auawa watu wasiojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanateka, wanaua, wanachangia ujenzi wa kanisa, misa viti vya mbele,changia yatima, changia Simba na Yanga, kesho wanateka tena, wanaua tena

    Teka, ua, hubiri amani Teka, ua, changia ujenzi wa kanisa Teka, ua, jichomeke kwenye mipira Teka, ua, changia yatima Teka, ua, hakikisha media hazireport, teka, ua tena Jiteteeni mababu zenu hawakuipigania hii ardhi ili leo hatma ya uhai wenu uamuliwe na watu kadhaa
  2. JamiiForums Tanzania Dereva Bodaboda auawa kwa kukatwa shingo na watu wasiojulikana Ushetu

    Dereva bodaboda Stefano Maziku (25), mkazi wa Kitongoji cha Igwesa, Kijiji cha Iboja, Kata ya Ukune wilaya ya kipolisi Ushetu mkoani Shinyanga, amekutwa ameuawa kisha mwili wake kutelekezwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa tukio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…