audio

  1. V

    AUDIO SOUND CARD ZINAUZWA

    Audio sound card 2 zinauzwa hazijatumika Bongo imported from UK 1 . M_Audio njia mbili haijatumika .Bei 350000 2.¹Focusrite 3rd generation Bei 450000 Simu 0712652110 Dar
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    UZI MAHSUSI: Zilipendwa, audio/ video/ mashairi lyrics). Karibu upate burudani.

    Huu ni Uzi maalum wa kupata flashbacks za nguvu kutoka nyumbani Tanzania Na hata nje ya Tanzania. Karibuni kwa audio, video Na lyrics..
  3. Tanki

    Sikilizeni hii audio. Kisha nipeni ushauri. Je, nafaa kuwa muhadithiaji wa hadithi au simulizi?

    Ninaplan ya kuanza kujirecord nikisimulia hadithi au matukio. Hii audio hapa nilikuwa natest tu nione ninavyosikika. Nimeamua kushare na nyinyi mnichane nafaa ?? Niongeze nini??? Nipunguzie nini???? Note: NIMERECORD KWA SIMU, na EDITING ni simu pia.
  4. Faana

    Msaada: Naomba mwenye hii audio kamilifu anisaidie

    https://www.facebook.com/reel/1203968907588101
  5. R

    Msaada: Anayejua App au platform ya kufasiri audio to audio

    Nimejaribu baadhi lakini hazitafsiri audio(mp3) kutoka kiingereza kwenda lugha nyingine kwa ufasaha. Kwa anayejua app au online platform kwa ajili ya kufasiri audio file kutoka lugha moja kuwa audio file kwenye lugha nyingine tafadhali nijuze. Thanks in advance.
  6. U

    Naomba nyimbo MAARUFU za audio za kwaya Kanisa Katoliki tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Niwe muwazi mimi ni muumini wa Kanisa la Waadvetista wasabato ila napenda sana kusiliza nyimbo za kwaya za Kanisa Katoliki Hivyo siku ya leo kwa heshima kubwa naomba mwenye nyimbo za audios za kwaya maarufu za Kanisa Katoliki tanzania. anipatie Napendelea zaidi...
  7. harakati za siri

    Msaada App ya kutafsiri lugha kwenye Video au Audio

    Jambo wanajamii. Tafadhali anayejua app ya kutafsiri lugha, nimekutana na kitu kizuri sana usiku huu Youtube, sitapenda kinipite. Thank you in advance.
  8. Wakili wa shetani

    Kujenga audio recording booth ya "kienyeji" inaweza gharimu kiasi gani?

    Sikuhizi watu wengi wamejiajiri kama content creator. Sasa ukitaka content zenye quality nzuri unahitaji mahali patulivu pa kurekodia sauti. Nauliza kuunda booth ya kienyeji ya kurekodia itaweza gharimu kiasi gani? Hi zile lining kama matrey ya mayai kwa ajili ya kuzuia mwangi zinapatikanawapi...
  9. BARD AI

    Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

    EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu kusambaza video za Hashimu Ally. HASHIMU ameeleza jinsi alivyotekwa, kuteswa akiwa ameshikiwa bastola na...
  10. Mwl.RCT

    Audio: One Love Groove

    Wimbo wa ‘One Love Groove’ ni wito wa upendo, umoja na mshikamano kati ya watu. Kwa lugha nyepesi, unatuonyesha kuwa tunaweza kuishi kwa amani na kufurahia utamaduni wetu licha ya tofauti zetu. (Verse 1) In the sunshine's embrace, I feel the island's grace The rhythm takes hold, uplifting...
  11. Mwl.RCT

    Audio: Jah Blessin - (Reggae Rhythm)

    [Verse 1] In the sunshine, we're feelin' irie (irie, irie) With the rhythm, we're catchin' the vibe (vibe, vibe) Breezy melodies, takin' us higher (higher, higher) In this reggae groove, we gonna unite (ooh-yeah) Jah blessin', we're spreadin' the love (love, love) [Chorus] One love, one heart...
  12. Melki Wamatukio

