaye kwa jina la Jafar Qasir. Aliongoza kitengo maalumu almaarufu unit 4,400 kilichopewa jukumu la kusafirisha silaha kutoka Iran kwenda Lebanon. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: . October 01, 2024 at 16:36...
  18. MK254

    Hezbollah wathibitisha kuuawa kwa kamanda wao, Ali Karaki ambaye ameuliwa na Israel

    Hezbollah imethibitisha Jumapili kwamba kiongozi wake wa juu Ali Karaki aliuawa katika shambulio la anga la Israeli kwenye kitongoji cha kusini mwa Beirut, shambulio ambalo pia liliua kiongozi wa kundi hilo, Hassan Nasrallah. Israel ilisema ilimuua Nasrallah katika shambulio la anga kwenye...
  19. U

    Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF

    News alert Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF Mamlaka za Lebanon zinasema watu 6 wameuawa na 15 kujeruhiwa katika shambulio, huku watu wapatao 560 wakiwa wameuawa tangu mgogoro ulipozidi; Mwana jeshi wa akiba wa...
  20. U

    Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Ahmed Wahabi aliongoza Idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi ya Hezbollah Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: One of those named by Hezbollah, Ahmed Wahabi, is identified by the terror group as a “commander.” Hezbollah rarely refers to its senior...
Back
Top Bottom