Habari,
Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako.
Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu.
Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
adobe
app
apps
audio
biashara
dar
dar es salaam
free
graphics
je wajua
kazi
key
kitabu
kusikiliza
kusoma
mechanical
microsoft
microsoft office
office
pro
professional
software
speech
unatafuta
wajua
windows
windows 10
yako
Flash nmenunua ila kwenye computer inasoma vizuri na ukiweka movies zinaonyesha zimeingia ila ukiitoa kwenye computer halafu ukairudisha tena hazionekani movies yaani inasoma haina kitu kama kuna msaada naweza kuupata kwa anayefahamu jinsi ya kuiseti.
Habari wakuu kama kuna yule mwenye anajua streaming software anitajia nikaitafute maana nimehangaika sana mpka nimechoka.
Mwisho wa siku nikakumbuka huku jamiiforums. Msaada wenu please kama kichwa cha habari kinavyo jieleza
Mixlr/radioking/mixx/visualdj zinaleta magumashi
Uchambuzi huu ulifanywa na ndugu Twahir Kiobya huko clubhouse.
Ameisifu hotuba ile kwa ubora wake, akachambua mbinu mkakati ambazo ndugu Mbowe anatumia katika kufanikisha mazungumzo ya chama chake na CCM na akaonyesha kuwa njia anayotumia Mbowe ni njia sahihi zaidi kwenda nayo badala ya kususa...
kwenye audio kuna option ta 32 kbps, 64 kbps, 128 kbps, 320 kbps na hii DD+ atmos 768 kbps.
Nimevutiwa na namba kubwa, laptops zetu hizi za kawaida kuna haja ya kushusha huo mzigo wenye 768 kbps ??
Heshima kwenu wakuu.
Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia.
Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...?
NAWASILISHA.
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la...
Nitafurahi sana nikipata audio Clip ambayo itazidi dk 5 Rais wetu Mpendwa akichana mistari kwa kiingereza katika mahojiano au maelezo flani sehemu yoyote. Iwe imenyooka haijaungwa ungwa.
Nitafurahi sana. Tuachane na haya madai ya watu kuwa yeye huwa mara nyingi anasoma tu. Tunataka kuwaonesha...
New Professional Microphone
For recording
Podcasts
YouTube videos
Video call & video conferencing
Etc.
Delivery : from Dar es salaam to all regions
Offer: 99,000/-
Call: + 255 658 700 510
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu leo, January 7, 2022 saa 4:00 asubuhi, saa za Afrika ya mashariki, amezungumza na waandishi wa habari.
Chanzo: Chadema Media
https://www.youtube.com/watch?v=WgIY7Q7w2uM
=====
Jaji Mustapha Siyani katishwa akatishika na kuamua kuisigina haki hadharani mchana kweupe....
Amejitoa kuisikiliza kesi hii kwa maumivu makali katika nafsi yake kwa kuisigina haki mchana kweupe akidhani kwa kuwa yeye ni JAJI, wengine wote ni "wajinga" hatutaona upuuzi wake. Amekosea sana...
Wakuu kaTV kangu ka SingSung inch 24 imevunjika kioo. Nimeogonga kwa bahati mbaya. Nauliza TV ikipasuka kioo inaweza kupiga nyimbo kwa USB/flash ya kawaida. Yaani nina uhakika kila kitu kizima kasoro kioo tu ndio kimevunjika.
Sasa kama inaweza kuplay USB nitumie njia gani maana kioo hakisomi...
Microphone for live streaming, video / Audio conferencing, podcasting, etc
New condenser microphone
Noise/ echo cancellation
YouTube, Skype, zoom meetings, podcast, etc
Just plug & play
OFFER: 99,000 /-
COD: Dar es Salaam/Kibaha but we can ship to all regions.
Call: +255 658 700 510
Muwe na Ijumaa Njema wadau...
Audio Battle.
......Tukutane hapa kidogo...
Hizi ni ngoma ambazo zilifanya vizuri saana,saana...Miaka kadhaa iliyopita..
Ukiambiwa uchague moja unadhani ipi ilikuwa kali zaidi kwa upande wako..
Mgwair ft Dark Master__She Got Ngwan.
Vs
T.I.D ft Jay...
Toyota IST ncp61. Huo mlio wa kugonga gonga kwenye engine unasikika baada ya engine kupata joto (warm up). Yaani unapowasha gari hausikiki, ila baada ya muda fulani engine ikiwa imewaka au ukiendesha halafu ukapark at idle ndipo huo mlio unasikika. Gari ikiwa kwenye mwendo hausikiki. Nikisimama...
Habari wanajamii forums wenzangu hususani wa jukwaa hili la technologia!!
Shida niloyonayo ni kushindwa kupata drivers za laptop aina ya Dell vostro 14 3000. Nimejaribu kuangalia ktk driver pack solutions sijaweza kufanikiwa na pia dell drivers online support nazo sijaweza kufanikiwa...
Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu nimeziadhimisha kwakufanya uchambuzi kwa mahojiano ya Radio, Kuhusu Hali ya Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, na kuhusu vuguvugu la Katiba Mpya.
Sikiliza mwanzo hadi mwisho!
Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...