    Msaada: Jinsi ya kutengeneza Audio Cover kwenye PC

    Msaada wakuu. Nina wav. kadhaa nahitaji kuzitengenezea Cover Audio kwa lengo la kuzipakia YouTube baada ya kukamilisha matayarisho Nimetoka kununua PC, sielewi chochote na sijawahi fanya hii kitu. Naombeni maujuzi wakuu
  13. Mwl.RCT

    Audio | Book Summary: The Way of Walking Alone: 21 Principles For Life by Miyamoto Musashi (Dokkodo)

    Book Summary: The Way of Walking Alone: 21 Principles For Life by Miyamoto Musashi (Dokkodo) The Way of Walking Alone: 21 Principles For Life by Miyamoto Musashi (Dokkodo) is a short but profound treatise on how to live a fulfilling and meaningful life. Musashi was a legendary Japanese...
  14. Kichwamoto

    Rubby katembelea Nyota ya Majizzo kutoa Audio iitwayo "Uridhike" Leo 16-08-2023

    Wanamuziki wabongo ni wadhaifu sana kwenye ubunifu, wanapenda slope na music spinning. Personally wengi hawana public triggers za kupata popularity za trending kwenye song releases zao. Kiwimbo chenyewe cha Uridhike hakina vibe kali la hisia za kuchimba visima na matembele kwa ndizi tukufu...
  15. Money Penny

    Nataka kutengeneza Sexy Voice Kwa audio msaada please?!...

    Samahani wale ma IT na computer science mlioko huku Nataka kutengeneza Sexy Voice Kwa kutumia audio, ndio na edit nini au kuna app gan natumia?! Mume Yuko mbali so lazima nimpagawishe🏃🏃🏃🏃
  16. Pascal Ndege

    Tetesi: Udukuzi: Kama simu inakuwa ya moto ukiwasha data ni dalili za wadukuzi kudukua camera na audio za simu yako.

    Kwa wataalam wa IT upande wa software engineering watakubaliana na Mimi kuwa udukuzi ni kitu cha kawaida kabisa katika tasinia ya technologia. Udukuzi hufanywa Mara nyingi sana. Lakini Kuna iana mbili za udukuzi. 1.Udukuzi wa faida(kujikinga na magaidi na kurinda Usalama) 2.Udukuzi wa...
  17. Pendaelli

    Nipo kwenye mchakato wa kukusanya audio clips na video clips za hotuba za Hayati Magufuli

    Binafsi huwa nikipata nafasi ya kusali siachi kumuombea pumziko jema huko alipo hayati Magufuli . Nimekuja kugundua baadhi hotuba zake nyingi zimekuwa mareje wakati huu tuliopo ingawa yeye aliongea jana! Wakati huu wa ukuwaji wa teknolojia huwenda zikaja futwa katika mitandao tukazikosa kabisa...
  18. F

    Bunge lasikiliza maoni ya Freeman Mbowe kupitia simu ya mkononi. Spika ataka mbunge aandae audio nzuri

    Mjadala wa kubinafsisha shughuli za bandari ya Dar es Salaam umepamba moto leo katika ukumbi wa bunge Dodoma. Baada ya wabunge wa CCM kumshutumu Freeman Mbowe kwa kauli yake juu ya nafasi ya wazanzibari kwenye ubinafsishaji wa bandari za Tanzania, spika Tulia Akson amelazimika kuruhusu clip...
  19. Zekoddo

    Aliyekuwa na huu wimbo (Audio ) naomba auweke hapa, naukubali sana

    Golden tz - Lonely. Kama inavyoonekana hapo juu, Msanii anaitwa Golden tz na wimbo unaitwa Lonely. Frankly kwangu ni wimbo mkali sana Ila nimejaribu kuutafuta kwenye platforms mbalimbali sijafanikiwa kuupata. Kwa mara ya kwanza niliusikia Clouds FM siku kama mbili zilizopita kwenye kipindi...
  20. central midfielder

    Audio battle

    Watu wa mziki tukutane kidogo kwenye hii battle. Ngwair She got gwan vs Mb Dog Latifa. Ipi ilikuwa hatari zaidi? #forgive me
Back
Top Bottom