Klabu ya Singida Black Stars imemsimamisha kazi miezi mitatu kiungo wake Khalid Aucho raia wa Uganda kwa utovu wa nidhamu na utoro kazini.
Uamuzi huo umetolewa Februari 27, 2026 na Kamati ya Nidhamu ya klabu hiyo.
“Khalid Aucho ameadhibiwa kwa utovu wa nidhamu na utoro kazini hivyo...